Kenya to the world: kilimo biashara

Sasa if more Kenyans embrace kilimo na serikali iwasupport, naona agriculture ikiipita tourism as the main foreign currency earner$$$
 
Mbona mna uhaba wa chakula?

Tafuta mtu akupe darasa la nini maana ya kilimo biashara......kimsingi tunafidia huo uhaba kwa kununua chakula maana hela tunazo, tunatengeneza hela nyingi sana kutokana na kilimo biashara.
 
Halafu mkipata hela ndio mnakuja kutuombaomba chakula sio?

Mwenye hela haombi maana ana jeuri, jaribu siku moja uende kwa kilabu ukiwa na hela za maana acha hizo za kuunga unga, uone aina ya jeuri ambayo mtu huwa nayo.
Huwa tunaagiza mahindi kutoka hadi Brazil, hususan mkizembea....
Halafu sijui nani kawaroga mpaka mpo maskini ilhali mna ardhi kubwa yenye uwezo wa kuwa bread basket ya Afrika....
Hebu ona mnavyoitia aibu Afrika, fuata huu uzi wa ndugu zako WB: Takribani nusu ya wanaoishi katika umasikini mkubwa chini ya Jangwa la Sahara wanapatikana kwenye nchi tano Tanzania ikiwemo
 
Tafuta mtu akupe darasa la nini maana ya kilimo biashara......kimsingi tunafidia huo uhaba kwa kununua chakula maana hela tunazo, tunatengeneza hela nyingi sana kutokana na kilimo biashara.
Halafu mkipata he'll ndio mnakuja kutuombaomba chakula sio?

Hata Marekani masikini wapo, Tena wa kila rangi
 
Maskini wa Marekani hauwezi ukalinganisha na mateso ya kwenu huko, haingii akilini kabisa muongoze dunia kwa umaskini ilihali mna madini ya kumwaga, ardhi kubwa nzuri tu na vitu vingi, yaani kweli hupewi vyote, aidha unyimwe ubongo kisha upewe raslimali au upewe ila unyimwe mengine.
Mnaitia Afrika aibu..... WB: Takribani nusu ya wanaoishi katika umasikini mkubwa chini ya Jangwa la Sahara wanapatikana kwenye nchi tano Tanzania ikiwemo
 
Tafuta mtu akupe darasa la nini maana ya kilimo biashara......kimsingi tunafidia huo uhaba kwa kununua chakula maana hela tunazo, tunatengeneza hela nyingi sana kutokana na kilimo biashara.
Kilimo Cha kujikimu Cha mazao ya chakula Tzn kimeishia kufukarisha wakulima yaani unazaliwa maskini unakufa maskini ,bila Wakenya tungekosa hata pa kuiga teknolojia ya kilimo na soko
 
Mwenye hela haombi maana ana jeuri, jaribu siku moja uende kwa kilabu ukiwa na hela za maana acha hizo za kuunga unga, uone aina ya jeuri ambayo mtu huwa nayo.
Huwa tunaagiza mahindi kutoka hadi Brazil, hususan mkizembea....
Halafu sijui nani kawaroga mpaka mpo maskini ilhali mna ardhi kubwa yenye uwezo wa kuwa bread basket ya Afrika....
Hebu ona mnavyoitia aibu Afrika, fuata huu uzi wa ndugu zako WB: Takribani nusu ya wanaoishi katika umasikini mkubwa chini ya Jangwa la Sahara wanapatikana kwenye nchi tano Tanzania ikiwemo
Sasa Kama watu wanachagua viongozi dizaini ya Jiwe anaenunulia mafukara ndege ,watu walioshindwa kupanda bajaji/daladala za jero unategemea nchi isiwe maskini? Nchi inakiongozi mwenye sera za ujima karne hii kutwa kugombana na majirani na mataifa yakiyoendelea unategemea nini?
 
Mwenye hela haombi maana ana jeuri, jaribu siku moja uende kwa kilabu ukiwa na hela za maana acha hizo za kuunga unga, uone aina ya jeuri ambayo mtu huwa nayo.
Huwa tunaagiza mahindi kutoka hadi Brazil, hususan mkizembea....
Halafu sijui nani kawaroga mpaka mpo maskini ilhali mna ardhi kubwa yenye uwezo wa kuwa bread basket ya Afrika....
Hebu ona mnavyoitia aibu Afrika, fuata huu uzi wa ndugu zako WB: Takribani nusu ya wanaoishi katika umasikini mkubwa chini ya Jangwa la Sahara wanapatikana kwenye nchi tano Tanzania ikiwemo
Ardhi yetu mnaimezea mate nyie yenu si mliwapa wazungu na familia ya Kenyatta ndio maana mlijaribu kulobby swala la ardhi liingizwe East Africa halafu mnakuja kuoa wanawake wazee ili mpate uraia hatutaki manyang'au nchini mwetu
 
Tatizo mpo wazembe wa kutupwa, yaani kwa ardhi yote hiyo na mnatajwa kwenye mataifa yenye maskini wa kutupwa, sijui nani kawaroga, mumejaza omba omba huku Kenya hadi kero.
 
Nyinyi msingekuwa wazembe imekuwaje watu wanatoka ulaya wanamiliki ardhi yenu au familia.moja inamiliki ardhi kubwa. Mnajitekenya halafu mnacheka wenyewe.
 
Mnaitia Afrika aibu, mnashindwa na viinchi vidogo vidogo kama Kenya.
 
Back
Top Bottom