kilimo

  1. OLS

    JamiiForums Tanzania Sera za kilimo ziangalie namna ya kuongeza idadi ya ‘farmers’ na sio ‘peasants’

    Kwenye kiswahili tuna neno moja kwa maneno hayo mawili ya kiingereza, Mkulima. Lakini watu wanaoweza kuilisha nchi ni ‘Farmers’ sio ‘peasants’. Kwa tafsiri sahihi, ‘Peasant’ ni mtu anayelima ili kujazia padogo palipopungua. Hawa huwa wanalima kwa kile kitu tunaita ‘subsistance economy’ just for...
  2. Midimay

    JamiiForums Tanzania Nataka Kuanza Kilimo Cha Soya

    Habari za leo Wana wa jukwaa la KUU. Wakuu nimewahi kukaa katika customs mojawapo ya nchi hii inayotuunganisha na nchi jirani kwa upande wa kusini. Sio muda mrefu uliopita. Kusema ukweli wazee, ni tani kwa tani za soya za lishe zinapita pale in transit kwenda Rwanda, Uganda na Kenya. Na chache...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu kilimo cha matunda, miti na viungo pamoja na uuzaji wa miche yake

    Habari wanajamvi, Kwa kipindi hiki ambacho dunia yote imetoa macho katika janga hili lililosibu dunia, bas karibu kufahamu kuhusu kulimo ili uweze kuchagua na kuwekeza katika kilicho sahihi. Kabla hatutajatangaza bidhaa tutoe nafasi ya kuuliza maswali kuhusiana na kilimo cha matunda, miti na...
  4. Bajeti ya kunguru

    JamiiForums Tanzania Mchango juu ya kilimo cha mahindi kwa uzoefu wangu

    Wakuu heri na amani na iwe kwenu ni matumaini yangu kuwa hamjambo kama mimi. Kabla sijaenda kwenye mada nikiri wazi kabisa kipaji cha kuandika sina ila ninauwezo wa juu wa kusikiliza na kuongea tena bila kipaza sauti,kwa kipaza sauti huwa nashindwa kuongea kwa kiwango nilicho nacho. Baada ya...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) "mgonjwa anayepumulia kwenye mashine"

    Mimi kama mdau mkubwa wa Sekta ya kilimo kwa nyakati tofauti tofauti nimetembelea hii benki toka izinduliwe mwaka 2015 na kujaribu kupata mkopo kwa ajili ya shughuli zangu za kilimo na wakati mwingine kujaribu kusaidia wadau wenzangu kupata mikopo lakini katika hali ya kusikitisha saana haya ni...
  6. MLIPAKODI

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Parachichi - Fahamu Aina, Namna ya Kulima na Masoko

    Wadau, Nahitaji kulima maparachichi. Kwa mwenye ufahamu zaidi naomba kujua changamoto na nini nifanyeje ili nieweze kufanikiwa. MASWALI YA WADAU WENGINE KUHUSU ZAO HILI MICHANGO/ UZOEFU WA WADAU KUHUSU ZAO HILI
  7. S

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU Mtwara chunguzeni chuo cha kilimo Mtwara(MATI) kulipisha wanafunzi tsh 10,000 ili wapate control number

    Kuna taarifa kuwa chuo kinawatoza wanafunzi 10,000 Tsh kuwatengenezera control number wakati wnataka kwenda benkikulipa ada. Kibaya ni kuwa hawatoi hata risiti kwa malipo ya kupata control number. Tafadhali lifanyie kazi kama sheria ya kodi inasema hivyo kuwa kupata control number unalipia
  8. OLS

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje tunatumia 'Kilimo' ili kuwatishia watoto wasome na tukishindwa kuwaajiri tunawaambia wakajiajiri kwenye Kilimo?

    Kumekuwa na tabia ya wazazi, viongozi na walimu kutishia watoto kuwa wasiposoma watakuwa wakulima maisha yao yote. Hii ikiwajengea dhana kwamba kilimo ni kazi ya mtu aliyekataa shule. Ni viongozi hao hao ambao huwaambia vijana wenye shahada zao kuwa wakajiajiri kwenye kilimo baada ya kushindwa...
  9. digba sowey

    JamiiForums Tanzania Malawi yahalalisha matumizi ya bangi

    Malawi imekua nchi ya hivi karibuni iliyoko Kusini mwa Afrika kuhalalisha kisheria ukulima na uuzaji wa ndani na nje wa bangi. Wanaotumia bangi kama kiburudisho wanaiona bangi kama , "Malawi Gold", yaani Thahabu ya Malawi kama wanavyoiita wenyewe, kuwa moja ya dawa nzuri. Lakini maafisa...
  10. beth

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Kilimo: Tanzania haijavamiwa na Nzige

    Waziri wa Kilimo Mhe. Japhet N.Hasunga (MB) jana Jumapili anawafahamisha wakulima na wananchi kwa ujumla kuwa taarifa zinazoenea kwenye baadhi ya vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kuhusu uwepo wa nzige wa Jangwani nchini hususan mkoa wa Kilimanjaro siyo za kweli. Mhe.Hasunga amesema...
  11. sabuwanka

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Ufugaji wa nguruwe, kilimo cha matikiti maji na ufugaji ng'ombe wa maziwa

    Mwaka 2016 mfumo wa maisha ulibadilika baada ya Serikali mpya kuingia madarakani! Vijana wengi tulijikita katika kilimo na ufugaji baada ya motivational speaker kutuhakikishia tutapata utajiri bila kutoa jasho Nami nikaanza na nguruwe wenye mimba 3. Mwanzoni hakukuwa na changamoto sana ila...
  12. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mwanadamu wa kale alioka mikate kabla ya kuanza kilimo

    Kikundi cha wanaakiolojia kimesema wamegundua kwamba binadamu walianza kuoka mikate mapema zaidi kabla ya kuanza shughuli za kilimo. Utafiti uliotolewa kwenye Jarida la PNAS la Marekani unaonesha kuwa wanaakiolojia wamegundua mabaki ya mikate ya kuokwa yenye historia ya miaka 14,400 katika...
  13. Akili 09 Nguvu 01

    JamiiForums Tanzania Narudi tena kwenye Kilimo cha Nyanya. Mniombee

    Mnamo mwezi wa 12/2018 na Januari 2019 niliingia kwenye kilimo cha Nyanya. Nikiri kua nilikua sina maarifa wala uzoefu wowote kweny kilimo cha nyanya. Kuna rafiki yangu mmoja ndo alinishauri na kunishawishi kuingia kwenye kilimo cha nyanya(alinichukua na kunitembeza kweny mashamba ya nyanya na...
  14. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mfahamu mfanya usafi aliyefukuzwa kazi na kugeukia kilimo kinachompa mamilioni

    Mkazi wa Njombe, Steven Mlimbila maarufu kwa jina la ‘Nemes’ alipofukuzwa kazi hakudhani kama angeweza kusimama tena. Mlimbila aliamini ndoto zake kiuchumi zimekufa kwa sababu ya kuondolewa kazini alikokuwa ameajiriwa kama mfanya usafi. Elimu yake ya darasa la saba ilimpa msongo wa mawazo...
  15. AMARIDONG

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa kanuni bora za kilimo cha Migomba na Soko lake

    MIGOMBA - KANUNI ZA KILIMO BORA Hapa Tanzania kilimo cha migomba kimekuwepo Kwa miaka mingi. Kilimo hiki ni maarufu sana kwa sababu zao la ndizi limekuwa likitumika kama chakula kikuu kwa baadhi ya mikoa kama vile Kagera, Kilimanjaro na Mbeya na hivyo kulifanya muhimu, kufuatia mazao ya...
  16. technically

    JamiiForums Tanzania Tuache siasa, tuwekeze kwenye kilimo then viwanda then ndege

    Naomba nitoe ushuhuda kidogo. Mimi ni moja ya watu ambao najaribu kuwekeza kwenye kilimo ila naleta ushuhuda ili liwe somo kwa serikali na wananchi kwa ujumla. Maka jana nililima ekari 20 za mahindi mkoa wa Rukwa na nilipovuna mwezi wa 7 mwaka jana nilipata gunia 350 nikaweka store maana...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Tusaidiane kuhusu kilimo cha bustani ya mipapai

    Habarini wadau! kheri ya mwaka mpya!! Kuna ndugu yangu kamaliza chuo mwaka juzi. Mama mnavyojua, suala la ajira ni kitendawili kilichokosa majibu. nimefikiria kumshauri aanzishe tu kijikibustani cha mipapai ili aweze kujipatia chochote baada ya muda. Kaeneo kalichopo ni kama robo tatu ekari...
  18. beth

    JamiiForums Tanzania Mkakati mwingine wa kuendeleza mpunga waja

    Serikali imezindua mkakati wa taifa wa awamu ya pili wa miaka 10, wa kuendeleza zao la mpunga nchini ili kuhakikisha wanafikia hekta milioni moja ifikapo mwaka 2025. Hayo yalibainishwa jana na Waziri wa Kilimo, Japhet Hasunga, ambapo alisema lengo ni kuona wanaongeza uzalishaji wa zao la mpunga...
  19. kibokomchapaji

    JamiiForums Tanzania Zitto: Ni Kutumiwa na GMO, Tamaa za Umaarufu au ni Kutosoma Ripoti Mbalimbali

    Zitto kabwe amefilisika sana. Maneno yake kuhusu upungufu wa chakula nchini hayana mashiko. Bodi ya Takwimu (NBS) ndio wa kwanza kusema kuna mfumuko wa bei. Benki ya Dunia (WB) ikasema umasikini umepungua nchini hivyo watu wanamudu gharama za kununua vyakula. Aidha, ripoti ya Utafiti wa kina...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu Kilimo cha Limao na Ndimu

    Je, maeneo gani nchi hii yanakubali zaidi hasa ndimu? Huchukua muda gani toka kupanda mapaka mavuno na garama zake ni kiasi gani kwa heka? Karibuni wadau.
Back
Top Bottom