kilimo

  1. J

    JamiiForums Tanzania Kafulila: Watanzania zaidi ya mil 40 ni Wakulima mil 28 kati yao ni Wanawake tunapunguza Umasikini kwa nchi yetu kuwekeza zaidi kwenye Sekta ya kilimo

    Akizungumza katika maadhimisho ya miaka mitatu ya Uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan Mkurugenzi Mkuu wa Ubia nchini PPP Mhe David Kafulila amesema, Nchi ya Tanzania kwa awamu hii ya sita imeamua kujikita zaidi kwa kuwekeza kwenye Sekta ya Kilimo ambayo...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha vitunguu kilivyonitia hasara

    Kama habari inavyoeleza hapo juu, Mimi ni mkulima mzuri wa nyanya, nimelima zao hili kwa zaidi ya miaka kadhaa kutokana na changamoto za hapa na pale zilinifanya kuwa mzoefu na mtaalamu sana wa kilimo hiki, hivyo ilikuwa nikiweka mbegu shambani. Ililazimu jirani angalie nitaivisha wakati gani...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Wilaya gani katika mkoa wa Ruvuma ni rafiki kwa kilimo cha vitunguu?

    Jamaani mashamba yanayoweza kuwa rafiki kwa kilimo Cha vitunguu mkoa wa ruvuma yapo wilaya gani?
  4. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Mhandisi wa Kilimo apewa usimamizi wa ujenzi wa hospitali ya wilaya ya Mwanga

    Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango amesikitishwa na kitendo cha Mhandisi wa kilimo (agricultural engineer) kapewa usimamizi wa ujenzi wa hospitali ya wilaya ya Mwanga, mkoani Kilimanjaro. Kisingizio alichopewa ni eti kumekosekana mhandisi hivyo wakaona ni bora Mhandisi wa Kilimo angalau alete...
  5. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kasulu: Eneo la NYAKITONTO, Kamchape wanahatarisha usalama wa raia na Polisi wapo kimya!

    Ni muda sasa kumekuwepo na hili wimbi la watu wanaojiita kamchape kiboko ya kutoa uchawi katika wilaya ya kasulu. Mwanzoni Serikali kupitia jeshi la polisi walitoa maonyo kuhusu hawa watu lakini wananchi wengi waliyapuuza. Kinachotokea sasa wanadhalilisha watu, wanatengeneza chuki dhidi ya...
  6. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania DC Ludewa Abeba Ajenda ya Kilimo, Aweka Mikakati Zao la Kahawa

    Mkuu wa Wilaya ya Ludewa- Victoria Mwanziva akiambatana na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa Sunday Deogratias na Wataalam wa Idara ya Kilimo Wilaya ya Ludewa- wametembelea Kiwanda cha City Coffee kilichopo Mbeya- kwa ajili ya kikao kazi cha kuongeza tija kwenye zao la Kahawa...
  7. I

    JamiiForums Tanzania Mambo makubwa aliyofanya Rais Samia kwenye sekta ya kilimo

    Kwenye Sekta ya Kilimo Serikali ya Rais Samia imeongeza bajeti ya Kilimo kutoka Tsh. 751 mwaka 2022 hadi Tsh. bilioni 970. Kuongezeka kwa uzalishaji wa chakula Tani 17,148,290 hadi kufikia Tani 20,402,014 na kufikisha asilimia 124 ya kiwango cha utoshelevu wa chakula. Ameipatia wakala wa...
  8. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Picha: Kijana wa BBT akiwa amempigia Magoti Waziri wa Kilimo

  9. nyamchele

    JamiiForums Tanzania Hussein Bashe, Waziri wa Kilimo: Waagizaji hawakupaswa kuleta mchele wa Msaada kutoka Marekani kwani Tanzania ina hazina ya mchele

    Dar es Salaam. Saa chache baada ya kuibuka kwa mjadala katika mitandao ya kijamii juu ya mchele ulioongezwa virutubisho ulioletwa Tanzania kutoka nchini Marekani, Waziri wa Kilimo Hussein Bashe, amefunguka akisema waagizaji hawakupaswa kuleta mchele huo kutoka nje, kwa kuwa Tanzania ina hazina...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha vitunguu maji

    Wadau kama kichwa cha topic kinavyosema, shauku kubwa la mim kuja hapa ni kutaka kupeana uzoefu wa kilimo cha vitunguu maji kw misimu ya hiv karbun kutokana na nyuz zlzomo jukwaani kuwa za miaka mingi iliyopta mfn 2010! Mambo yamebadlika Sana kipind kile unakuta mtu anazungumzia kuuza gunia kwa...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Kilimo imekuwa ikionekana kama Sekta ya watu waliofeli (wameishiwa mbinu)

    Hii imekua ikionekana dhahili kabisa vijan wengi wakion kua umeangukia katika kilimo wanakuona umeshafeli kabisa hauna maajabu wandai Na wamekua wakiona kazi ya kilimo ngumu saana Hapana hii sio kweli kilimo so ngum kama tunavozania sio Kila mkulima hushika jembe Kwa maana unaweza ajili jaman...
  12. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kwanini Biashara ya Sukari inasimamiwa na Waziri wa Kilimo?

    Hivi Nchini Tanzania hakuna Wizara ya Viwanda na Biashara , ambayo ndio Mhusika halisi wa Biashara na Viwanda? Naandika haya kwa Uzoefu, mimi ni Mfanyabiashara na namiliki Kiwanda (siyo cha sukari). Sijawahi kuelekezwa kusaini nyaraka yoyote kwenye Wizara ya kilimo angalau mara chache...
  13. Ngaliwe

    JamiiForums Tanzania Waziri Mchengerwa aagiza Wakuu wa Mikoa kusimamia usambazaji wa sukari

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amewaagiza Wakuu wa Mikoa yote nchini kusimamia kwa makini usambazaji wa sukari na kuwachukulia hatua wafanyabiashara wote wanaohujumu upatikanaji wake. Akitoa agizo hilo leo Februari 21, 2024 Ofisi ndogo...
  14. Muuza madafu wa Ikulu

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha mahindi na viazi mviringo cha kisasa huko Kilolo, Iringa

    Nimeona rafiki yangu mmoja niliyesoma naye Chuo Kikuu kule Morogoro ameweka hizi video zikionesha namna watu wanavyofanya Kilimo cha Mahindi na Viazi Mviringo lwa kitumia technologies ya kisasa nikasema nishare nanyi wana JF ili muwe inspired kama mimi nilivyokuwa inspired. Nimemuahidi Jamaa...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wakulima waandamana kutaka Waziri ajiuzulu, Bajeti ya Kilimo iongezewe

    BULGARIA: Wakulima wakubwa na Wadogo wameandamana kwa siku ya pili walishinikiza Serikali kuweka Uongozi Unaowajibika pamoja na kuongezwa kwa Fedha za Ruzuku ya Kilimo nchini humo. Kamati ya Mipango ya Wakulima hao imesema Umoja huo hautasitisha Maandamano hayo hadi Waziri wa Kilimo, Kiril...
  16. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Hivi serikali inashindwa nini kujikita kwenye mapinduzi ya kilimo na vifaa vyake

    Ni aibu kila nchi inayokuja kujifunza tanzania kilimo ikipeleka kwao inafanya mpaka kujulikana wazalishaji wakubwa.leo zana na vifaa vya kilimo vina utitili wa makodi na siasa yani mpaka mbolea ni jambo la zama za zamani. wakulima,wafugaji na wavuvi ni kama watu wasio thaminika.watu hawa ndio...
  17. rosewilliam

    JamiiForums Tanzania Naomba maoni juu ya kilimo biashara na teknolojia katika kilimo

    Habari zenu wakuu. Ningependa nipate maoni/busara yenu katika hili. Mimi natamani sana hapo baadaye niekeze katika kilimo biashara. Najua kila zao lina changamoto zake ila nahitaji kuelewa kutoka kwa wale ambao wana experience katika hili wanisaidie kunijulisha, ni changamoto gani ziko katika...
  18. snochet

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Massey Ferguson 135 na Massey Ferguson 158 Zinauzwa

    Habari, Ninauza hizi tractor mbili. Zote ni 2WD. Mtumba kutoka Uholanzi bila jembe/trailer. MF135-46Horsepower MF158-63 Horsepower Zimesajiliwa na kila kitu kinafanya kazi vizuri kabisa(Engine za Mbuni-Diff Kubwa, PTO, drawbar na zina connection za hydraulics). Hazijatumika Tanzania. Bei MF135...
  19. Jimz Group

    JamiiForums Tanzania Jinsi Kamera za CCTV Zinavyoimarisha Usalama Katika Sekta ya Kilimo

    Katika enzi hii inayoongozwa na maendeleo ya kiteknolojia, suala la usalama katika sekta ya kilimo na biashara zinazohusiana nalo limepewa umuhimu mkubwa. Kamera za CCTV zimekuwa zana muhimu si tu katika kulinda mali bali pia katika kuhakikisha usalama wa mimea, wanyama na wafanyakazi kwenye...
  20. Peter_John

    JamiiForums Tanzania Nataka niingie kwenye kilimo, kwa anayeuza eneo/shamba

    Habari zenu Wana JF, kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu, nataka niingie kwenye Kilimo na kama unavyojua kilimo chetu hapa kibongo bongo ni kwenye ardhi ingawa teknologia ya sasa unaweza ukalima hata ghorofani ila sana sana wengi wetu tumezoea kulima ardhini. Hivyo basi kama kuna mtu...
Back
Top Bottom