Hii ni sekta ya muhimu katika uchumi wetu. Ikiwa usimamizi wa sekta hii utaendelea kusimamiwa vizuri uchumi wetu utapanda kwa miaka mitano (5),kumi (10) na kuendelea.katika sekta hii tunapata malighafi mbalimbali kwa ajili ya viwanda mbalimbali mfano, alizeti kwa ajili ya kutengeneza mafuta...
Mm mi kijana miaka 30. Nimesomea kilimo na nimkulima pia. Naomba kama kuna mtu ana mashamba hususan ukanda wa pwani kwa ajili aya kilimo na ufugaji, tufanye partnership kwenye uzalishaji wa mazao hususan ufuta.
Nchini Tanzania, Sekta ya Kilimo ni muhimili wa maendeleo ya uchumi. Sekta hii inachangia kiasi cha nusu ya pato la Taifa, robo tatu ya bidhaa zinazouzwa nje ya nchi na chanzo cha chakula pamoja na utoaji wa fursa za ajira zaidi ya 75% ya Watanzania. Hali hii inatupa uhalisia na yakini kwamba...
Namshukuru Mungu nami kupata nafasi ya kuchangia mawazo yangu katika kuitafuta Tanzania tuitakayo. Maoni yangu yatajikita katika mapinduzi makubwa ya kilimo Kwa maana ya ukulima wa mazao ya mashambani, ufugaji na uvuvi Kwa kuanzisha mfumo wa mashamba vitalu (blok farms) katika Kila halmashauri...
It is another blessed Tuesday and thank Allah for this wonderful moment OK OK OK twenzetu kwenye Mada yetu Wakuu hahahahaha I'm back again
Wakuu ama kweli kilimo hakimtupi Mkulima aisee hawa wahenga bwana hawakukosea hata kidogo mazee within 3 month kilimo kimenipa milioni 40 na nililima hekari...
Sekta ya kilimo nchini Tanzania ni nguzo kuu ya uchumi wa taifa, ikiwa ni chanzo kikuu cha ajira. Kwa mujibu wa taarifa ya hotuba ya bajeti ya wizara ya kilimo 2023/2024, zaidi ya watanzania milioni 40 (65.6%) wanategemea moja kwa moja sekta hii kwa ajira. Kilimo pia kina jukumu muhimu katika...
kilimo ni uti wa mgongo katika uchumi wa nchi.kutokana na matokeo ya sensa ya kilimo mifugo na uvuvi ya mwaka 2019/2020 yanaonesha asilimia 65.5 ya kaya zilizopo Tanzania zinajihusisha na kilimo hii inaonesha ni kwa kiasi gani kilimo ni kitu tegemewa sana hapa kwetu Tanzania.sekta hii imechangia...
“Nina Watoto nane, shughuli yangu kubwa ni Kilimo cha Mwani ambayo ni miongoni mwa mazao ninayoyategemea kunipatia mkate wa kila siku. Nafanyia shughuli zangu katika Kijiji cha Shamiani Kangani, Wilaya ya Mkoani, Mkoa wa Kusini Pemba. Hapa ndipo pia ninapoishi.
Nimekuwa na ndoto ya kuwa mkulima...
MRADI WA KUANZISHA VITUO VYA UTAFITI NA MAENDELEO YA KILIMO NCHINI TANZANIA.
kulingana na changamoto zilizopo katika sekta ya kilimo Nchini. nikaona si vibaya kufikiria juu ya sekta hii muhimu, ambayo tunasema ni utii wa mgongo wa taifa la Tanzania. Hivyo basi nikaona kuna haja ya kuanzishwa...
Na. Jofreyson1
TANZANIA TUITAKAYO: picha na azam news
Kuwekeza KATIKA KILIMO NA VIWANDA KWA MUSTAKABALI WA TAIFA
Tanzania ni nchi yenye rasilimali nyingi za kilimo zinazoweza kuimarisha uchumi wake. Katika kuelekea kwenye Tanzania tuitakayo, ni muhimu kwa serikali kuwekeza kwa kina katika...
Bangi ni zao lenye thamani kubwa kutokana na faida zake lukuki ukilinganisha na mimea mingine. Watu wengi wamekaririshwa upande wapili tu wa zao hili (madhara ya matumizi haramu ya bangi)
Naomba tuelewane kuwa hata petrol ni bidhaa muhimu sana katika uchumi wetu lakini wapo watu ambao huitumia...
Kilimo:ni utajiri na chakula Kwa binadamu wote Kwa Tanzania.
Kilimo kinalisha watu wote Tanzania pia kilimo kinatajilisha watu waliomo humo kwenye kilimo hicho hicho.zipo njia baadhi zikitumika ki ufasaha zitabadiliaha sekta ya kilimo ndani ya miaka kumi mpka 25 ijayo kama njia hizo zitafutwa...
Kilimo cha maji (AQUACULTURE) ni sekta muhimu na inayokua kwa kasi zaidi ya uzalishaji wa chakula cha wanyama duniani, na inaendelea kuzidi kasi ukuaji wa idadi ya watu, huku usambazaji wa kila mtu kutoka kwa wafugaji wa samaki ukiongezeka kutoka kilo 0.7 mwaka 1970 hadi kilo 7.8 mwaka 2008...
:kilimo kwa maendelo ya sasa na vizazi vijavyo
Utangulizi
Sekta ya kilimo ndiyo uti wa mgongo wa uchumi wa nchi yetu. Inaajiri asilimia kubwa ya wananchi na inachangia pakubwa katika pato la taifa. Hata hivyo, sekta hii inakabiliwa na changamoto mbalimbali zinazohitaji kushughulikiwa kwa...
Uko Dar unataka kufanya kilimo cha mboga mboga na huna utaalam nione Kwa no 0625537380.
Kilimo chako kiwe kilimo cha kisasa, kilimo biashara yani kilimo cha kupata fedha.
Kumekuwa na dhana potofu hasa katika maswala ya kilimo na ufugaji kwamba vijana hawapendi kilimo na ufugaji vijana ni wavivu.mm niseme hata hao wanao sema vijana hawapendi kilimo na ufugaji nao ni wavivu Sana ajabu wao wenyewe wameajiliwa na mtu hyo wanae msimanga mvivu na hapendi kilimo na...
Wakulima wa mbunge katika Wilaya ya Mbalali, Mkoa wa Mbeya, wa nyimbo na changamoto ya kodi na kodi ambazo zinatishia uhai wa shughuli zao za kilimo. Kwa mujibu wa malalamiko yao, mkulima huyu hutozwa malipo ya shilingi 50,000 kwa heka moja kwa ajili ya mifereji ya maji. Hata hivyo, hakuna...
Tanzania ni moja ya wazalisahi wa Pamba hapa Africa ikiwa sambamba na chi kama Benin, Ivory coast, Burkina Faso, Cameroon, Sudan, Mali, na Nigeria na South Africa.Tanzania inatajwa kuazlisha tani 26,000 mwaka 2023 kutoka tani 16,000 mwaka 2021/2022.
Ukilinganisha na miaka ya nyuma, kilimo cha...
Katika nchi ya Tanzania aslimia 65.3 ya wananchi wake wanajihusisha na kilimo, hii tunaona kwamba ni kwa namna gani kilimo kina wafuasi wengi kupita kawaida haijalishi kwamba wengi wao hawanauwezo wa kujikwamua kwenda sekta nyingine, la hasha kilimo kinawapa mahitaji yao.
Kulingana na maendeleo...
Nimeweka risiti hapa uone kibaya zaidi jambo hili linatokea Nzega hapa ndio wakulima humkumbuka Magufuli yani gunia moja linatozwa ushuru kweli yani mkulima alime mazao yake ya kula yeye na famila yake anaenda kuvuna wanasubilia njiani atozwe ushuru.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.