Nyangabo2022

Senior Member
Nov 13, 2022
101
128
Wadau kama kichwa cha topic kinavyosema, shauku kubwa la mim kuja hapa ni kutaka kupeana uzoefu wa kilimo cha vitunguu maji kw misimu ya hiv karbun kutokana na nyuz zlzomo jukwaani kuwa za miaka mingi iliyopta mfn 2010! Mambo yamebadlika Sana kipind kile unakuta mtu anazungumzia kuuza gunia kwa elfu 60;
Karibuni kwa michango
1. Aina ya mbegu inayotoa vitunguu vizur vya saiz ya Kati
2. Gharama ya mbegu za kutosha hekari moja
3.Gharama ya uendeshaji
4.Changamoto.
5.Makadrio ya mapato yazingatie misimu ya mauzo ya wastan tustamanishane kwa kutajiana Bei kubwa kumbe uhalisia haupo vile.
N:B Niko sehemu inamito isyokauka na mashamba na miliki mwenyewe ispokuwa wenyeji wamebweteka hakuna aliyeiona hii fursa! Kusini kumenoga.
Karibuni kwa mawazo.
 
Mada inanihusu hii. Naweka kambi hapa. Mtoa mada ubarikiwe, nami nina plan ya kulima hiyo kitu this year.
 
1. Mbegu nzuri: red bombay

2. Gharama ya mbegu heka 1: 300k

3. Gharama ya uendeshaji kwa heka: 1.5
million ikiwa shamba la kukodi, kulima,
mbolea, madawa kumwagilia, kuotesha
n.k)

4. Changamoto
●Wadudu,
●ukungu,
●uhaba wa mvua (kwa wanaotegemea mvua)
●Magonjwa
●Sio kila eneo unaweza kusitawisha
vitunguu ukapata mazao mazuri

5. Wastani wa bei kwa gunia la debe 6: 70k mpaka 400k (inategemea na msimu
mfano mwaka huu tumeuza gunia hadi
400k)

Heka 1 inaweza kutoa hadi magunia 100 ikitunzwa vizuri
 
Kaka hii 70k ni lak 7 au elf 70
 
Saw kaka nmekupata vyema na vp kuhusu gharama ya water pump yenye uwezo wa kupampu maji kwenda mita 100 had Mia na 50 kutoka mton
Na hii mbegu uliyotaja ya kutosha heka moja kuwa ni lak 3 ni hz za kwenye kopo ama zile za kukata maotea ya vtunguu
 
1. Mbegu nzuri: red bombay

2. Gharama ya mbegu heka 1: 300k

3. Gharama ya uendeshaji kwa heka: 1.5
million ikiwa shamba la kukodi, kulima,
mbolea, madawa kumwagilia, kuotesha
n.k)

4. Changamoto
●Wadudu,
●ukungu,
●uhaba wa mvua (kwa wanaotegemea mvua)
●Magonjwa
●Sio kila eneo unaweza kusitawisha
vitunguu ukapata mazao mazuri

5. Wastani wa bei kwa gunia la debe 6: 70k mpaka 400k (inategemea na msimu
mfano mwaka huu tumeuza gunia hadi
400k)

Heka 1 inaweza kutoa hadi magunia 100 ikitunzwa vizuri
Mkuu,
Nadhani mwaka huu wakulima wa vitunguu mmetajirika. Huku tulipo 1kg ni Tsh.5000
 
1. Mbegu nzuri: red bombay

2. Gharama ya mbegu heka 1: 300k

3. Gharama ya uendeshaji kwa heka: 1.5
million ikiwa shamba la kukodi, kulima,
mbolea, madawa kumwagilia, kuotesha
n.k)

4. Changamoto
●Wadudu,
●ukungu,
●uhaba wa mvua (kwa wanaotegemea mvua)
●Magonjwa
●Sio kila eneo unaweza kusitawisha
vitunguu ukapata mazao mazuri

5. Wastani wa bei kwa gunia la debe 6: 70k mpaka 400k (inategemea na msimu
mfano mwaka huu tumeuza gunia hadi
400k)

Heka 1 inaweza kutoa hadi magunia 100 ikitunzwa vizuri
Hiv mbegu ya vitunguu ni nini? Ni vitunguu vyenyewe au??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom