Mh Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete aliwahi kutabiri na kiukweli leo nina diriki kusema huyu alikuwa nabii.
Alipo fika pale ikulu aliona jambo moja la hatari sana ndani ya chama na ndani ya kiti cha Rais. Kwa Upendo mkubwa sana na busara zake aliwaita wataalamu wa sheria na wakachambuwa madaraka ya Rais. Kazi ngumu ilifanyika na mwisho waziri wa wakati ule Hawa Ghasia if not Sophia Simba akapewa muswaada kupeleka bungeni.
Kiukweli watu walipinga nakumuona Mh Kikwete hakuwa na nia njema kwa mamlaka ya Rais. Lakini akielezea dhima ya kupeleka ule mswaada bungeni haya ndio yalikuwa maneno yake, "Madara ya Rais nimakubwa mno kiasi naona kama atatokea kiongozi akayatumia vibaya itakuwa ni shida kubwa" at that time hatukumuelewa na wazo lake lilipigwa chini bungeni.
Miaka imepita sasa leo tunamkubuka huyu nabii ambaye sasa ni mstaafu.
Huyu Nabii aliposhindwa kwenye hili akahangaika kufanya reforming ndani ya chama nakushusha madaraka kwa wanachama alifanikiwa kwa kiasi kikubwa il alipofika kutenganisha kofia ya Mwenyekiti wa chama na Kofia ya Rais watu waliinuka nakumuona kama pia ana agenda binafsi leo watu wanaona wakati huwo Mzee yupo msoga anafuga Ng'ombe nakula miogo.
Kiufupi tumekwama na kwakuwa yeye anakula pensheni yake kama mshauri ktk chama. Basi watu wanaisoma Namba kama hivi nakumkumbuka.
Kumbe JK pamoja na mapungufu yake alikuwa Rais Nabii aliyeona leo.