Dokta Jakaya Kikwete: ‘No way’

inchaji

JF-Expert Member
Jul 5, 2019
2,420
4,922
wakati Afisa Mhamasishaji wa Yanga Afrika akifungua halfa ya mchakato wa utiaji saini wa makubaliano ya mabadiliko ya mfumo kati ya Yanga, GSM na La Liga, amemtaja Rais Mstaafu Dokta Jakaya Mrisho Kikwete kama Rais kipenzi cha Watanzania.

Akiwa amekaa katika meza yake, huku kamera zikimmulika, Dokta Kikwete alionekana akijitikisha huku akishusha barakoa yake na kutamka ‘No way’.

Kwanini Dokta Jakaya Mrisho Kikwete anaukana ukweli? sisi wengine tunatamani hata agombee tena tumpe kura awe Rais wa nchi.
 
Anajua Mungu anawapenda wasiojikweza, kujikweza au ujuaji ni dalili za mtu asiejiamini.
 
Back
Top Bottom