Maendeleo: Uwanja unaochezwa Ramadhani Cup unaoitwa Jakaya Kikwete ulioko Kariakoo umejengwa na nani?

Uwanja umejengwa kwa funds za symbion power na club ya sunderland ya uingereza nayo imeweka msaada wake.. symbion baada ya kuchota sana hela za Watanzania kwenye umeme.. ikaamua kuwajengea uwanja ili muwaone wanawajali

Ukienda pale uwanjani kuna maandishi makubwa karibu na getini yameandikwa.. gift to Tanzanians from symbion power
 
Symbion

Hivi ile mipira walipiga dana dana Obama na jk na ilisemekana itazalisha umeme kipindi cha Obama alichozuru nchini,inazalisha huo umeme?
Ni kama una madini fulani hivi hebu funguka , kabla ya symbion kulikuwa nini ?
 
Uwanja umejengwa kwa funds za symbion power na club ya sunderland ya uingereza nayo imeweka msaada wake.. symbion baada ya kuchota sana hela za Watanzania kwenye umeme.. ikaamua kuwajengea uwanja ili muwaone wanawajali

Ukienda pale uwanjani kuna maandishi makubwa karibu na getini yameandikwa.. gift to Tanzanians from symbion power
Symbion ambao ni ndugu wa Richmond ?
 
Back
Top Bottom