kikwete

  1. Bams

    JamiiForums Tanzania Kwa dhuluma ambayo Jakaya Kikwete alimfanyia Mzee Lowassa, ataumaliza uzee wake bila amani

    Madaraka makubwa, usipokuwa na hekima, hasa hekima ya Mungu, yanalevya. Na ukikosa hekima unaweza kudhania kuwa wewe ni kila kitu, kwa sababu hakuna wa kukuhoji wala kukuadhibu. Mathalani madaraka ya Rais wa Tanzania, anaweza kuyatumia vyovyote apendavyo, hata kuua, akitaka, na asihojiwe wala...
  2. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Lowassa ameacha alama zitakazokumbukwa daima

    Rais mstaafu Jakaya Kikwete kwenye shughuli ya kuaga mwili wa hayati Edward Lowassa kwenye viwanja vya Karimjee, “TUMSHUKURU Mwenyezi Mungu kwa muda aliotupatia wa kuishi na kuhudumiwa na ndugu Edward Ngoyai Lowassa, wakati wa uhai wake ametoa mchango mkubwa kwa maendeleo ya nchi yetu, na...
  3. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Lowassa ndiye alienishawishi kugombea Urais

    Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete amefichua siri kuwa ni Lowassa ndiye alimshawishi kuchukua fomu ya kugombea urais mwaka 1995. Rais Mstaafu Kikwete anasema hakuwa na wazo la kutaka kujitosa kwenye kinyang'anyiro hicho lakini aliamua kuingia kwenye kinyang'anyiro hicho licha ya kwamba...
  4. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete: Vita dhidi ya rushwa ni agenda endelevu

    Maneno hayo yamesemwa leo na Naibu Waziri wa Nchi, Utumishi na Utawala Bora Ndg. Ridhiwani Kikwete wakati akijibu swali lililoulizwa Bungeni na Mbunge wa Jimbo la Mbuli Mjini Ndg. Zacharia Isaay aliyetaka kujua serikali imejipangaje kujenga ofisi za TAKUKURU nchini. Pamoja na majibu ya swali...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Jakaya Kikwete: Lowassa alipopata changamoto na kukaa pembeni, tuliendelea kuwa Marafiki

    Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete ametoa kauli hiyo baada ya kufika kutoa pole ya Msiba nyumbani kwa Waziri Mkuu Mstaafu, Hayati Edward Lowassa aliyefariki dunia Februari 10, 2024 wakati akipata matibabu katika Hospitali ya Moyo (JKCI). Akizungumzia kiongozi huyo, Kikwete amesema...
  6. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Jakaya Kikwete na Mkewe wawasili Msibani kwa Lowassa

    Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba Mh Jakaya Kikwete, leo Jumatatu ni miongoni mwa wadau waliofika nyumbani kwa Lowassa kuhani Msiba na kushiriki Maombolezo , ameambatana na Mkewe Mama Salma Kikwete. Itakumbukwa kwamba Lowassa ndiye aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kwanza kuteuliwa kwenye awamu ya...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Mbowe, hawa ndio walezi wakuu wa kisiasa wa Edward Lowassa

    Miamba hii mitano ndio inayohusika kwa kiasi kikubwa zaidi na mwanzo hadi mwisho wa maisha ya kisiasa ya Edward Lowassa. Edward Lowassa alianza maisha ya siasa katika mikono ya Mwalimu Nyerere akiwa kijana mdogo miaka ya 60's. Mwaka 1988 Lowassa alikuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha...
  8. Girland

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Bashe kwa Kikwete uliozua gumzo ni kuhusu Edward Lowassa

    Wakati tunasikitika kumpoteza, Edward Lowassa, Waziri Mkuu Mstaafu, si vibaya tukakumbushana kidogo. Ikumbukwe, baada ya kukatwa kwa jina la Edward katika kinyang'anyiro cha kumtafuta Mgombea wa CCM mwaka 2015. Mzee Lowassa alitimkia upinzani CHADEMA, ambako alipata nafasi ya kugombea Urais...
  9. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania CCM class of 2015 (Wagombea Urais) tumepoteza top 3 yote

    Wagombea urais wote wenye nguvu 2015 top 3 wote wameondoka. Haijalishi unatumia vigezo gani lakini top 3 ya wagombea urais CCM 2015 bado itabaki kuwa Lowassa, Magufuli na Membe. Kwa maana hiyo angechaguliwa yoyote kati yao basi hamna ambaye angetoboa miaka 10.
  10. B

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete: Serikali kuendelea kutoa elimu kwa jamii kuibua miradi ya tasaf itakayoondoa changamoto zilizopo

    Serikali imesema miradi yote inayotekelezwa na TASAF (Mpango wa kunusuru kaya maskini) huibuliwa na jamii kwa kutumia utaratibu shirikishi unaohusisha na jamii yote na kwamba serikali itaendelea kutoa elimu kwa jamii nzima nchini kuhakikisha inaibua miradi inayotatua changamoto zao katika maeneo...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TANZIA Aliyekuwa mlinzi mkuu wa Rais Kikwete, Hamis Lukindo afariki Dunia

    Aliyekuwa mlinzi mkuu wa Rais Kikwete, Hamis Lukindo amefariki leo Januari 29, 2024 katika Hospitali ya Mloganzila, Dar es Salaam, maziko yanatarajiwa kufanyika Januari 31, 2024, Same.
  12. U

    JamiiForums Tanzania Uhaba wa umeme nchini: Kwanini serikali ya CCM chini ya Marais wao watatu Kikwete, Magufuli na Samia imeshindwa kupata Suluhu ya kudumu?

    1. Tatizo lilianza seriously wakati wa utawala wa Jakaya Kikwete (2005 - 2015). Alijaribu kulitatua lakini serikali yake haikuwa na nia ya kutatua bali viongozi wa serikali kutumia tatizo hilo kufanya ufisadi ili kuiba pesa ya umma tu. Rejea kashfa ya Richmond. 2. Tatizo hili limedumu kwa...
  13. Nsanzagee

    JamiiForums Tanzania Mzee Kikwete alikuwa na damu ya Kunguni? (Gundu) hali ilivyo sasa

    Kipindi cha JK, hadi watoto wa primary waliandamana eti nao wanadai haki yao, wanavyuo, vyama pinzani, mpaka wabadini nao waliandamana kudai haki zao Inashangaza sana Nakumbuka 2013 nilikuwa kwenye viunga vya Bagamoyo, na kipindi hiko mgao wa umeme ulikuwa umepamba moto sana kiasi cha wananchi...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Kikwete asema mifumo mipya mitatu ya Utumishi itasaidia kupima utendaji na kujibu kero za wananchi

    Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete amesema mifumo mipya mitatu iliyobuniwa na kufungwa kwenye utumishi wa umma itasaidia kwa kiasi kikubwa sana kupima utendaji kazi wa mtumishi yeyote aliyepangiwa majukumu na kuona kiwango cha utekelezaji wa majukumu yake...
  15. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Kikwete (Rais Mstaafu) ni Muungwana kuliko, mwenye huruma na utu uliopitiliza

    Jamani habari wanajf, ukweli Rais Mstaafu Dkt. Kikwete ni kiongozi wa kipekee Sana tangu nianze kuwafahamu viongozi wengine. Ni kiongozi anayeguswa na matatizo ya watu moja kwa moja hasa misiba, na matukio ya kijamii. Mhe. Kikwete hajawahi kusikia Msiba kwa watu ambao unafikika akashindwa...
  16. ProcrastinatorInChief

    JamiiForums Tanzania Jakaya Kikwete na Ridhiwani, wageni rasmi kwenye sherehe za Jando na Unyago huko Msoga

    Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Mhe Ridhiwani Kikwete, Mbunge wa Chalinze ambaye pia ni Naibu Waziri katika Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, wakitembelea vijana kambini kwao usiku kijijini Msoga wilaya ya Chalinze mkoani Pwani ukoo wa Kikwete walikuwa na...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete anaandaliwa Urais 2030?

    Wana JF, hizi taarifa nimezipata kwa mtu mkubwa sana ndani ya TISS na ambaye amewahi kuwa kigogo wa idara hiyo. Ameniambia Mzee Jakaya Kikwete ndiye yuko nyuma ya Mpango huu na sehemu kubwa ya vigogo ndani na nje ya idara. Moja ya mkakati ulifanikiwa ni kuhakikisha baada ya sheria ilikuwa...
  18. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Ridhiwani Kikwete apewe maua yake kwa kupambana na wazembe na mafisadi

    Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Ridhiwani Kikwete amesema serikali imeamua kujenga Mfumo wa Kitaifa wa Kielektroniki wa Ununuzi Tanzania (NeST) ili kukabiliana na changamoto ya Rushwa katika mfumo wa manunuzi ya serikali. Kikwete ameyasema...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Upasuaji wa kwanza bila kufungua kifua wafanyika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete

    JKCI yaanza kutoa huduma ya kibingwa kuweka 'valve' kwenye moyo bila kufanya upasuaji wa kifua Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) imeanza rasmi kutoa huduma ya kibingwa ya Uwekaji wa mlango wa moyo (valve) kupitia tundu dogo bila upasuaji wa kifua (Transcatheter aortic valve implantation-...
  20. badison

    JamiiForums Tanzania Rais Samia nakuomba umuondoe Mzee Kikwete kwenye nafasi ya Chancellor wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam

    Sio kwa ubaya wala chuki na Rais Mstaafu Kikwete hapana mimi nakupenda na heshima yako ipo pale pale. Lakini Mkuu naomba uachie hiyo nafasi kwani wewe sio mtu sahihi kushika cheo kama hicho. Toka umeteuliwa hiyo nafasi mkuu kila mtu alijua kuwa UDSM inaenda kufa na kweli chuo chetu pendwa ndiyo...
Back
Top Bottom