Katika hali ya kawaida inaonekana ni vigumu girl kuomba mapigo toka kwa kijana barobaro, lakini hutokea kwa trick flani hivi.
Mfano mimi nakumbuka nilikuwaga na mahusiano na mdada mmoja Mwananyamala alikuwa ana style yake ya kuomba mapigo, ananipigia simu akidai anaumwa sanaa, basi kidume...