kijana

Michael Christopher Kijana Wamalwa (25 November 1944 – 23 August 2003) was a Kenyan politician and, at the time of his death, served as the eighth Vice-President of Kenya.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nifanye nini ili kesho ninayoiwaza isiwe ya majuto?

    Habari wakuu, Hopefully wengi wenu mpo poa kabisa, Ikiwa basi una itilafu yoyote ya kiafya basi zingatia tiba na Mungu akufanyie wepesi ukae poa kabisa. As you know mimi kijana wenu sasa naelekea kutimiza 23yrs mwaka huu, Sasa lengo la uzi huu ni kwa sababu nafahamu humu kuna watu wengi sana...
  2. JamiiForums Tanzania Hatimaye bilionea kijana Thobias Bulugu azikwa makaburi ya Mahina

    Hatimaye bilionea Thobias Bulugu aliyeuawa kikatili trh 30.12.2022 maeneo ya Nyakato Sokoni alipokuwa akirudi kutoka mizunguko yake ya kila siku amepumzishwa kwenye makazi yake ya milele leo trh 3 katika makaburi ya Mahina. Pamoja na kuwa na umri mdogo kabisa wa miaka 31 Thobias alikuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kufundisha fani ya uhazili

    Naitwa Andrew Timothy natafuta nafasi ya kazi ya kufundisha fani ya Secretarial. Nina uzoefu wa miaka miwili katika ufundishaji katika masomo ya Shorthand, Hatimkato, Secretarial Duties, Office practice, Typing Lakin pia Enterpreneurship Education and training..! Niko DSM Email...
  4. JamiiForums Tanzania Mambo ambayo kijana wa sasa unatakiwa kuwa makini nayo sana

    1. Epuka na ujitoe kabisa kutoka katika Kundi la watu wenye mitazamo hafifu juu ya maisha yao. 2. Acha kuwa king'ang'anizi kwa wale waliokutenga katika maisha yako. 3. Kuwa mtu wa haki na upendo hata kwa watu usiowajua. 4. Kuwa mtu wa heshima na upendo kwa kila mtu. 5. Kubali kuishi na watu...
  5. JamiiForums Tanzania Peter Gasaya, Boss wa JATU apandishwa Mahakamani. Wale mliotapeliwa na JATU poleni

    Jatu ni wale jamaa wa kipindi waliokuna na ule mchezo wa unatoa pesa alafu unalimiwa unauziwa. Mwisho wa siku watu wakatapeliwa. Hatimaye kaingia kwenye 18, serikali imemkamata na kumshtaki kwa kujipatia bil 5 kwa njia za udanganyifu wa kutapeli watu. Naipongeza serikali, Ila pia na nyie...
  6. JamiiForums Tanzania Mzee Mohamed: Tuna kazi kubwa sana kumuandaa kijana atakayefanana na Magufuli

    MZEE Mohammed Juma, Mkazi wa Unguja Zanzibar amesema kama Taifa tuna kazi kubwa sana kumuandaa kijana atakayefanana na Hayati Dkt. John Pombe Magufuli na alikubali lolote limfike lakini Tanzania isonge mbele. “Tuna kazi kubwa sana ya kumuandaa kijana atakayefanana na Magufuli, tuna kazi kubwa...
  7. JamiiForums Tanzania Kijana hakuna pesa bila upambanaji kamari ni ujinga

    Nisiwachoshe sana na salamu niende Moja Kwa moja kwenye mada Iko wazi kwamba no free lunch or dinner kama hutaki kuamini ngoja siku uje kusukumwa tope🤣 Siku hizi vijana wanaamini kwenye kamari na bahati nasibu, Ila katika vitu vimeleta uvivu katika kujituma pamoja na fikra basi ni kamari...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Bora kuolewa na mzee aliyejipanga kimaisha kuliko kuolewa na kijana maskini mwenzio

    Maisha yetu ni mafupi sana hapa duniani, hivyo tunapaswa kufurahia maisha muda wote. Hii habari ya kuoana na mtu eti mchume wote baadaye mtafurahia maisha haikubaliki. Maana hakuna aliye na mkataba na Mungu, unaweza ukafa the next morning. Na kwa taarifa yako furaha na umaskini havikai pamoja...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Kijana ajiua akihofia kudaiwa Sh 45,000

    Kijana anayefahamika kwa jina la Bukindu Bukindu (22), mkazi wa kijiji cha Ihega, Kata ya Bukoli wilayani Geita amefariki kwa kunywa sumu ya panya, akihofia kudaiwa Sh 45,000 aliyoagizwa kununua soda. Akizungumuzia tukio hilo, mama wa marehemu, Shija Anthony, amesema mwanaye alijiua siku ya...
  10. JamiiForums Tanzania Nzee Mpili shughulikia huyu kijana

    Nzee Mpili shughulikia kijana.. Wapi Nzee Jabiri
  11. JamiiForums Tanzania Kijana hii video ikawe Motisha kwako tunapoianza 2023

    Nawasilisha, uzee mwisho chalinze na haswaa ukiwa na mabumba ya kufa mtu. weka akili vizuri mambo haya yanawezekana
  12. JamiiForums Tanzania Kijana wa hovyo Ibu aliyemaliza wadada wa mtaa wote kisa alikuwa anavaa shanga na kukatika viuno kwenye tendo

    Ni miaka ya 2000/2001 huko wilayani kwetu jamaa mmoja aliyeitwa Ibu aliibua taharuki mtaani baada ya kubuni style ya kuwavutia wadada. Alikuwa akivaa shanga na kukatika viuno vya kiwango cha SGR. Sasa kila dada akipitiwa anaweza kusimulia kuwa Ibu ni moto wa kuotea mbali. Basi wakawa wao ndio...
  13. JamiiForums Tanzania Majirani wazuia jeneza la kijana kuingia kwa wazazi wake

    Wananchi wa Mtaa wa Maganga, maeneo ya Nurulyakini, Temeke, Dar es Salaam wamezuia mwili wa marehemu Pius Beda maarufu Stahimili (32) kuingia nyumbani kwa wazazi wake, kuonesha hasira zao kwamba wazazi hao walishindwa kumhudumia alipokuwa hai. Kijana huyo alikutwa amekufa kwa kujinyonga...
  14. JamiiForums Tanzania Wakati Zambia wakimlilia Kijana wao Nyirenda aliyefia vitani Ukraine; mzaliwa wa Rwanda aachiwa na majeshi ya Urusi

    Mzaliwa wa Rwanda Suedi Murekezi ambaye inasemekeana kuwa ni - US airforce veteran alikamatwa na majeshi ya urusi katika mwezi June akiwa nchini Ukraine ni mmoja kati ya askari 64 wa Ukraine walioachiwa na majeshi ya Urusi kupitia SWAP ya mateka wa kivita wa pande zote mbili. ===============...
  15. JamiiForums Tanzania Kama Katiba haijasema kuwa ajira ni haki ya kila kijana vijana muikatae kwa nguvu zote

    Habari vijana wenzangu, Binafsi Mimi siyajui machungu ya kuwa jobless. Nimemaliza tu kidato cha sita kisha kwenda JKT nikaajiriwa. Niliacha kazi mwenyewe na kupata kazi nyingine soon. Mimi sio mbinafsi, ninavyoona jinsi vijana wenzangu wanavyopata taabu naumia kiasi. Vijana wengi hawana...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Harakati za kijana na kujikwamua

    Maisha ni story tamu na chungu, nakumbuka nyuma huko tunapiga story na washkaji kwamba miaka flani mbele tutakua na familia, furaha, kazi/biashara na vyote vizuri. Salalee sasaivi tunaemea pakuche kesho itakua kheri, si kama hatukusoma wala si kwamba hatujaweka bidii kwenye kutafuta ila bwana...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Nimefuatilia sana sijawahi kuona kijana wa CHADEMA kwenye mabanda ya kubeti na kamari

    Hii sijui imekaaje au ni kwa kuwa hawaoni fursa huko? Au je, ni kwa vile ni vijana wanaojitambua hivyo hawana muda wa kupoteza? Naapa kabisa mbele yenu wana jukwaa ktk utafiti wangu mdogo kuanzia Dodoma, Morogoro, Dar na Zanzibar sijawahi kuona Vijana na wafuasi wa Chama cha demokrasia na...
  18. JamiiForums Tanzania Kijana Mkenya anayevutia mashabiki Qatar FIFA World Cup

    Abubakr Abbass, a 23-year-old from Kenya, has emerged as a firm fan favourite – and accidental social media sensation – during the football World Cup in Qatar. Sat on a tennis-umpire chair and wearing a large foam finger, he guides the hundreds of fans visiting the historic market – called Souq...
  19. JamiiForums Tanzania Mrejesho wa yale niliyosema kuhusu kijana wa hovyo Majaliwa aliyeidanganya nchi na wasomi wake

    INASIKITISHA SANA TENA SANA 😭 WALIOOKOLEWA WAKANA KUSAIDIWA NA MAJALIWA, WADAI WALITUMIA JUHUDI ZAO KUJIOKOA. Furaha ya Majaliwa Shujaa aliyeokoa watu kwe ajali ya ndege ya Precision Air iliyotokea Bukoba mkoani Kagera huenda ikageuka huzuni baada ya abiria waliookolewa kwenye ajali hiyo kudai...
  20. JamiiForums Tanzania Kijana ukihitaji kuoa chagua mke kutoka kwenye familia ya kipato cha kati

    Kijana wa sasa ambae hujaoa ila pia unategemea kuoa unapokuwa unatafuta mwenza jitahidi uchague mwanamke anaetoka kwenye familia ya kipato cha kati, vinginevyo itakuwa unaendeleza umasikini au utafanywa mgodi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…