Kijana wa miaka 24 jela maisha kwa kumbaka mtoto wa miaka 9

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,460
Juwai Magoda, mwenye umri wa miaka 24 Mkoani Iringa amehukumiwa kifungo cha maisha gerezani na faini ya Tsh milioni moja baada ya kupatikana na hatia ya ubakaji kwa binti wa miaka 9 aliyekuwa akisoma darasa la pili.

Hukumu hiyo imetolewa na Mahakama ya Wilaya ya Iringa, inadaiwa Magoda aliyekuwa akiishi jirani na mtoto huyo, alimbaka Mei 20, 2021 saa moja usiku wakati mama mtoto akiwa ametoka.

Mara baada ya mama kurejea, mtoto akamueleza mama yake na taratibu za kumkamata zikafanyika. Akiwa Mahakamani alipewa nafasi ya kujitetea lakini Magoda hakusema lolote.
 
Mahakamani alipewa nafasi ya kujitetea lakini Magoda hakusema lolote.

Pole sana kwa kijana,,,, haya mambo kuna wakati huwa yanahusisha imani za kishirikina...

Ushauri:: Vijana mnaojikuta makauzu,,kuomba uchi kwa mademu mnaona kama ni kujishusha,,acheni hizo tabia.

Jengeni ujasiri na Ombeni nanyi Mtapewa,,,ukishindwa kabisa Dirisha la usajili la CHAPUTA lipo wazi muda wote siku 365, masaa 24 kwa wiki...

Hili taifa linawategemea,,Uchumi wa hili taifa unawahitaji sana ndugu zangu.,,,Hili Linasikitisha sana...
 
mimi shida yangu sio kula kifungo cha maisha jela maana kam alikula mzigo au hakula mimi sikuwepo so siwezi sema lolote

shida yangu ni kujua je akikosa hio milioni moja nini kinatokea ?

na anaitoa wapi au huko jela kuna sehemu ya kutafuta hela ?
 
Iringa ngoma ipo ya kutosha labda jamaa akaamini 0 km mileage ndio hawana ngoma.
 
Juwai Magoda, mwenye umri wa miaka 24 Mkoani Iringa amehukumiwa kifungo cha maisha gerezani na faini ya Tsh milioni moja baada ya kupatikana na hatia ya ubakaji kwa binti wa miaka 9 aliyekuwa akisoma darasa la pili.

Hukumu hiyo imetolewa na Mahakama ya Wilaya ya Iringa, inadaiwa Magoda aliyekuwa akiishi jirani na mtoto huyo, alimbaka Mei 20, 2021 saa moja usiku wakati mama mtoto akiwa ametoka.

Mara baada ya mama kurejea, mtoto akamueleza mama yake na taratibu za kumkamata zikafanyika. Akiwa Mahakamani alipewa nafasi ya kujitetea lakini Magoda hakusema lolote.
Naomba kuuliza kwani kuuliza sio ujinga.
Inakuwaje mtu anahukumiwa kwenda jela maisha halafu anapigwa faini ?
Ma jaji wanategemea huko jela huyu mtu atakua na kipato gani?
Au wanategemea atamaliza kifungo Cha maisha ili arudi alipe hiyo faini?

Kangaroo court magistrates and judges the ball is in your court.
 
Hill nalo neno
 
Juwai Magoda, mwenye umri wa miaka 24 Mkoani Iringa amehukumiwa kifungo cha maisha gerezani na faini ya Tsh milioni moja baada ya kupatikana na hatia ya ubakaji kwa binti wa miaka 9 aliyekuwa akisoma darasa la pili.

Hukumu hiyo imetolewa na Mahakama ya Wilaya ya Iringa, inadaiwa Magoda aliyekuwa akiishi jirani na mtoto huyo, alimbaka Mei 20, 2021 saa moja usiku wakati mama mtoto akiwa ametoka.

Mara baada ya mama kurejea, mtoto akamueleza mama yake na taratibu za kumkamata zikafanyika. Akiwa Mahakamani alipewa nafasi ya kujitetea lakini Magoda hakusema lolote.
Katia huruma jamaa lkn ndyo hvyo mchuma janga
 
Hiyo million asitoe Wala nini sema huu umri wetu wa ujana unaweza ukapigwa mvua jela miaka 30-maisha kwa kesi za kusingiziwa au kukomolewa tu japo wafanya makosa pia wapo Ila jela zimejaa wasio na hatia inabaki ukweli unaujua wewe na moyo wako tu
 
mimi shida yangu sio kula kifungo cha maisha jela maana kam alikula mzigo au hakula mimi sikuwepo so siwezi sema lolote

shida yangu ni kujua je akikosa hio milioni moja nini kinatokea ?

na anaitoa wapi au huko jela kuna sehemu ya kutafuta hela ?
Nimeongezeka kuuliza hili swali mkuu
 
Back
Top Bottom