Michael Christopher Kijana Wamalwa (25 November 1944 – 23 August 2003) was a Kenyan politician and, at the time of his death, served as the eighth Vice-President of Kenya.
Leo nimekutana na tukio limenisikitisha sana nimeenda duka la dawa kununua dawa zangu za presha nakutana na kijana na yeye anapata huduma, yeye kafuata kondomu anasema anaenda kazini.
Hii nchi ina vijana wa ovyo sana yaaani j3 asubuhi yote hii saa 12 mtu baada kwenda kwenye uzalishaji...
Wasalaam JF,
Hoja thabiti za aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe David Zacharia Kafulila zimeendelea kugonga Vichwa vya wale wote wanaotamani kusikia na kuona Rais Samia Suluhu Hassan kashindwa kuliongoza Taifa hili na Sasa utafutwe mbadala,
Tofauti kabisa na wanasiasa wengi hapa nchini...
Kijana huyo ambae hajafahamika majina alimponda mbwa na jiwe jana usiku majira ya saa 2 usiku.
Tukio hilo la kustaajabisha liliyokea/limetokea Ukerewe Nansio maeneo ya Bakwata (Musoma road) mwisho wa lami.
Picha kukujia punde
Kisa cha kweli,
Mtoto alikuwa analelewa na bibi yake Naye bibi kalundika vijana wasio na kazi wanakula bure na kulala bure, mmoja wa vijana ana tabia ya kuwalawiti watoto huyu wa sasa ni watatu.
Issue ikajulikana Mara kutahamaki bibi wa aliyelatiwa anamaliza tatizo kifamilia mwenye mtoto...
Babake Majaliwa anastahili pongezi nyingi sana kwa kutuletea shujaa. Kitendo cha huyu babake Majaliwa kuukimbia familia ndiyo kimepelekea Majaliwa kuishi kwa shida hivyo kujengeka na kuwa shujaa.
Watoto wengi wanaolelewa na wazazi wawili huwa ni walegevu na wasio na tija ktk jamii. Huishia...
Nyumba nyingi wazazi wa kiume ama kina baba wanazikimbia na kuwaacha watoto kisa kikubwa inaonesha ni kina mama, hii ni baada kujitokeza mara nyingi wazazi wa kiume baada vijana wao kupata maendeleo flani mifano michache ni kama huyu kijana shujaa Majaliwa na watu maarufu kama Dimpoz na Diamond...
Yanasemwa mengi juu ya ajali mbaya ya ndege ya Precision Air kule Bukoba ikiwa imebakiza mita 150 kabla haijatua. Kila mwenye ujuzi wa kuandika anaandika kila mwenye maarifa ya ukosoaji anafanya hivyo kwa nguvu kubwa.
Kijana Majaliwa mwenye kujishughulisha na biashara ya dagaa ndiye aliyeibuka...
Nimeona mkono wa Pongezi kutoka kwa RC Chalamila kwa ushupavu wa kijana mmoja aliyepiga kasia na kuingia ndani ya maji na kufungua mlango jambo lililosadia kuokoa abiria 24. Ni jambo zuri, USHAURI wangu, huyo kijana aingizwe katika jeshi kitengo cha uokozi wa majini. Itakuwa ni kumbukumbu nzuri...
Unajiuliza, huyu kijana anayepewa ajira kwenye Jeshi la wanamaji, Jana asingekuwepo kungetokea nini ili hali jeshi la uokozi lipo tu tangu nchi ipate Uhuru!
Kwa nini wasifukuzwe kazi kwanza hao waliokuwepo Jana na kazi ilikuwa ni yao?
KISA CHA NABII MZEE NA NABII KIJANA JINSI KINAVYOWEZA KUIMARISHA IMANI YAKO
Na Shemasi Jimmy 0659611 252
Awali ya yote nawasalimu kwa Jina kuu kupita majina yote; Bwana Yesu apewe sifa.
Ungana nami shemasi wako katika simulizi hii nzuri inayopatikana katika kitabu cha 1fal 13:1-34, huku...
Nafuatilia mahojiano aliyofanya mfanyabiashara tajiri kijana Mo Dewji na Bloomberg.
Mo anadai anapata furaha kubwa pale inapokuwa ni ndoto ya kila kijana wa Kitanzania kufanya kazi na Kampuni yake, amedai watu wengi wameacha kazi mitandao ya simu na Kampuni za uchimbaji madini na kuamua kujiunga...
Nadhani kila moja wetu anafahmu kuwa hali ya maisha now imekuwa ngumu hususani kwenye swala zima la kipato na matumizi yapo juu sana. mpaka inapelekea maisha yanakuwa magumu sana, kila mtaa utakao pita utakuna na bodaboda.
Siyo kazi mbaya ila ndio kazi ambayo vijana wengi wanaweza kuifanya...
Mwalimu Mwakasege amesema kabla vijana hawajaungana Katika Ndoa ni vema wajitafakari kama Mungu ndiye anawaunganisha kwa Imani na siyo Upendo pekee.
Mwalimu Mwakasege amesema Upendo ukipoa basi Imani inaibeba Ndoa yenu.
Inashangaza kuona kijana anaachwa kimapenzi anakimbilia Kujinyonga...
Mara ya mwisho kuna mtu aliniibia laki mbili na akagoma kurudisha nilipata hasira sana lakini hii video imenifanya nipate huruma.
Hapa Dar es Salaam, kijana amechomwa moto huku raia wakimrekodi kwasababu amekuwa akiiba vifaa vya magari.
Picha na video zinatisha sana
Inafahamika kwamba wazazi hasa wa Kiafrika huwa na mitazamo juu ya maisha ya watoto wao kuanzia elimu mpaka makuzi ya watoto wao ndio hutoa taswira ya maisha ya mtoto.
Lakini kwa upande mwingine wazazi wengi wa Kiafrika hasa waliyokulia kwenye nyakati za ukimaliza shule utapata kazi, hawaamini...
Salam wakuu,
Kumekuwa na wimbi kubwa la vijana wavivu wa mawazo kukimbilia kujiunga na Chama Cha mapinduzi kwa kuamini kwao itakuwa fursa ya kufanikiwa either kupata kazi serikali na sio kupata connection za deal kubwa kubwa kama tender katika idara kubwa kubwa utashi huo wengi hawajafikia...
Mkazi wa Mwananyamala, Manjunju mkoani Dar es Salaam, Billal Hoza (21), amefariki dunia baada ya kuvamiwa na kundi la vijana waliomchoma kisu sehemu mbalimbali za mwilini na kumpora simu.
Vijana hao wapatao watano walimvamia kijana huyo aliyekuwa amekaa nje ya nyumba yao na kumchoma kisu...
Kijana Elvis Shoo (27) mkazi wa kitongoji cha Bogini Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro, amelazwa katika kituo cha Afya Pasua akiuguza majeraha ya moto, yaliyotokana na kuunguzwa kwa uji na shangazi yake akidaiwa kuiba maharage jikoni.
Tukio hilo ambalo linadaiwa kutokea Septemba 30 mwaka huu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.