kijana

Michael Christopher Kijana Wamalwa (25 November 1944 – 23 August 2003) was a Kenyan politician and, at the time of his death, served as the eighth Vice-President of Kenya.

View More On Wikipedia.org
  1. P

    JamiiForums Tanzania Kijana aajiriwe sawa, Je, Jeshi la uokozi waende wapi?

    Unajiuliza, huyu kijana anayepewa ajira kwenye Jeshi la wanamaji, Jana asingekuwepo kungetokea nini ili hali jeshi la uokozi lipo tu tangu nchi ipate Uhuru! Kwa nini wasifukuzwe kazi kwanza hao waliokuwepo Jana na kazi ilikuwa ni yao?
  2. Shemasi Jimmy

    JamiiForums Tanzania Kisa cha Nabii Mzee na Nabii Kijana jinsi kinavyoweza kuimarisha Imani yako

    KISA CHA NABII MZEE NA NABII KIJANA JINSI KINAVYOWEZA KUIMARISHA IMANI YAKO Na Shemasi Jimmy 0659611 252 Awali ya yote nawasalimu kwa Jina kuu kupita majina yote; Bwana Yesu apewe sifa. Ungana nami shemasi wako katika simulizi hii nzuri inayopatikana katika kitabu cha 1fal 13:1-34, huku...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Abdul Nondo: Tutaanza kufanyia kazi nyumbani, siyo kwenye jengo la kupanga

    Hawa vijana waliowahi kujiteka wanamatatizo sana. 👇
  4. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Dewji: Ni ndoto ya kila kijana wa Kitanzania kufanya kazi MeTL

    Nafuatilia mahojiano aliyofanya mfanyabiashara tajiri kijana Mo Dewji na Bloomberg. Mo anadai anapata furaha kubwa pale inapokuwa ni ndoto ya kila kijana wa Kitanzania kufanya kazi na Kampuni yake, amedai watu wengi wameacha kazi mitandao ya simu na Kampuni za uchimbaji madini na kuamua kujiunga...
  5. Ali Nassor Px

    JamiiForums Tanzania Unamshauri nini kijana asiye na ajira ambaye yupo tu mtaani?

    Nadhani kila moja wetu anafahmu kuwa hali ya maisha now imekuwa ngumu hususani kwenye swala zima la kipato na matumizi yapo juu sana. mpaka inapelekea maisha yanakuwa magumu sana, kila mtaa utakao pita utakuna na bodaboda. Siyo kazi mbaya ila ndio kazi ambayo vijana wengi wanaweza kuifanya...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Mwakasege: Inashangaza kuona kijana anaachwa kimapenzi anakimbilia Kujinyonga!

    Mwalimu Mwakasege amesema kabla vijana hawajaungana Katika Ndoa ni vema wajitafakari kama Mungu ndiye anawaunganisha kwa Imani na siyo Upendo pekee. Mwalimu Mwakasege amesema Upendo ukipoa basi Imani inaibeba Ndoa yenu. Inashangaza kuona kijana anaachwa kimapenzi anakimbilia Kujinyonga...
  7. Execute

    JamiiForums Tanzania Kijana anayetuhumiwa kuiba vifaa vya magari achomwa moto live huku akirekodiwa

    Mara ya mwisho kuna mtu aliniibia laki mbili na akagoma kurudisha nilipata hasira sana lakini hii video imenifanya nipate huruma. Hapa Dar es Salaam, kijana amechomwa moto huku raia wakimrekodi kwasababu amekuwa akiiba vifaa vya magari. Picha na video zinatisha sana
  8. C

    JamiiForums Tanzania Fikra duni ndio chanzo cha kupoteza ndoto za kijana?

    Inafahamika kwamba wazazi hasa wa Kiafrika huwa na mitazamo juu ya maisha ya watoto wao kuanzia elimu mpaka makuzi ya watoto wao ndio hutoa taswira ya maisha ya mtoto. Lakini kwa upande mwingine wazazi wengi wa Kiafrika hasa waliyokulia kwenye nyakati za ukimaliza shule utapata kazi, hawaamini...
  9. Konseli Mkuu Andrew

    JamiiForums Tanzania Kijana , kuwa mwanaCCM pekee sio suluhisho CCM inataka vijana wajenga hoja kwa maendeleo ya Tanzania

    Salam wakuu, Kumekuwa na wimbi kubwa la vijana wavivu wa mawazo kukimbilia kujiunga na Chama Cha mapinduzi kwa kuamini kwao itakuwa fursa ya kufanikiwa either kupata kazi serikali na sio kupata connection za deal kubwa kubwa kama tender katika idara kubwa kubwa utashi huo wengi hawajafikia...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kijana auawa na kuporwa simu

    Mkazi wa Mwananyamala, Manjunju mkoani Dar es Salaam, Billal Hoza (21), amefariki dunia baada ya kuvamiwa na kundi la vijana waliomchoma kisu sehemu mbalimbali za mwilini na kumpora simu. Vijana hao wapatao watano walimvamia kijana huyo aliyekuwa amekaa nje ya nyumba yao na kumchoma kisu...
  11. DreezyD98

    JamiiForums Tanzania Kijana aunguzwa kwa uji baada ya kodokoa maharage

    Kijana Elvis Shoo (27) mkazi wa kitongoji cha Bogini Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro, amelazwa katika kituo cha Afya Pasua akiuguza majeraha ya moto, yaliyotokana na kuunguzwa kwa uji na shangazi yake akidaiwa kuiba maharage jikoni. Tukio hilo ambalo linadaiwa kutokea Septemba 30 mwaka huu...
  12. luangalila

    JamiiForums Tanzania Kwa hizi tweets za mtoto wa Museveni ni viashiria vya wazi kuwa shirikisho la siasa ndani ya EAC ni ndoto

    Kwa kipindi tofauti tofauti Jumuiya hii ya Africa ya Mashariki imekuwa inakumbana na mambo ya Ajabu ajabu kutoka kwa viongozi Awali miaka ya 2005's -2010's Tilipitia kile kilichooitwa Coalition of Willingness ambapo hapa kidogo baadhi ya wana jumuiya walitaka kumtenga Tz, hatukukaa sawa...
  13. ankai

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Jenerali Muhoozi Kainerugaba ni dhahiri sasa amelewa madaraka. Ni kweli kwamba hajui madhara ya kauli aliyotoa kuhusu kuivamia Kenya?

    Yaaani nimeshindwa kuelewa mshauri wa masuala ya usalama katika nchi analeta utoto kama huu duuh
  14. Ali Nassor Px

    JamiiForums Tanzania Kijana wa kiume usitumie nguvu nyingi katika kumtongoza mwanamke ambaye huna malengo naye na wala haeleweki ukiamini utambadilisha

    Usitumie nguvu kubwa sana katika kumtongoza mwanamke, unaweza ukamkosa ukapoteza mda wako. Ila unaweza ukampata ukapoteza mda na pesa zako. Usimtongoze mwanamke kwa mategemeo ya kumbadilisha ni kweli wapo wanawake ambao wanabadilishika ila kama mwanaume usifanye hiyo kazi utapoteza mda wako...
  15. APPROXIMATELY

    JamiiForums Tanzania Kijana kama huna kazi, fanya hivi utapata haraka

    Simama pale posta,kariakoo na maeneo yenye foleni kubwa ya magari na bango lako nakuhakikishia hii style itakupa kazi fasta kuliko kulala ndani na kusubiri ugali wa shikamoo,kuna kipindi ikifika kwenye maisha hakuna kuogopa Chochote zaidi ya kujitoa tu
  16. willpower

    JamiiForums Tanzania Imenisikitisha; nilimkosea sana huyu kijana miaka mingi iliyopita

    Siku kadhaa hapo nyuma nilikuwa ni mwalikwa katika kongamano fulani lililohusisha wizara na taasisi kadhaa za serikali katika hoteli moja hapa mjini. Muda wa breakfast, nikiwa nimeshakaa tayari kuanza kula ndipo kijana mmoja alivuta kiti na kukaa mezani na kutoa salamu, habari za siku kaka...
  17. Dam55

    JamiiForums Tanzania Kijana kama hujaoa kisa unatafuta mwanamke wa hivi. Basi hutooa kamwe na utakufa masikini

    HUYU NDIYE MWANAMKE HALISI WA KUOA 1. Mpenzi wako akija kwako na akakukuta unakula ugali na kachumbari na akaamua kula nawe..huyo muoe.... 2. Ukienda nae hotelini akaamua kuagiza ugali dagaa na maji tu...muoe anajua uchumi. 3. Mdada ambaye akimuona mkaka mwingine anaendesha Land cruiser na...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Amka kijana, jitegemee

    Naamka asubui naangalia wallet yangu kitandani " dah! amna kitu, Mungu wangu nimekosa nini mimi?". Hii ilikuwa sentensi yangu kila siku nilipokuwa nikiamka na nililaani sana mfumo wa nchi hii kama kijana niliyesoma na mwenye Stahasha ya Biashara ya Uhasibu( B.A. BBA-Acoounting). Nililaumu...
  19. Shimbolyo

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kijana Inuka

    KIJANA INUKA 1 Umekaliwa kitako, Kukwepa tamaa yako, Wewe na jamaa zako, Wahisi maisha mwiko, Ujana ni mlipuko, Kijana nyosha kiwiko. Kitamu huwa ukoko, Kula bila chokochoko, Unaporemba mwandiko, Utaukosa mwaliko, Ujana ni mlipuko, Kijana nyosha kiwiko. 2 Leo haujahusika, Kuendana na masika...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Tiba ya Ugonjwa wa Tinnitus (Mvumo/kelele masikioni)

    Habari wanaJF, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24. Kwa sasa ni mwanafunzi wa moja ya chuo kikuu nchini, nilipatwa na tatizo la kupiga makelele au mivumo masikioni mwaka 2016. Nimesumbuliwa sana tatizo hili la masikio jambo ambalo linanipa shida hata nikiwa darasani kuwa na usikivu hafifu...
Back
Top Bottom