kijana

Michael Christopher Kijana Wamalwa (25 November 1944 – 23 August 2003) was a Kenyan politician and, at the time of his death, served as the eighth Vice-President of Kenya.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Kijana ukiwa mshabiki wa CCM watu wanajua we ni mchumia tumbo tu

    Hili jambo kwa kweli haliko sawa. Imefika mahali image ya mtu inachange kabisa. Yaani ukiwa mkereketwa kijana wa CCM hata ukajitetea vipi kwamba jamani na mimi niko kwa maslahi ya Taifa bado vijana wenzio na wazee hawatakuamini. Wanachojua ni kuwa umefata ulaji tu. Sambamba na hayo watu...
  2. JamiiForums Tanzania Ili nipate uteuzi ni lazima kuwa kada wa CCM au niwe Chawa wa Mama?

    INTRODUCTION Eeh bwana ehh habari zenu Nikiri Mimi sio shabiki kabisaa wa siasa. Yaani sina Kadi ya chama chochote na sifikirii kuwa na Kadi ya chama chochoteee kileee. Na kifupi huwa sifatilii zile habari za siasa zaidi ya hizi ambazo zinapostiwa insta kwenye page za habari za labda msingwa...
  3. JamiiForums Tanzania Putin kakosa usingizi wiki nzima sababu ya ishu ya kijana Tarimo

    Vyanzo vyangu kutoka Kremlin vimenidokeza kuwa Mr Putin kakosa kabisa usingizi baada ya taarifa ya msiba wa kijana wetu Tarimo. Tofauti na watu wengi wanavyofikiria ,Putin anataka kuwatimua mawaziri Kama wawili na majenerali kadhaa sababu ya kutopewa taarifa awali kuwa Kuna kijana wa...
  4. JamiiForums Tanzania Kijana wa miaka 15 aishi miezi 10 bila kula wala kunywa chochote

    Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firaoni. Kijana wa miaka 15 amekaa akifanya tahajudi kwa zaidi ya miezi kumi bila kula wala kunywa chochote. Kijana huyo ameendelea kuwa hai licha ya kutokula chochote kwa muda wote huo, na ameonekana mara kadhaa akitokwa na jasho jingi.
  5. JamiiForums Tanzania Kozi gani kijana wa kiume asomee VETA?

    Wakuu, nina mdogo angu age 18 kamaliza four mwaka huu, bila shaka hatoweza pata maksi za kwendelea. Sasa ni kozi gani ambayo itamsaidia mbeleni uko hata kwa kujiajiri. Ya kwanza napendekeza udereva, ila ningetaka kujua na nyingine ambayo haitopitwa na wakati maana maendeleo haya ya sayansi...
  6. JamiiForums Tanzania Kibongobongo haya ni Mafanikio Makubwa kwako Kijana ukiwa nayo. Furahia Maisha

    KIBONGOBONGO HAYA NI MAFANIKIO MAKUBWA KWAKO KIJANA UKIWA NAYO. Anaandika, Robert Heriel Siandiki kukusifia, au kukufanya uridhike. Najaribu kukueleza kuwa lazima ukubali kuwa umepambana na ufurahie matunda ya Kazi ya mikono yako. Usiposhukuru Kwa hayo uliyonayo hutokuja kushukuru Kwa Yale...
  7. JamiiForums Tanzania Kijana mtaalam wa mambo ya chips na kuku anahitajika

    Kijana mtaalam wa kutengeneza na kuandaa kuku choma, lemon, sekela, na Aina zingine za kuku, Pia mwenye utaalamu mkubwa wa kuandaa na kutengeneza chips Kali, mzuri, Na kuandaa Yale makorombwezo masalad, makachumbari, ma ukwaju pilipili and mambo kama hayo Mtu mwenye rafiki au ndugu au kama...
  8. JamiiForums Tanzania Kijana 26 years natafuta kazi yeyote halali

    Mimi ni kijana umri miaka 26, mwenyeji wa mkoa wa songwe ambako ninaishi mpaka sasa. Nimemaliza kidato cha nne na kupata div 2 point 20 mwaka 2015, nilifaulu vizuri masomo ya sayansi hivyo nikajiunga na advance kwa tahasusi ya pcb hapo sikufanya vizuri kwani nilipata division three point 14...
  9. JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Marekani wahoji utata wa kifo cha kijana wa Ki-Tanzania nchini Urusi

    Ubalozi wa Marekani kupitia taarifa waliyoweka kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram, Wamehoji juu ya utata wa kifo cha kijana wa raia wa Tqnzania aliyefariki akipigana vita Urusi. Ubalozi huo umehoji pia kama Urusi inawalazimisha wafungwa wenye asili ya Afrika kupigana vita yake na Ukraine.
  10. JamiiForums Tanzania Mara: Kijana apanda kwenye grid ya taifa

    Angalia hapa
  11. JamiiForums Tanzania Utafiti wagundua namna ya kumfanya mzee awe kijana na kijana kuwa mzee

    Maabara ya Boston imeweza kumfanya panya aliyekuwa mzee haoni kuweza kuona, misuli yake kupata nguvu, ubongo wake kuweza kufanya kazi kwa haraka na mwili wake kurudi katika hali ya ujana huku ikimfanya panya kijana kuwa mzee. Utafiti huu umehitimisha kuwa, uzee ni mchakato unaoweza kurudishwa...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Kijana wa China atengeneza kazi za sanaa ya kukata karatasi kusherehekea Mwaka Mpya wa Jadi wa Kichina wa Sungura

    Kijana wa China Chang Yangyang, ambaye ni mrithi wa utamaduni usioshikika wa China anaonyesha kazi zake za sanaa ya kukata karatasi zinazohusu mada ya Sungura katika kukaribisha Mwaka Mpya wa Jadi wa China wa Sungura.
  13. JamiiForums Tanzania Kijana uliyeoa, hakuna njia nyingine ya kufanikiwa zaidi ya kuwa na umoja na ushirikiano na mkeo

    Anaandika, Robert Heriel Kama umezaliwa familia masikini, na unampango wa kufanikiwa/kutoboa maisha yaani angalau uwe na nyumba nzuri, Gari, na watoto waishi Maisha poa. Basi inakupasa utambua baadhi ya Kanuni. Ingawaje Watu wanasema Maisha hayana Formula lakini zipo Formula katika Maisha...
  14. JamiiForums Tanzania Nasikitika hadumu, rafiki yangu Ujana ☹️

    Na: SHAABAN ROBERT (1909-1962) 1.Ujana kitu kitamu, tena ni azizi sana, Maungoni mwangu humu, nilikuwa nao jana, Kwa wingi katika damu, tahamaki leo sina, Nasikitika hadumu, rafiki yangu ujana 2. Kichwa kimejaa mvi,kinywani meno hamna, Nikenda kama mlevi, miguu nguvu haina, Kumbe ujana ni...
  15. JamiiForums Tanzania Nigeria: Kijana wa miaka 17 ashikiliwa kwa kuwapa mimba wanawake 10

    Jeshi la Polisi la Jimbo la Rivers Nigeria limemkamata mvulana mwenye umri wa miaka 17 aliyetambulika kwa jina la Noble Uzuchi na Chigozie Ogbonna (29) kwa madai ya kuwapa ujauzito wanawake 10 kwa ajili ya biashara haramu ya kuuza watoto. Waliokamatwa wengine ni washukiwa wawili wa kike, Favour...
  16. JamiiForums Tanzania Mungu nisaidie kijana wangu asiwe muhuni kama mimi, hatojenga

    Jana shule zimefunguliwa dogo uniform hazimtoshi, mekua guafla anazidi kurefuka mno. Likizo hii vibinti vya umri wake vilikuwa havikatiki nyumbani, tubinti tuzuri kweli, siku hizi inakuwaje wanawake wabaya wanazaa mabinti wazuri kweli? Mimi sio handsome ila yule mtoto wa mama mkwe alinizalia...
  17. JamiiForums Tanzania Kijana mwenye uwezo mkubwa wa kutengeneza michezo (games) ya kubeti, changamsha siku yako na hii

    Kila mtu anapenda kufanya kitu kitakacho mpa amani na furaha. Ikiwa utapata furaha ukifanya kitu Fulani, basi hicho ndio kitu kinachokufaa sana. Kuna watu wanapenda kupika, wengine kusoma vitabu, wengine kuimba au kuchora. Hizi zinaitwa hobbies, Mambo unayopenda sana,na siku yako haipiti bila...
  18. JamiiForums Tanzania Nifanye nini ili kesho ninayoiwaza isiwe ya majuto?

    Habari wakuu, Hopefully wengi wenu mpo poa kabisa, Ikiwa basi una itilafu yoyote ya kiafya basi zingatia tiba na Mungu akufanyie wepesi ukae poa kabisa. As you know mimi kijana wenu sasa naelekea kutimiza 23yrs mwaka huu, Sasa lengo la uzi huu ni kwa sababu nafahamu humu kuna watu wengi sana...
  19. JamiiForums Tanzania Hatimaye bilionea kijana Thobias Bulugu azikwa makaburi ya Mahina

    Hatimaye bilionea Thobias Bulugu aliyeuawa kikatili trh 30.12.2022 maeneo ya Nyakato Sokoni alipokuwa akirudi kutoka mizunguko yake ya kila siku amepumzishwa kwenye makazi yake ya milele leo trh 3 katika makaburi ya Mahina. Pamoja na kuwa na umri mdogo kabisa wa miaka 31 Thobias alikuwa...
  20. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kufundisha fani ya uhazili

    Naitwa Andrew Timothy natafuta nafasi ya kazi ya kufundisha fani ya Secretarial. Nina uzoefu wa miaka miwili katika ufundishaji katika masomo ya Shorthand, Hatimkato, Secretarial Duties, Office practice, Typing Lakin pia Enterpreneurship Education and training..! Niko DSM Email...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…