Huyu mwalimu amemsujudu huyu kijana kuliko anavyomsujudu Mungu wake

mirindimo

JF-Expert Member
Nov 2, 2009
820
1,335

Huyu dogo badae utasikia anapewa Ukuu wa Wilaya au Mkuu wa Mkoa, au Kamanda wa Polisi kisha IGP, unajua hii nchi ina us****** mwingi sana sijui tutakomeshaje haya mambo.

Huyu Mwl nina uhakika hata Mungu hamsujudiii hivi kama alivyosujudu hapa

INATIA HASIRA SANA
 
Kijana yupo sawa, na Vijana kama Hawa ni hazina kubwa Kwa Taifa .

Nikiwa kama Kijana Mzalendo, naungana na Kijana mwenzangu.

MAISHA ya Ujanja Ujanja hayafai , Na kwann Tuendelee kuishi katika mazoea ya miaka na miaka ,siku Hadi siku?

HATA HIVO, KIONGOZI MWENYE BUSARA NA HEKIMA NI KIONGOZI WAKO TU HATA KAMA UMEMZIDI MIAKA 20!!.
 

Huyu dogo badae utasikia anapewa Ukuu wa Wilaya au Mkuu wa Mkoa, au Kamanda wa Polisi kisha IGP, unajua hii nchi ina us****** mwingi sana sijui tutakomeshaje haya mambo.

Huyu Mwl nina uhakika hata Mungu hamsujudiii hivi kama alivyosujudu hapa

INATIA HASIRA SANA
Pesa tunakulilia pesa tunakuhangaikia, wengine wanakusujudia na wengine wanakuabudu.

Ukiwa na pesa na vyeo hata ukiwambia wana ccm we ni Mungu watakuamini na watakuabudu.

Ref:
 
Kwa hapa naungana na huyo Mwalimu. Kiongozi wa mbio za mwenge anapaswa kupewa heshima.
 
Heshima kwa kiongozi wa mbio za MWENGE, natamani wangekuwa hata 100 kama huyu dogo.
Kongolee kijana mwenzangu umeamua kukaa kwenye nafasi yako na kuitendea haki.
 
Nilichokiona hapo mleta Uzi unatwambia huyo dogo kamdharau huyo dingi, ila ujanja ujanja umezidi sana nchi hii. Hapo anatekeleza majukumu yake na si kuangalia umri wake, kama dingi kazingua lazima asujudu tu Ili kulinda ugali wake
 
Back
Top Bottom