Je, tumfikirie Shaka kwenye nafasi ya juu? Huenda ndio kijana mwenye ushawishi zaidi Tanzania

OffOnline

JF-Expert Member
Apr 23, 2022
564
408


Wasalaam,

Hebu pitia video hizo zote then njoo u-comment,Huyu kijana naona anastahili nafasi ya juu hapo baadae, Je, Wewe unaonaje?

===
Tazama, huu ni usiku ila vijana wanagoma kumruhusu kijana huyu aondoke

 
Tazama CCM ilivyo na mvuto kwa kijana,
IMG-20220819-WA0029.jpg
IMG-20220817-WA0001.jpg
IMG-20220817-WA0061.jpg
IMG-20220819-WA0075.jpg
 
Kwenye hatua aliyopo anafanya vyema.
Chama ni kubwa sana kuliko mtu, tumuache ajenge misuli.
 
Shaka ni mwenezi wa ccm mwenye busara kuliko waliomtangulia. Hajivuni, hakebehi hovyo wapinzani na hana siasa chafu. Nieleweke mimi si mccm, lakini namuona hivyo. Sloslow alitufikisha pabaya.
Kiukweli ukimlinganisha Shaka na wwatangulizi wake akina Nape na Polepole, huyu jamaa amejaa busara.

Lakini kwa akili Polepole anawazidi Nape na Shaka kwa mbali sana
 
Mbona mnafanya mikutano wenyewe! Ruhusuni na sisi tufanye mikutano Ili muweze kufanya Fair comparison! Mnavunja sheria Kisha mnajisifia ujinga?
 
No dis-respect to shaka but leo hii mimi unipatie V8 (na mafuta full tank Bure), unipatie platform,nikienda mikoani na wilayani viongozi wote wanaacha shughuli zao wanakuja kunisikiliza mie,ikulu naingia Bila appointment,ziara za RAIS nachagua ipi niende, nikienda mikoani naandaliwa makazi na chakula Bure, alafu uone jinsi nitakavyofanya siasa na Kazi kama punda...hii nchi mtaniomba nichukue fomu nigombee urais ili niwaongoze Bila kikomo...kila mmoja wetu hapa (chawa na wapambe aside) achukue dakika chache afikirie jinsi anavyopambana kimaisha kwa mbinu zake mwenyewe, alafu afikirie scenario ya kupewa nyenzo na facilities kama anazopewa Shaka, jipime na utuambie who is the best kati yako na Shaka.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom