Sensa na Idadi ya wanaojua Kiingereza nchini Tanzania

nasrimgambo

JF-Expert Member
Jan 10, 2017
1,858
2,348
Sensa inakuja hivi karibuni,

Moja kati ya takwimu ninazotaka kusikia ni takwimu za lugha.

Je, Watanzania wangapi wanaweza kuongea lugha za asili?

Je, Watanzania wangapi waliopo wana zungumza Kiswahili kama lugha ya pili? Yani si lugha waliyoanza kuongea kama lugha yao ya kwanza.

Je, Watanzania wangapi wanajua kuzungumza Kiingereza?

Pia nimekuwa nikifikiri kuwa, huenda hadi hapa tulipofikia idadi ya Watanzania wanaoongea Kingereza ni kubwa kuliko idadi ya Watanzania wanaoongea lugha za makabila.

Sina takwimu za kutetea hoja yangu ila nadhani sensa itaniletea majibu ya swali hili.
 
Na idadi ya watu ambao wanaelewa, wanaweza kuandika lakini hawawezi kuongea kingereza
 
Tanzania tunahangaika na sensa ya makabila na dini.
Sijui aliyebuni hii sensa Ana elimu ya chuo gani
 
Sensa inakuja hivi karibuni,

Moja kati ya takwimu ninazotaka kusikia ni takwimu za lugha.

Je, Watanzania wangapi wanaweza kuongea lugha za asili?

Je, Watanzania wangapi waliopo wana zungumza Kiswahili kama lugha ya pili? Yani si lugha waliyoanza kuongea kama lugha yao ya kwanza.

Je, Watanzania wangapi wanajua kuzungumza Kiingereza?

Pia nimekuwa nikifikiri kuwa, huenda hadi hapa tulipofikia idadi ya Watanzania wanaoongea Kingereza ni kubwa kuliko idadi ya Watanzania wanaoongea lugha za makabila.

Sina takwimu za kutetea hoja yangu ila nadhani sensa itaniletea majibu ya swali hili.
Iz nderichako speaks ze English
 
Tanzania tunahangaika na sensa ya makabila na dini.
Sijui aliyebuni hii sensa Ana elimu ya chuo gani
Hakuna kipengele cha dini wala kabila katika sensa ila kuna kipengele cha lugha zinazozungumzwa na watanzania hiko kipengele kipo
 
Hujui athari za vita, ila unadhani kuna faida kujua watu kadhaa wanaongea lugha fulani?
Sasa kama unataka habari za Ukraine anzisha uzi wa Ukraine ama nenda kwa walioanzisha uzi wa Ukraine tutakuja kuchangia, yani sie tusimamishe mada na shughuli zote kisa Ukraine imevamiwa,
 
Kwahiyo huu nao unaita uzi? Hadi hapo umeona nani kachangia? Itoshe tu kusema umepuuzwa.
 
Back
Top Bottom