RWANDES
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,614
- 3,903
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu imeibuka na mfumo mpya wa kujulisha umma Serikali inayoyafanya kwa njia ya Kiingereza. Hii imeminya umma usiojua Kiingereza kutojua yanayoendelea nchini
Tabia kama hii naona ni bora Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais. Zuhura Yunus atambue kuwa kwa sasa hayupo Uingereza ni muhimu sana taarifa aziandike kwa Kiswahili kwani itasaidia umma wote kufahamu yanayoendelea nchini.
Zuhura tunaomba ufahamu sisi ni Watanzania na lugha yetu ni Kiswahili; lugha unayotumia kutupasha habari za Ikulu ni mwiba kwa walio wengi hapa nchini
Tunaomba ubadilike na kama unaona ni muhimu kuandika lugha hiyo basi tuandikie na lugha yetu ya kiswahili.