kifungo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Afisa Mtendaji afungwa kifungo cha nje na kutakiwa kurejesha Tsh. Milioni 2 alizoiba

    Hukumu hiyo imetolewa na Mahakama ya Wilaya ya Mbozi, mkoani Songwe ikihusisha kesi ya Jinai No. 38/2023 dhidi ya Nassim Mbazu ambaye ni Afisa Mtendaji wa Kijiji cha Ipapa, Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi. Kwa mujibu wa Waendesha Mashtaka, Mshtakiwa alikutwa na kosa la Wizi huku akiwa Mtumishi...
  2. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Rais Museveni asaini muswada wa kupinga mapenzi ya jinsia moja

    My Take: Vikwazo vikiwekwa watakaoumia ni nyasi wala sio kina Museveni, so watu wawe tayari kwa matokeo. -- President Museveni has signed the anti-gay bill into law following improvements adopted to make it tougher for people engaging in LGBQT. "President Museveni has executed his...
  3. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Baada ya vuta nikuvute ya kujaribu kuacha fegi, hatimae kwa sasa nimejinasua kabisa kwenye kifungo cha uraibu wa sigara, ni miezi 6+ siijui fegi

    Nimeanza kuvuta fegi since 2012, fegi ilikuwa daily mara 3 asubuhi, mchana, sometomes jioni na usiku, kila siku, ni mara chache mno niliruka. Nilikuwa mvutaji wa siri sana, nilikuwa naenda kuvutia maeneo ambayo sijulikani na kweli niliweza kuitunza siri hii mpaka nimeacha hakuna anaejua kasoro...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Sudan: Mpinzani Mkuu wa Rais ahukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela kwa mashtaka ya ugaidi

    Rachel Ghannouchi (81) ambaye ni Spika wa zamani wa Bunge, alikamatwa Aprili 2023 kwa tuhuma mbalimbali ikidaiwa kuwa ni hatua ya kudhibiti upinzani wa kisiasa Chama cha Mwanasiasa huyo, Ennahda kilikuwa chama kikuu bungeni kabla ya Rais Kais Saied kulivunja Bunge mnamo Julai 2021 na kuchukua...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Senegal: Vyama vya Upinzani vyaitisha maandamano baada ya Kiongozi wao kuhukumiwa kifungo cha miezi 6

    Muungano wa Vyama vya Upinzani Nchini #Senegal umeitisha maandamano hayo siku moja baada ya Mahakama kumuongezea muda wa kifungo #OusmaneSonko kutoka miezi 2 hadi 6 kwa madai ya kumtukana Waziri wa Utalii Mame Mbaye Niangtou. Kwa mujibu Vyama hivyo, maandamano yanalenga kupinga uamuzi wa...
  6. Pendaelli

    JamiiForums Tanzania Kuchanganya udongo wa Zanzibar na Tanganyika haiwezi kuwa ni kifungo kwetu cha daima?

    Salamu kwa wote na heri za maadhimisho ya kumbukumbu ya muungano wetu. Tuna kila sababu ya kuwapongeza waasisi wetu kwa kuwa na fikra chanya za kutaka kuungana na hatimaye ikawa hivyo. Umoja, undugu, mshikamano kwa kiasi kikubwa imekuwa sababu ya kupelekea maendeleo ya moja kwa moja kwa wale...
  7. BigTall

    JamiiForums Tanzania Je, Wajua kumiliki laini ya simu zaidi ya moja ni kosa na adhabu ni kifungo zaidi ya mwaka mmoja jela?

    Huwa nawaambia kila siku kuwa jambo mpaka likukute ndo utajua kuwa lipo. Na nyote si mnajua kuwa kutokujua sheria sio kinga/hoja/udhuru. Hautafikishwa Mahakamani ukasema nilikuwa sijui, halipo hilo. Kanuni ya 37 ya GN. No.60/2023 Kanuni za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta Kuhusu Usajili wa...
  8. Mpinzire

    JamiiForums Tanzania Wakili Mahuna: Sabaya hajafungwa kifungo cha nje, ila Kapewa muda wa uangalizi wa mwaka mmoja

    Wakili wa Sabaya, Mh Mahuna amesema Sabaya alikiri kosa la uhujumu uchumi na hivo kwa mujibu wa makubaliano ya Plea Bargaining Sabaya anapaswa kumlipa Alex Swai kwa niaba ya mdogo wake Tsh 5,000,000/=. Mara baada ya hayo kesi ilienda kufail tena kwa makosa mawili ambayo ni "Kujitwawalia...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Sabaya amemaliza lini kifungo cha miaka 30 jela?

    Wakuu salamu,ama baada ya salamu naomba kuelekea kwenye swali ama hoja. Tumeona leo Sabaya akiachiwa huru na kurejea nyumbani baada ya taarifa za kukili kosa na kupewa kifungo cha nje kwenye kesi 7 za uhujumu alizokua amefunguliwa hapo Moshi. Kabla ya yote wote tujikumbushe kua Sabaya...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mzee Pinda: Adhabu ya kifo ifutwe nchini

    Hoja ya kufutwa kwa adhabu ya kunyongwa inazidi kupata nguvu, baada ya Waziri Mkuu mstaafu, Mizengo Pinda kuungana na wadau wengine kutaka adhabu hiyo ifutwe na badala yake iwe kifungo cha maisha. Mapendekezo ya Pinda yanaungana na wadau mbalimbali, wakiwamo mawakili, watetezi wa haki za...
  11. comte

    JamiiForums Tanzania Mnaounga ushoga sheria ya kuwafunga kifungo cha maisha ipo toka 1954

  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Aliyekata rufaa kupinga kifungo cha miaka 30 afungwa maisha

    Rufaa ya pili aliyokata mkazi wa Kijiji cha Mwanambaya, Wilaya ya Mkuranga, Denis Joseph, kupinga kifungo cha miaka 30 kwa kosa la kumbaka na kumlawiti mwanafunzi imegeuka msiba baada ya kujikuta akiambulia kifungo cha maisha. Mahakama ya Rufani imekubaliana na Wakili wa Serikali, Elizabeth...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tunduru: Ahukumiwa kifungo cha maisha kwa kumlawiti Mtoto wake wa miaka minne

    Mkazi wa Kijiji cha Namiungo, Wilaya ya Tunduru, Mohamed Saudi Ngwelekwe mwenye umri wa miaka 25 amehukumiwa kifungo cha maisha jela baada ya kupatikana na hatia kumlawiti mwanaye wa kumzaa mvulana wa miaka minne. Mtuhumiwa Mohamed Saudi Ngwelekwe ambaye kwa sasa ameanza kifungo chake Hukumu...
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa upinzani wa Belarus apewa kifungo cha miaka 15 jela kwa tuhuma za kupanga mapinduzi

    Kiongozi wa upinzani wa Belarus Sviatlana Tsikhanouskaya, aliyeko uhamishoni, Jumatatu amepewa kifungo cha miaka 15 jela, licha ya kutokuwepo nchini, baada ya kupatikana na hatia ya jaribio la mapinduzi. Uamuzi huo yeye ameutaja kuwa adhabu ya kujaribu kukuza demokrasia ya Belarus...
  15. O

    JamiiForums Tanzania Witness: Nilimsubiri mume wangu amalize kifungo cha miaka 30

    Wakati tunaelekea Siku ya Wanawake Duniani, Witness Mbangala (45) ni miongoni mwa wanawake waliopitia changamoto katika familia, lakini bado wakasimama imara kuhakikisha kila kitu kinakwenda sawa. “Safari ya maisha yangu imepitia changamoto nyingi, baadhi ya watu walinishauri niolewe na...
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wanaofungwa chini ya miaka 3 watumikie kifungo cha nje

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Kaspar Mmuya, amependekeza wafungwa chini ya miaka mitatu watumikie kifungo cha nje. Lengo la pendekezo hilo ni kupunguza msongamano wa wafungwa na mahabusu magerezani. Pendekezo hilo alilitoa juzi kwenye Tume ya Kuangalia jinsi ya kuboresha...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania R. Kelly ahukumiwa kifungo cha miaka 20 kwa uhalifu wa Kingono

    R. Kelly amehukumiwa kifungo kingine cha miaka 20 huko Chicago kwa kesi yake ya uhalifu wa ngono ya mtungo. Mwimbaji huyo alikuwa katika mahakama ya shirikisho huko Illinois ambapo miaka 19 kati ya miaka hiyo atatumikia kifungo sawa na kifungo anachotekeleza sasa. Waendesha mashtaka...
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Waendesha mashtaka wataka R.Kelly akimaliza kifungo cha miaka 30, aongewewe 25 jela

    Licha ya kuwa ana hukumu ya miaka 30 iliyotolewa na Mahakama ya New York baada ya kukutwa na hatia ya makosa ya Unyanyasaji wa Kijinsia, Waendesha mashitaka wametaka akimaliza hukumu hiyo iongezeke miaka 25. Wametoa mapendekezo hayo katika kesi nyingine ya Ponografia na Kushawishi Watoto wadogo...
  19. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Mwanamme aliyemchinja kichwa mkewe ahukumiwa kifungo cha miaka nane jela

    PICHANI: Binti mdogo Mona aliyekuwa mke wa muuaji aitwaye Sajjad Heydari. Katika hali ya kusikitisha, kijana mmoja nchini Irani amemchinja pichani juu binti aliyekuwa mkewe kutokana na kumkimbia kwa sababu mateso na manyanyaso ndani ya Ndoa yao. Binti huyo mdogo aliolewa akiwa na miaka 12 na...
  20. Zakaria Maseke

    JamiiForums Tanzania Kosa la kulawiti mtoto chini ya miaka 18: Adhabu ni kifungo cha maisha gerezani

    Ukimlawiti (kumwingilia kinyume na maumbile) mtoto (wa kike au wa kiume) wa chini ya miaka 18, adhabu ni kifungo cha maisha jela (life imprisonment). Adhabu hii ni kwa mujibu wa kifungu cha 154(2) cha sheria ya Kanuni ya Adhabu (Penal Code) Sura ya 16 (Cap. 16), kama ilivyofanyiwa marejeo...
Back
Top Bottom