kifungo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mpinzire

    David Mataka aliyehukumiwa 20 Agosti, 2021 aliwahi kuhukumiwa Mwaka 2017 kwa kesi ileile na Mahakama ileile

    Kuna jambo limenishangaza sana! Jana Mahakama ya Akimu Mkaazi Kisutu ilimuhuku aliyewahi kuwa Mkurugenzi wa ATCL, David Mataka kwenda jera miaka minne ama kulipa Faini Milion 8 kwa kuisababishia ATCL hasara ya Tsh Billion 71. - David Mataka ahukumiwa kulipa faini Tsh milioni 8 kwa...
  2. Erythrocyte

    Ni akina nani waliohukumiwa kwenye kesi ya ugaidi inayomkabili Mbowe kama alivyosema Rais Samia?

    Namba hazijawahi kudanganya, kwa mujibu hati ya mashitaka ,Mbowe ameshitakiwa pamoja na wenzake watatu, kwa mashitaka kadhaa huku Mbowe akikabiliwa na mashtaka mawili, hawa wote wako rumande na kesi yao inaendelea. Nukuu Rais Samia: Mimi sidhani kama yamechochewa kisiasa kwasababu navyojua...
  3. Suley2019

    Shinyanga: Suruali yenye damu yatengua hukumu ya kifungo cha miaka 30

    MAHAKAMA Kuu Masijala ya Shinyanga imeamwachia huru Daudi Manamba aliyekuwa anatumikia kifungo cha miaka 30 jela baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kumwingilia kinyume cha maumbile mwanafunzi wa miaka sita. Mbele ya Jaji Elizabeth Mkwizu, mahakama ilitoa uamuzi huo baada ya kusikiliza rufani...
  4. beth

    Belarus: Mpinzani wa Rais ahukumiwa kifungo cha miaka 14

    Mpinzani wa zamani wa Urais wa Taifa hilo, Viktor Babaryko, amehukumiwa kifungo cha miaka 14 jela baada ya kukutwa na hatia kwenye mashtaka ya kupokea rushwa na utakatishaji fedha. Babaryko ni miongoni wa Wapinzani wakuu wa Rais Alexander Lukashenko ambayo wamefungwa au kulazimika kukimbia Nchi...
  5. Mr Q

    Umma ujiandae. Lengai Ole Sabaya anaenda kuwa huru au kutumikia kifungo laini

    Kama ambavyo Mashehe wa uamsho walivyotolewa. Babu seya kulamba msamaha(anzi za magu). Mdude kuachiwa(kushinda kesi). Mbowe na wenzake mahakama kuamuru warejeshewe mamilioni. Singasinga. Bila shaka yoyote wewe kama mwanamchi wa kawaida jiandae kisaikolojia ya kwamba Aliye kuwa mkuu wa...
  6. beth

    Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma ahukumiwa kifungo cha miezi 15 gerezani

    Mahakama ya Juu zaidi Nchini Afrika Kusini imemhukumu aliyewahi kuwa Rais wa Taifa hilo, Jacob Zuma kifungo cha miezi 15. Uamuzi huo umekuja baada ya Mahakama ya Kikatiba kumkuta na hatia ya kudharau Mahakama baada ya kukaidi agizo la kufika kwenye Uchunguzi wa Ufisadi wakati akiwa Rais. ======...
  7. S

    Nakulilia Ivon Njochanilo, Ulimwengu utasimama na Wewe

    Kijana IVO amefungwa Kifungo cha maisha Gerezani Ukonga kwa kesi ya Kulawiti: Criminal case (cc); 165/2020 Kuzaliwa na Vifo vya Wazazi Miaka 19 iliyopita katika kijiji cha Kifanya huko Mkoani Njombe kijana IVO alikuja duniani na kuiona dunia kwa mara ya kwanza, kwa bahati mbaya sana sana...
  8. beth

    Aliyempiga kofi la uso Rais wa Ufaransa ahukumiwa kifungo cha miezi minne

    Mahakama imemhukumu aliyempiga kofi Rais Emmanuel Macron usoni siku kadhaa zilizopita kifungo cha miezi minne. Mwendesha Mashtaka amesema alichofanya Damien Tarel (28) hakikubaliki na kilikuwa kitendo cha makusudi cha ghasia. Rais Macron (43) alisema hakuamua kuchukua hatua za kisheria na...
  9. real G

    Mahakama imemhukumu aliyekuwa Mkurugenzi wa ATCL, David Mataka kifungo cha miaka 6 au faini ya milioni 35

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemhukumu aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), David Mattaka na mwenzake kulipa faini ya Sh35 milioni kila mmoja au kutumikia kifungo cha miaka sita jela. Mbali na Mattaka, mshtakiwa mwingine ni Elisafi Mathew aliyekuwa kaimu ofisa...
Back
Top Bottom