Hashpuppi ahukumiwa kifungo cha miaka 11 jela kwa makosa ya utakatishaji fedha

mawaridi

Member
Aug 30, 2015
47
123
1667947685928.png

Raia wa Nigeria, Ramon Abbas, maarufu kwa jina la Hashpuppi amehukumiwa kifungo cha miaka 11 jela huko Marekani

Hashpuppi alikuwa anatuhumiwa kufanya utapeli unaofikia jumla ya dola millioni 24 za Marekani kwa njia ya mtandao

Hashpuppi anatajwa kuwa mmoja wa matapeli wakubwa zaidi wa mtandaoni duniani. Umaarufu wake na uwezo wake wa kutengeneza mtandao kumemwezesha kufanikisha matukio makubwa ya utapeli kwa ufanisi mkubwa.

Hashpuppi alihukumiwa kifungo hicho jumatatu ya 7/11/2022 ambapo pia ametakiwa kuwalipa dola million 1.7 kwa waathirika wake wawili wa utapeli huo

================
A Nigerian social media influencer who flaunted a lavish lifestyle of private jets and luxury cars has been sentenced to 11 years in prison over charges related to a multimillion dollar scam that targeted companies in the United States and overseas.

Ramon Abbas, known to his millions of Instagram followers as Ray Hushpuppi, pleaded guilty in April last year to conspiracy to engage in money laundering. In addition to the prison sentence handed down on Monday, United States District Judge Otis D. Wright II ordered him to pay $1.7 million in restitution to two fraud victims.

It is a spectacular downfall for Abbas, 40, whose June 2020 arrest at his gilded perch in Dubai made headlines worldwide. Before his sentencing, Abbas was held in federal detention in Los Angeles, his once flamboyant social media account gone quiet — despite gaining 500,000 new followers since his arrest.

Chanzo: CNN

Pia soma mada inayofanana na hiyo:
 
N sawa. Lakn kwa kufungwa marikani kias flan sio mbaya saaana maana jela zao zina utu.

Wangemfunga naigeria huko ndo jamaa angedata kbsa.

Dola mil 24 kutoa 1.7 = 22.3. Bafo ana ukwasi wa kutosha akinaliza kifungo
 
Alikuwa na zaidi ya 24mil$, kina mpigo mmoja aliifyatua serikali ya Nigeria 35mil$(ilikuwa ni msaada wa kukabiliana na Covid19) kabla hazijaingia kwenye account za kwao baharia akazi-divert, nadhani ndiyo lilikuwa bao lake la mwisho kabla hajakamatwa.
 
Na akiwa mahabusu hukohuko marekani alitengeneza mchongo mwingine wa hela ndefu ila ukashtukiwa ukiwa kwenye hatua za mwisho, once mwizi, always mwizi! Asipowekewa uangalizi wa kutosha ata endelea kupiga hela akiwa hukohuko jela.
 
N sawa. Lakn kwa kufungwa marikani kias flan sio mbaya saaana maana jela zao zina utu.

Wangemfunga naigeria huko ndo jamaa angedata kbsa.

Dola mil 24 kutoa 1.7 = 22.3. Bafo ana ukwasi wa kutosha akinaliza kifungo
Kwani pesa ya utapeli anaachiwa?
 
View attachment 2410871

Raia wa Nigeria, Ramon Abbas, maarufu kwa jina la Hashpuppi amehukumiwa kifungo cha miaka 11 jela huko Marekani

Hashpuppi alikuwa anatuhumiwa kufanya utapeli unaofikia jumla ya dola millioni 24 za Marekani kwa njia ya mtandao

Hashpuppi anatajwa kuwa mmoja wa matapeli wakubwa zaidi wa mtandaoni duniani. Umaarufu wake na uwezo wake wa kutengeneza mtandao kumemwezesha kufanikisha matukio makubwa ya utapeli kwa ufanisi mkubwa.

Hashpuppi alihukumiwa kifungo hicho jumatatu ya 7/11/2022 ambapo pia ametakiwa kuwalipa dola million 1.7 kwa waathirika wake wawili wa utapeli huo

================
A Nigerian social media influencer who flaunted a lavish lifestyle of private jets and luxury cars has been sentenced to 11 years in prison over charges related to a multimillion dollar scam that targeted companies in the United States and overseas.

Ramon Abbas, known to his millions of Instagram followers as Ray Hushpuppi, pleaded guilty in April last year to conspiracy to engage in money laundering. In addition to the prison sentence handed down on Monday, United States District Judge Otis D. Wright II ordered him to pay $1.7 million in restitution to two fraud victims.

It is a spectacular downfall for Abbas, 40, whose June 2020 arrest at his gilded perch in Dubai made headlines worldwide. Before his sentencing, Abbas was held in federal detention in Los Angeles, his once flamboyant social media account gone quiet — despite gaining 500,000 new followers since his arrest.

Chanzo: CNN
Hii habari ilishawekwa humu labda kama ni hukumu nyingine.
 
N sawa. Lakn kwa kufungwa marikani kias flan sio mbaya saaana maana jela zao zina utu.

Wangemfunga naigeria huko ndo jamaa angedata kbsa.

Dola mil 24 kutoa 1.7 = 22.3. Bafo ana ukwasi wa kutosha akinaliza kifungo
Hata angefungwa wapi bado ange enjoy kimbuka billionaire
 
N sawa. Lakn kwa kufungwa marikani kias flan sio mbaya saaana maana jela zao zina utu.

Wangemfunga naigeria huko ndo jamaa angedata kbsa.

Dola mil 24 kutoa 1.7 = 22.3. Bafo ana ukwasi wa kutosha akinaliza kifungo
Jela za US zina utu? Uliza mtu aliyewahi kufungwa US. Jela zao zina ubabe balaa, afadhali angefungwa Europe.

Mahesabu yako kuhusu hela zake yamenichekesha. Assumption yako ni kwamba jamaa atalipa hiyo 1.7 tu halafu hela nyingine zoote watamwachia abaki nazo.Huwajui FBI wewe. Kwanza kwa hicho kifungo walichompa ni wazi kwamba alitoa ushirikiano (cooperate). Lazima atakuwa ameonyesha hela zote na wameshamkwangua. Bado hujaweka malipo ya wanasheria. Jamaa hatakuwa na hela ya maana baada ya kifungo.
 
You're so naive, kama ungekuwa umewahi kuishi maisha ya 'dili' usingeyaandika uliyoyaandika kwenye hili bandiko lako.
Ni kweli kuna baadhi ya mambo ametoa ushirikiano lakini ukumbuke jamaa ni tapeli nunda na kama umewahi kuishi na kushirikiana na wapopo katika michongo utanielewa.
Mifumo yao(network & aggressiveness) mtu akikamatwa yatajulikana tu yale wanayotaka yakulikane, pamoja na kwamba kwa sasa wamembania kuwa anaenda library kwa sababu alikuwa akiendelea na upigaji akiwa ndani lakini bado ana access ya simu ambayo kwa timu aliyonayo inatosha sana kuendeleza kazi. Nadhani unafahamu kuwa hata illicit drug dealers wengi huwa wanaendelea kufanya kazi hata wakiwa gerezani, ni kuwa tu na watu unawaagiza nini kichukuliwe wapi na kipelekwe wapi malipo hayawahusu hilo linabaki kwa hustler na buyer namna watakavyokubaliana.
 
Mimi nilikuwa nazungumzia ishu ya hela alizokuwa nazo wakati anakamatwa. Kwamba atafanya michongo baadaye sio ishu ninayoi-address.
 
Pesa zilizokuwa kwenye mazingira yanayojulikana na assets zilizo kwenye jina lake vinaweza kuwa frozen lakini visivyojulikana(of course ndiyo huwa vingi na more valuable) vitapona.
 
Una uhakika kuna visivyojulikana au una-speculate tu? Naona unataka kulazimisha kwamba jamaa alikuwa bonge la mjanja wakati alikuwa anaji-expose mpaka kakamatwa kifala tu.

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom