KENYA: Daktari Mkuu wa Hospitali ya Karen, Dkt. Dan Gikonyo amesema Mwanasiasa Rigathi Gachagua alifikishwa kituoni hapo akiwa na maumivu ya kifua lakini anaendelea vizuri huku akifanyiw avipimo vingine.
Amesema “Gachagua alifika Saa Tisa Alasiri, alisema alikuwa na maumivu makali kifuani...
Waziri wa Mambo ya Ndani, Kithure Kindiki, amesema Polisi pekee hawastahili kulaumiwa kwa vifo vya waandamanaji waliopigwa risasi wakati wa maandamano ya 25 Juni, 2024 ambayo yalihusisha majengo ya Bunge la Nairobi yakivamiwa
Akiongea mbele ya Kamati ya Usalama wa Taifa ya Bunge, Kindiki...
1. Mheshimiwa Paul Peter Kimiti (Mbunge Mstaafu -Sumbawanga Mjini) ni mwanasiasa mkongwe nchini, nusura aule nafasi ya Waziri Mkuu. Ila kutokana na kukosa kifua akaenda kuropoka kwa mkewe na mke nae bila kutulia akayamwaga saloon kwa mashosti zake. Mashosti wakaanza kuyasambaza kitaa. Mteuzi...
Tangu vita vianze hakuna hata nchi moja ambayo imetoa maneno ya kuikemea Israel kikamilifu au kutaja matendo yao kuwa ni haramu.
Badala yake utasikia maneno kama ilichofanya Israel huko Gaza yanaweza kuwa ni uhalifu wa kivita.Yanasemawa hayo wakati yaliyofanywa madogo kuliko hayo maeneo mengine...
Hellow
Leo nimefika shop kununua pipi kifua kifua kidogo kinanisumbua so nikasema ngoja nipate pipi kifua, nikatoa jero ili nipate kumi naambia moja 100 sio 50 duh nikauliza kwanzia lini wakasema mbona ndio bei yake
Kwani pipi kifua zina matumizi mengine ambayo mm siyajui up zinapanda bei...
Habari wana jamii forum. Nina mtoto wangu wa kiume miaka 2 na nusu, mwanagu huyu anasumbuliwa mno mno na kifua na hata mafua.
Nimehangaika hospital nyingi anapewa madawa na kuchomwa sindano kwa udogo wake namuhurumia sana nimekuwa mtu wa mawazo sana sindano zinamuumiza hapa napoleta post...
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema idadi ya Vifo vya Wajawazito vimepungua kutoka Vifo 556 vilivyotokea mwaka 2016 hadi kufikia Vifo 104 kwa kila Vizazi Hai 100,000
Akiwasilisha Bajeti ya Wizara ya Afya kwa mwaka 2024/25 Bungeni, pia, Waziri Ummy amesema Vifo vya Watoto wenye chini ya Miaka...
Shalom,
Ninawajibu wa kuwapa taarifa, kuwasanua, na kuwakumbusha kuhusu umuhimu wa kuyaenzi mapenzi katika namna yenye ubora, tija, yenye kuacha Alama ama Legacy katika mapenzi.
Unapoingia kwenye mapenzi hakikisha unafahamu nyenzo muhimu zenye kuacha Alama ama Legacy kwenye Mapenzi...
Kuna kampuni imeanzishwa au kupewa tender inayokwamisha biashara nchini kwa kigezo cha wrong parking
Kampuni hii imekuwa chanzo cha wageni kugoma kutumia bandari yetu au kupeleka image mbaya nje ya nchi.
Kampuni haitoi control number ya malipo wanayodai wateja, haina risiti ya uthibitisho wa...
Umewahi kunywa sumu yoyote ile kimakosa kisha baadhi ya watu wakakushauri utumie maziwa fresh kama sehemu ya tiba?
Madai ya maziwa fresh kuwa na uwezo wa kuondoa sumu mwilini yamekuwepo wa muda mrefu. Katika kujadili ufanisi wake, mdau mmoja wa JamiiForums amekosoa vikali tiba hii kwa kusema...
SERIKALI YAWAKINGIA KIFUA WAKANDARASI WAZAWA KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA BENKI YA DUNIA
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameiomba Benki ya Dunia kupitia upya masharti ya manunuzi katika mikataba ya utekelezaji wa miradi ya miundombinu ili kutoa fursa kwa Wakandarasi wazawa kushiriki...
JKCI yaanza kutoa huduma ya kibingwa kuweka 'valve' kwenye moyo bila kufanya upasuaji wa kifua
Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) imeanza rasmi kutoa huduma ya kibingwa ya Uwekaji wa mlango wa moyo (valve) kupitia tundu dogo bila upasuaji wa kifua (Transcatheter aortic valve implantation-...
Wataalamu wa magonjwa ya moyo na mishipa ya damu wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na wenzao wa Hospitali ya Starcare ya nchini India wakifanya upasuaji mdogo wa moyo wa kubadilisha valvu ya mshipa mkubwa wa damu (Aortic Valve) bila kufungua kifua (Transcatheter Aortic Valve Implantation...
Historia ya kina na uchunguzi kamili unapaswa kufanywa ili kubaini sababu inayowezekana zaidi na njia ya utatuzi. Ikiwa kuna upungufu wa mtiririko wa damu kwenye moyo hali inayopelekea kuzuia misuli ya moyo kupokea oksijeni ya kutosha (myocardial ischaemia) mara nyingi maumivu yake huwa ni...
Kuna tetesi kuwa Waziri Mchengerwa, anayesifika kuwa na kifua kikubwa kukabiliana na maswala ya utawala, kaingia figisu za tamaa.
Gazeti la Mwanahalisi (September 28-October 4, 2023) limedokeza kuwa kulikuwa na jaribio la Mchengerwa kujitwaalia gari mpya pya pya pya, aina ya Nissan Patrol ...
Niende moja Kwa moja kwenye mada bila kuwachosha.
Ninaitaji msaada wa dawa ya kifua kubana hasa usiku na kutoa sauti kama ya filimbi kwa umbali na nikikohoa natoa kama kama vikamba kamba.
Tatizo hili limeanza ukubwani japo sina historia ya kusumbuliwa na kifua. Na tatizo hili hutokea nikivuta...
Msaa nina mdogo wangu amabaye kwa muda sasa anasumbuliwa na maumivu kifuani na maumivu haya huja maraa baada ya kufanya mazoezi au muda mwingine huibuka tu.Tulijaribu kwenda hospitali moja alifanyiwa vipimo vya Moyo ikaonekana hana shida.Vipimo vivyo angaliwa ni ECG,bp pamoja na kiwango cha...
Wakuu,
Tulikuwa tunapiga stori kijiweni wakasema kama huna kovu la ndui kwenye bega la mkono wa kulia basi ujue chanjo hiyo haijafanya kazi. Kwahiyo sisi ambao hatuna hilo kovu ndio inamaanisha chanjo iligoma kufanya kazi au?
Hii ni kweli, au maneno tu ya mtaani? Maana sioni kabisa uhusiano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.