kifo

Mwisho wa uhai, mwili kutokuwa na uhai.
  1. anonymousafrica

    JamiiForums Tanzania Huwezi kimbia kifo, alitoroka hukumu ya kifo akafa kwa kipigo bar

    Georgia, Marekani, hili ndilo tulio la kwanza kwa mtu aliyehukumiwa kifo kutoroka gerezani. Alitoroka siku moja kabla ya hukumu yake ya kifo. Bahati mbaya mtu huyo, alifariki kesho yake kwenye ugomvi uliotokea BAR Troy Leon Gregg alizaliwa April 22, mwaka 1948 na kufariki July 29 mwaka 1980...
  2. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Risala ya Dkt. Shein: Kifo cha Mkapa kimeacha pengo kubwa katika uongozi na maendeleo

    KIFO cha Marehemu Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bejamin William Mkapa kimeacha pengo kubwa katika uongozi na maendeleo ya Tanzania, Afrika na duniani kote kwa mchango wake uliooendelea kuhitajika ndani na nje ya mipaka yaTanzania. Rais wa Zanzibar na...
  3. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Rais Mkapa: Burundi yatangaza siku 3 za maombolezo kuanzia leo. Waziri Mkuu wake afika kuhudhuria msiba

    Serikali ya Burundi imetangaza siku 3 za maombolezo kufuatia kifo cha Rais mstaafu wa Tanzania Benjamin Mkapa. Kwa siku zote tatu Bendera zitapepea nusu mlingoti ikiwa ni kuanzia leo, jumatatu.
  4. U

    JamiiForums Tanzania Lissu ni mhanga wa kifo anastahili mapokezi ya kitaifa. Tujitokeze kwa wingi

    Tukikumbuka kilichompata Mhe! Tundu lissu 2017, kwa mtanzania yeyote mwenye mwili na anamwabudu Mungu, mwenye huruma na upendo alimponya tundu Lissu ni Mungu tu, hili halina ubishi, mpango wa wabaya wake ulikuwa tundu lissu afe lakini mpango wa Mungu tundu lissu aishi alitumize kusudi! Tunaenda...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Rais Mstaafu Benjamin William Mkapa katika jicho la tatu

    Kifo cha Rais Mstaafu wa Serikali ya awamu ya tatu ni moja ya vifo huenda kikazivutia idara nyingi za usalama ktk mataifa makini yanayopenda kulinda uhai wa viongozi wao wakuu wa kitaifa. Awali ya yote niwape pole nyingi familia ya marehem Benjamin William Mkapa. Nina imani hawakujuwa na...
  6. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Kumbe sababu ya kifo cha Mkapa ni Cardiac Arrest. Asante sana mwanafamilia William Erio kumaliza sintofahamu hii

    Wanabodi, Kumbe sababu ya kifo cha Mpendwa wetu, Benjamin William Mkapa ni Cardiac Arrest!. Asante sana Mwanafamilia wa familia ya Mkapa, William Erio, kuusema ukweli huu na kumaliza rasmi ile sintofahamu ya chanzo cha kifo, ambayo imezua mijadala kwenye mitandao ya kijamii ikiwemo JF. Kama...
  7. Influenza

    JamiiForums Tanzania Mama Samia: Hakuna aliyetarajia msiba wa Rais Mkapa kwa sababu hatukusikia kuumwa kwake, tumesikia msiba wake. Ni msiba mzito na umekuja kwa mshtuko

    Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan amesema kifo cha Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa ni msiba mzito kwa Taifa na umekuja kwa mshtuko mkubwa kwasababu umetokea hakuna aliyetarajia au kutegemea Amesema, "Hakuna aliyetarajia kwasababu kama tungesikia Mzee amelazwa anaumwa kwa wiki na tumekwenda...
  8. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Balozi Gastorn: Kifo cha Rais mstaafu Mkapa si pigo tu kwa Tanzania, bali pia kwa Jumuiya ya Kimataifa

    Mwakilishi wa kudumu wa Tanzania kwenye Umoja wa Mataifa Balozi Kennedy Gastorn amesema kifo cha Rais mstaafu wa Tanzania Benjamin William Mkapa kilichotokea usiku wa kuamkia leo jijini Dar es salaam sio pigo kwa Tanzania tu bali kwa jumuiya nzima ya kimataifa. Balozi Gastorn amesema kuwa...
  9. Influenza

    JamiiForums Tanzania Kufuatia Kifo cha Mkapa: Mikutano ya kuwapata Wagombea Urais wa Tanzania na Zanzibar kupitia CHADEMA yasogezwa mbele

    Kufuatia kifo cha Rais Mstaafu Benjamin William Mkapa, Chama cha CHADEMA kimesogeza mbele mikutano yake ya kuwapata Wagombea Urais wa Tanzania na Zanzibar Mikutano ya kuwapata Wagombea hao kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 28, 2020 ilikuwa ianze Julai 27 hadi Julai 29, 2020 lakini sasa...
  10. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Tangazo la kifo cha Benjamin Mkapa, Kurungenzi ya Mawasiliano Ikulu lawamani. Inahitaji kusaidiwa kumsaidia Rais - Jicho Letu Ndani ya Habari

    Wanabodi, Naangalia Kipindi cha Jicho Letu Ndani ya Habari, kipindi kinajadili Msiba wa Benjamin Mkapa. Tangazo la Msiba lililotolewa na Rais Magufuli, Kurungenzi ya Mawasiliano Ikulu imelaumiwa kwa kutokumsaidia rais kikamilifu kutoa tangazo hili, hali inayotafsiriwa kuwa katika baadhi ya...
  11. Matope

    JamiiForums Tanzania TANZIA Dodoma: Asia Saidi, Mwenyekiti wa BAWACHA afariki dunia kwa kupigwa na mshale

    Asia Said Ali (50) Mrangi ambaye ni Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake la CHADEMA Kata ya Palanga, Wilaya ya Chemba Mkoani Dodoma, amefariki dunia baada ya kupigwa mshale na Mtu aliyefahamika kwa jina la Haruna Ali Kimata miaka 35. Marehemu akiwa amekaa na mume wake muda wa saa mbili na nusu...
  12. Castr

    JamiiForums Tanzania Dec Speman vs Scott Westgarth: Ushindi & Kifo

    ...
  13. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Pemba: Anusurika kifo baada ya kupigwa mapanga mwili mzima na ndugu yake

    Waswahili husema kikulacho ki nguoni mwako, mkulima mmoja kutoka Kisiwani Pemba, alinusurika kifo baada ya kupigwa na mapanga mwili mzima na ndugu yake ambaye alimkuta akimuibia ndizi shambani kwake. Bwana Issa ni mkulima mdogo kisiwani Pemba wakati wa tukio hilo, aliigiza kama amekufa ili...
  14. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Iran imemhukumu kifo mtu aliyetuhumiwa kupeleka taarifa za kiusalama kwa wamarekani

    Mahmoud Mousavi Majd amehukumiwa kufa kwa tuhuma za kupeleka taarifa za kiusalama za Iran kwa wamarekani na kufanikisha mpango wa kumuua Qassem Soleimani. Majd ameuawa Julai 20, kwa amri ya mahakama. Mahakama ilisema kuwa Majd alikuwa na uhusiano na Shirika la kijasusi la kimarekani, CIA, na la...
  15. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania JaJi Bongole Afariki Dunia akiwa Kazini: Umejifunza nini kwenye kifo chake?

    Jaji Mkuu wa Tanzania aliyewekwa kwenye uangalizi kabla ya kuwa confirmed baada ya mwaka mzima, yaani kwa mara ya kwanza duniani kusikia kitu kinaitwa "kaimu jaji mkuu" Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma anasikitika kutangaza kifo cha Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Tabora Mhe...
  16. Behind the camera

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuwa Usalama wa Taifa?

    Narudia tena kusema ‘MFICHA MARADHI, KIFO HUMUUMBUA’ Habari za muda huu ndugu zangu, waungwana wenzangu. BIla shaka afya zenu ni njema na mnaendelea vema kabisa na majukumu ya kulijenga taifa letu la Tanzania. HONGERENI SANA Waswahili walisema “Mficha maradhi, mauti humuumbua” Kauli hii ina...
  17. anonymousafrica

    JamiiForums Tanzania MAREKANI: Kifo Cha Malcom X na Kufukuzwa kwenye Chama Cha Umoja Wa Waislam (NOI)

    NA AnonymousAfrica #Twitreporter Nimeandika hii, kwaajili ya kuwapatia watu picha kamili kwa lengo la kukujuza / kuelimisha / Kwa wengine ni burudani pia. Sina lengo la kuchonganisha, wala kubagua Kuuliwa kwa Malcolm X Mnamo Februari 21, 1965, Malcolm X aliuawa wakati akitoa hotuba katika...
  18. the kind

    JamiiForums Tanzania Kifo kabla ya wakati /muda, hili jambo lina ukweli ama ni uzushi/uongo?

    Amani iwe nanyi World average life span,katika kila nchi duniani kunakua na umri wa ukomo wa kuishi mfano kwa hapa kwetu Tanzania ni kuanzia miaka 60 means kwamba ukifika miaka 60 basi kwamba kifo ndio hatua inayofuata Lakini pia wazungu wanaamini kua ikitokea mtu amekufa chini ya muda wa...
  19. mgt software

    JamiiForums Tanzania Dkt. Sebi kielelezo cha Waafrika kukataliwa Tiba zao. Alikufa kifo chenye utata baada ya ugunduzi wa Dawa ya UKIMWI

    WanaJF, Mfahamu Dr. Sebi: Mwafrika Aliyetibu Ukimwi Wazungu Wakamla Kichwa! Alfredo Bowman maarufu kama Dr. Sebi, hakutibu ukimwi tu, alitibu hadi kansa na kisukari biashara za watu, wakamfugulia jumla ya kesi 2,781 akashinda zote, akaja kubambikiziwa zengwe la utakatishaji fedha, akatupwa...
  20. anonymousafrica

    JamiiForums Tanzania Mk-ultra: Mkakati wa uchunguzi wa CIA na kifo cha John Lenon (Mwanamuziki kikundi cha The Beatles)

    KIFO CHA JOHN LENON 8 December 1980 Watu waliotumika kufanya mauwaji ya watu wakubwa , wengi wao ukiwafuatilia wanakua walipata mafunzo ya kijeshi. Au mafunzo na kufanyiwa unyama huu wa Mk-ultra. Kama umetazama movie za James Bond au Jason Bourne USIDHANI yameisha kwenye movie tu, haya mambo...
Back
Top Bottom