kifo

Mwisho wa uhai, mwili kutokuwa na uhai.
  1. JamiiForums Tanzania Kifo cha Diamond Platnumz kinaweza kupoteza Mamia ya watu pamoja na Muziki wa Tanzania

    Naseeb Abdul Jumah.... a.k.a Diamond Platnumz ni icon Tanzania kipengere cha Muzik, Ni kijana ambaye anatakiwa angaliwe na serikali kwa upana maana hata serikali yenyew imeblooh anajiongeze sio utani. Mbali na kumiliki anavyovimiliki chibu dangote yuko na team sahihi kabisa isikuwa na mchezo...
  2. JamiiForums Tanzania TANZIA Msanii wa HipHop SALU T afariki dunia

    Msanii mkongwe wa Hip Hop nchini, Salutaba Mwakimwagile maarufu kama Salu T amefariki dunia jijini Mbeya leo tarehe 15 Aprili 2023. Msanii huyo amefariki akiwa anaendelea kupewa matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Mbeya. Akitoa taarifa ya awali, Msanii mwingine wa HipHop, Taikun Ally maarufu...
  3. JamiiForums Tanzania Nakitabiria kifo Chama cha Mapinduzi

    Sijawahi kupiga ramli wala si mtabiri ila kwa yanayoendelea nchini na kwa manung'uniko ya wananchi kila mahala ,si ajabu hiki chama kiko mbioni kuvifuata vyama vyenzake vya ukombozi huko mahala pema. Watanzania wa sasa wamebadirika mno, nadhani zamani kidogo ilikuwa tofauti ila sasa kila...
  4. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli muislamu akibadilisha dini adhabu yake ni kifo?

    Wakuu Sallam Siku chache zilizo pita Kuna mdau iliweka thread humu JF aliuliza kumbe ukitoka kwenye uislamu unahukumiwa kifo,mada ambayo imezua mjadala mkubwa sana wachangiaji wengi wameonekana wakitoa maoni hasi juu ya uislamu kupita mada hio, wengi wanaizungumzia vibaya uislamu kuwa dini ya...
  5. JamiiForums Tanzania Upi Ukweli juu ya kifo cha Yesu?

    Hivi Yesu alikufa? ni kweli? kwasababu gani? Doc hii inasambaa kwenye magroup,jamaa anaongea magubiri mazuri
  6. JamiiForums Tanzania KWELI Magego ya juu yaking'olewa bila kuwa na utaalamu wa kutosha huweza kusababisha upofu na kifo

    Hivi ni kweli kuwa ung'oaji wa magego (Meno ya kutafunia) ya juu usiozingatia utaalam huweza kupelekea upofu au kifo kwa asilimia kubwa?
  7. JamiiForums Tanzania Bongo movie bila steven kanumba

    Ni miaka 11 Sasa tokea kifo Cha star mkubwa wa maigizo,the great Steven kanumba kutokea,kanumba alikuwa na content yake special iliyokuwa inambeba,sijaona wakuziba pengo lake,bongo movies ya Sasa Amna aliofikia level ya kanumba kwenye kuigiza,kipaji mpaka production. Steven kanumba baada ya...
  8. JamiiForums Tanzania Kisa kifo Cha AKA mgahawa wa wish on Florida umeshuka pakubwa kibiashara

    Uongozi wa mgahawa maarufu huko Darban Afrika kusini WISH pale ambako AKA alipigwa risasi,Baada ya kupata chakula chake Cha mwisho,last supper. Unatangaza kuufunga mgahawa wa WISH kuanzia tareh 10/4/ Wanatarajia kuwaalika watu mbalimbali kula chakula Cha mwisho unaoitwa last supper kwa ajiri...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Katika ajali Ile dereva alijua soon kifo kinatuvaa

    Tarehe 16 September 2016 nilisafiri na Basi la Newforce toka Dar to Songea, Safari ilikuwa nzuri sana toka tunaondoka Ubungo, nakumbuka nilikaa seat no A2, A1 alikaa rafiki yangu ambaye alikufa dakika chache baada ya ajali kutokea Basi hili halikuwa na tatizo lolote maana toka Dsm halikupoteza...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wanasayansi waelezea hatari za kifo cha ghafla wakati wa tendo la ndoa

    Wanasayansi waelezea hatari za kifo cha ghafla wakati wa tendo la ndoa 3 Septemba 2021 Imeboreshwa 21 Januari 2023 CHANZO CHA PICHA,MALAYALAMEMAGAZINE.COM Tendo la ndoa hufurahisha, na kadiri wakati umeendelea kusonga tangu enzi za mababu zetu, ni tendo ambalo limetokea kufurahiwa na wanaume na...
  11. JamiiForums Tanzania Mzee Pinda: Adhabu ya kifo ifutwe nchini

    Hoja ya kufutwa kwa adhabu ya kunyongwa inazidi kupata nguvu, baada ya Waziri Mkuu mstaafu, Mizengo Pinda kuungana na wadau wengine kutaka adhabu hiyo ifutwe na badala yake iwe kifungo cha maisha. Mapendekezo ya Pinda yanaungana na wadau mbalimbali, wakiwamo mawakili, watetezi wa haki za...
  12. JamiiForums Tanzania Napingana na Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda anayetaka Adhabu ya Kifo ifutwe

    Kwanini GENTAMYCINE nataka iendelee kuwepo na tena kama Watekelezaji wakiwa hawapo Mimi nipo tayari Kuwasaidia. 1. Adhabu ya Kifo inaokoa Gharama za Walipa Kodi katika Kuwatunza 2. Adhabu ya Kifo inasaidia Kuokoa muda kwa Watendaji wa Magereza Kuwatunza Wahalifu Wanaotaka a Kunyongwa 3...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Muitalia ana nyumba Zanzibar akifa ndugu zake wanaweza kurithi?

    Hamjambo? Mwanamke fulani kutoka Italy ana nyumba Zanzibar tangu zamani. Huyu mwanamke anazeeka kwa hiyo anataka kuja nyumba yake inaweza kurithiwa na jamaa zake wanaoishi Italy? Pia warithi hawa wanaweza kukataa urithi? Asanteni
  14. JamiiForums Tanzania Msaada wa historia ya maisha na kifo cha "Mbena Malumbi" kama sijakosea jina lake

    Heshima kwenu wakubwa kwa wadogo. Kwa kipindi nilichokaa Morogoro nilipata kusikia kwa kifupi taarifa kuhusu Mbena Malumbi na pia kuoneshwa baadhi ya zilizokua mali zake. Hivyo, nimekuja kwenu kuwaomba mnijuze kwa mawanda mapana kuhusu bwana huyo.
  15. JamiiForums Tanzania Je, Wajua? Unaweza kulipa Tsh. Milioni 468 kugandisha mwili wako baada ya kifo ili uje kufufuliwa baadaye

    Kama ulidhani Baridi kali inatumika kuhifadhi Bidhaa pekee ili zikae muda mrefu bila kuharibika, fikiria upya. Teknolojia mpya iitwayo 'Cryonics' imeanza kujipatia umaarufu kwa kutunza Miili ya Watu waliofariki huku wakiwa na matumaini ya kufufuliwa siku zijazo. Gharama za kugandisha Kichwa...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu kifo cha mfanyakazi mgodi wa Barrick North Mara

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Tarime Rorya, Geofrey Sarakikya, amesema mfanyakazi wa mgodi wa Barrick North Mara Emmanuel Chacha, aliyefariki dunia Machi 11, mwaka huu hakupigwa risasi. Aliyasema hayomkoani Mara, wakati akitoa ufafanuzi kuhusu kifo cha Chacha, ambapo alisema alifariki...
  17. JamiiForums Tanzania Tetesi: P Diddy ahusishwa na kifo cha Notorious B.I.G

    Msaani maarufu wa Marekani na producer wa label ya Bad Boy record, anaejulikana kwa jina maarufu la P diddy, sasa tumbo joto baada ya mama yake na Christopher Wallace almaarufu Notorious B.I.G kumuhusisha msaani huyo na kifo cha mwanae kilichotokea mwaka 1997 huko Los Angeles, CA. Inasemekana...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Hoja kuwa Yanga hawawezi mechi za kimataifa imekufa kifo che mende, wamebaki na kauli ya Yanga kucheza kombe la loser!

    Kabla ya Yanga kutinga hatua ya makundi na sasa kutinga robo fainali, hoja kuu ya makolo ilikuwa ni Yanga hawawezi kimataifa isipokuwa wao tu. Sasa baada ya Yanga kutinga hatua ya robo fainali kwenye michuano ya Shirikisho, hoja yao kubwa imekuwa hilo ni kombe la loser kanakwamba hiyo sio...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Utabiri wakutisha ktk mbuga za Serengeti Kifo cha Simba dume Bob Junior

    Utabiri ambao umejificha ktk kifo cha Simba Bob Junior ama kwa hakika ni Utabiri wakutisha Kuna watu wanadhani may be unahusu serikali ya sita vile umetokea na mwezi ulio tokea. Mimi nataka kuwaambia kile kimetokea ktk mbuga ya Serengeti ni Utabiri ambao ni very complex. Ktk mbuga ya Serengeti...
  20. JamiiForums Tanzania Kumbukumbu ya kifo cha Hayati Magufuli kwa upande wangu

    KUMBUKUMBUYA KIFO CHA JPM KWA UPANDE WANGU. Ilikuwa saa 5 usiku 17 March 2021. Nilikuwa ndani ya kuta za gereza la Ruanda mkoani Mbeya selo namba 16. Nikasikia kelele nyingi selo zingine ukizingatia kelele haziruhusiwi usiku mpaka kuwe na tatizo. Maana kelele ndio alarm ya kuwaita askari...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…