kifo

Mwisho wa uhai, mwili kutokuwa na uhai.
  1. mcshonde

    JamiiForums Tanzania Nani alimuua Yasser Arrafat?

    Nani alimuua Yasser Arrafat? Novemba 11, 2004 wapalestina walijikusanya vikundi vikundi kuomboleza kifo cha Mohammed Abdel Rahman Abdel Raouf al-Qudwa al-Husseini, al maarufu Yasser Arafat au kunya Abu Ammar. Huyu mwamba alililiwa machozi ya kweli kutokana na kuwaacha wapalestina katika kipindi...
  2. NetMaster

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vijana wengi wa kikristo huchelewa kuoa ama hawaoi ni ushahidi tosha kwamba ndoa za kikristo ni gereza

    Ni kawaida sana kukuta vijana wa kikristo hasa huku mijini na kwenye majiji wanaoa hadi wafike 33. Wengine wanaishi na wanawake majumbani na wana watoto lakini hawana ndoa. Kwa vijana wengi wa kiislam ninkawaida kukuta ashaoa akiwa na 23 hadi 25. Huu ni usbhahidi tosha kwamba ndoa za kikristo...
  3. Reality of heaven

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wanaoiba hela za serikali, kwa mgongo wa miradi, wanajua kuwa Moto upo?

    Habari ndugu zangu, Huwa najiuliza Sana, hivyi hawa wanasiasa wanaoiba hela za serikali, kwa mgongo wa miradi, wanajua kuwa Moto upo ??? Na dhambi ya wizi itawapeleka motoni??? Hivyi wanasahau kuwa kifo kitawajia ghafula, na wataondoka duniani wakiwa uchi????? Wanajua kuwa shetani...
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rukwa: Mganga wa Jadi ahukumiwa kifo kwa kuua watoto wawili

    Mahakama Kuu Kanda ya Sumbawanga dhidi ya James Kapyela ambaye aliwalawiti watoto hao kabla ya kuwaua na kutupa miili yao kwenye pagala liliopo nyumbani kwake Machi 23, 2019. Jaji Thadeo Mwenempazi alisema Mahakama imeridhishwa na mashahidi 11 wa Jamhuri waliothibitisha kuwa Mganga aliwaua...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Pakistan yatuma wapelelezi kuchunguza kifo cha mwanahabari Sharif nchini Kenya

    Serikali ya Pakistani imetuma maafisa watatu wakuu wa usalama nchini Kenya kuchunguza mauaji ya mwanahabari Arshad Sharif yaliyotokea siku ya Jumapili. Timu hiyo inajumuisha mkurugenzi wa Shirika la Upelelezi la Shirikisho Athar Waheed na naibu mkurugenzi mkuu wa Ofisi ya Ujasusi Omar Shahid...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kama Adamu na Hawa wasingepelekwa Bustani ya Edeni kusingekuwa na KIFO

    KAMA ADAMU NA HAWA WASINGEPELEKWA BUSTANI YA EDENI KUSINGEKUWA NA KIFO; Anaandika, Robert Heriel Mwanafalsafa Tunasoma, Mungu alipomaliza kumuumba Mtu(Adamu) Kwa mfano wake akamchukua huyo mtu akiwa tayari Nafsi hai, akampeleka mpaka ilipo Bustani ya Edeni, Bustani ambayo Mungu mwenyewe...
  7. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Wazazi wawatishia watoto kifo endapo watafaulu mitihani ya Darasa la Saba

    Baadhi ya wazazi wilayani Makete mkoani Njombe wamedaiwa kuwatisha watoto wao wanaohitimu elimu ya msingi kufanya vibaya kwenye mitihani kwa madai kuwa wakifaulu wao watafariki dunia. Ameeleza hayo Ofisa Mtendaji wa Kata ya Lupila , Tumwanukye Ngakonda kwamba baada ya wanafunzi hao kuhojiwa...
  8. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Wauguzi wafutiwa leseni kwa kusababisha kifo cha mjamzito Mkoani Mtwara

    Baraza la Wauguzi na Ukunga Tanzania (TNMC), limewafutia leseni wauguzi wasaidizi wawili wa Hospitali ya Wilaya ya Mkomaindo, Masasi mkoani Mtwara, baada ya kupatikana na hatia ya uzembe uliosababisha kifo cha majamzito na mtoto wake." Wauguzi hao Elizabeth Njenga na Pascal Mnyalu, walishtakiwa...
  9. King Kong III

    JamiiForums Tanzania Kamanda wa Bavicha Calvin Lekule afariki dunia -Alitabiriwa kifo wiki moja nyuma

    Habari wana JF, Chadema imepata pigo kwa kumpoteza kamanda Calvin Lekule ambaye alikuwa mpambanaji sana, Lekule alikuwa mwanaharakati kama alivyo mdude, alikuwa anapinga sana police brutality na uonevu wa aina yeyote kwa vitendo na bila kuogopa. Wiki moja iliyopita alitabiriwa kifo na mmoja wa...
  10. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Putin atakufa au kuondolewa madarakani

    "Putin wa Urusi ameleta matatizo makubwa sana kwa nchi za Magharibi, Duniani na hata Urusi kwenyewe. Ulaya Kuna Hali ngumu sana na hata Urusi kwenyewe. Maisha wanayoishi ulaya Sasa hivi,ni maisha waliyowahi kuishi Karne ya 18. Hii yote ni sababu ya Putin wa Urusi. Kwa mateso haya Kuna watu...
  11. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Kwanini tunaadhimisha siku ya kufa Nyerere badala ya kuzaliwa kwake kama wafanyavyo wengine?

    Krismasi ni siku Yesu aliyozaliwa au Birthday ya Yesu, Pasaka ni siku Yesu alipofufuka na ndiyo Sikukuu muhimu katika Ukristo unaweza kusema Pasaka ndiyo Ukristo wenyewe, sijawahi kusikia sikukuu ya kufa kwa Yesu, mnafikiri ni kwa nini ? Sasa kwa nini Tanzania Nyerere Day ni siku Mwalimu...
  12. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Kampala: Kifo cha kwanza cha Ebola charipotiwa

    Hiyo ni mara ya kwanza tangu mlipuko wa Ugonjwa wa #Ebola kuripotiwa kuanza Nchini Uganda, Septemba 2022 ambapo kifo cha mtu huyo kinafanya waliofariki kwa Ebola kufikia 19. Baada ya kuanza kuonesha dalili alianza kupata matibabu kwa dawa za kienyeji badala ya kwenda hospitali, alifikwa na...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Nakiona kifo changu! Msaada wenu unahitajika

    Wakuu habarini! Nimeshare shaver jana na mgongwa wa UKIMWI bila kujua bahati mbaya wakati natumia nilijikata. Leo ameenda kuoga na yeye akatumia hiyo shaver kumuuliza akasema hiyo niyake na huwa anatumia yeye ikabidi niangalie kwa makini nikagundua nikweli mimi ndio nilikosea nikatumia yake...
  14. Linguistic

    JamiiForums Tanzania Piariz Hizza adaiwa kunyongwa na mumewe mpaka kufariki dunia

    Wakuu kuna habari mbaya Huko Tabata-Dar Es Salaam. Anasimulia Ndugu wa Marehemu. Piariz Charles Hizza ni mdogo wangu, alikuwaga humu Friends of Solo Mnamunga kipindi fulani simu yake ilipopata matatizo akatoka sikukumbuka kumrudisha tena. Leo mida ya mchana nikapokea simu nikaambiwa dogo...
  15. Zainab j

    JamiiForums Tanzania Mwanajeshi ahukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa kosa la kumuua mtalaka wake na Mwanajeshi

    Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kikosi cha 08/691 KJ Chandarua mkoani Ruvuma, Sajenti Batsin Sanga amehukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa kosa la kuwaua kwa risasi mtalaka wake na mwanajeshi mwenzake. Desemba 27 mwaka 2018 katika lango kuu la kambi hiyo, askari huyo mwenye namba za...
  16. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Sakata la kifo cha katibu wa Masanja na kile alichotuachia

    SAKATA LA KIFO CHA KATIBU NA KILE ALICHOTUACHIA. Na Robert Heriel Ishu hii inasikitisha na kuhuzunisha mno. Ni tukio baya pia linalofedhehesha. Tukio la unyama na udhalilishaji uliovuka mipaka kuvua Utu WA Mtu. Unapozungumzia kutoka na Mke WA Mtu sio Jambo la mchezo. Kila mtu anajua Kwa...
  17. Planet FSD

    JamiiForums Tanzania Utata wa maelezo juu ya kifo cha Katibu na motive ya Mkandamizaji

    Wadau, leo kumesambaa taarifa kwenye vyombo vya habari kutoka kwa kamanda wa polisi Muliro akielezea sababu za kujiua katibu wa Feel Free Church kutokana na uchunguzi wa awali. Maelezo ya kamanda yanapeleka kwenye hitimisho moja kuwa, Mama Mchungaji (Monica) na marehemu hawakuwa na mahusiano na...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mnajifanya kusikitika Kifo cha Katibu wa Masanja, ila hamkemei 'Uhuni' wake 'Wanafiki' wakubwa nyie

    Yaani kila Mtu anajifanya Mchambuzi, Mpelelezi na Kaguswa sana na Tukio la Kujiua kwa Katibu wa Kanisa la Massanja huku Wengi wenu mlivyo Wanafiki mnalazimisha kuwa Dogo Kauwawa na wala hakujiua kama tunavyoaminishwa. Yaani tunaacha Kukemea Uhuni wa Dogo na wa Watu Wengi ( na Wengine tuko humu...
  19. Black Butterfly

    JamiiForums Tanzania Mahakama pekee ndiyo imepewa mamlaka ya kutoa hukumu ya Kifo na si vinginevyo

    Serikali kupitia Vyombo vya Ulinzi na Usalama inawajibika kuwalinda raia wake kila wakati bila kujali hali zao au matendo yao. Haki ya Kuishi inakoma tu pale Mahakama inapotoa adhabu ya Kifo kwa mkosaji. Ibara ya 14 hadi 17 ya Katiba ya Tanzania inalinda Haki ya Kuishi kwa Sheria namba 15 ya...
  20. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Natabiri Putin kufa kifo cha kutatanisha ndani ya miezi hii mitatu

    Huu uzi utunzwe kwa kumbukumbu za tabiri tashtiti zilizowahi kutokea hapa JamiiForums. Itakuwa hivi. Asubuhi ya Jumatatu, mwili wa Putin utakutwa unaelea kwenye bwawa la kuogelea. Sii walinzi wake watakaokuwa na jawabu amezamazamaje na amefikaje swimming pool. Tutayasikia mengi lakini huo...
Back
Top Bottom