kidogo

The Old Kerosene Store is located at Bathers Beach in Fremantle, Western Australia, adjacent to the ruins of the original Fremantle Long Jetty. It is a single-storey limestone building and forms part of the historic Arthur Head Reserve precinct.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Vyuo vikuu vyote jirekebisheni kuna namna mmepotoka kidogo.

    I salute you kinsmen. Kuna kasumba imekuwa kubwa taratibu sana, nahisi hali hii TCU ndio wameleta Sikuhizi wanafunzi wamekuwa wengi na ufaulu nao umeongezeka sana Maelfu wanamaliza form six kila mwaka na wote wanataka kwenda chuo. Sasa TCU kama baba wa vyuo vyote na mlezi Anaruhusu vipi...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kumradhi! Kuna changamoto kidogo

    Kila nikijaribu kuload next page kwenye uzi napata hii message " Kumradhi! Kuna changamoto kidogo" Ni mimi tu au waTanzania wote?
  3. JamiiForums Tanzania Leo tutoke kwenye madawa ya miti shamba na majini,tuje kwenye tafakuli kidogo.

    Aligonga mlango 🚪 Sikusema kitu🙁 Aliisukuma na kuingia ndani, Sikusema kitu🙁 Aliingia chumbani, Sikusema kitu🙁 Alikaa karibu yangu kwenye kitanda changu,Sikusema kitu🙁 Alitabasamu , nikaendelea kunyamaza, akanichombeza🙁 Alijivua nguo, Sikusema kitu🙁 Ananivua shati, Sikusema kitu🙁 Alinibusu sana...
  4. JamiiForums Tanzania Waarabu hawana us taarabu hata kidogo huko Judaea & Samaria!!!

    Mwarabu mmoja huko Yudea na Samaria Ana mwaga maji machafu na kinyesi mtoni kwa majivuno na hata kujirekodi akifanya hivyo. "Wapalestina" wanahusika na aina zote za ugaidi. Wanaharibu kila kitu wanachokigusa. Huu ni Ugaidi wa mazingira!!!
  5. JamiiForums Tanzania Wakuu, kuna kitu kidogo tu hapa…

    Hii dunia ina mambo sana. Kuna watu ukimkuta mtu hana kitu leo, wanajiona kama Mungu amewapa cheo cha kuwa majaji wa maisha ya wengine. Mtu akija hapa na kusema nina changamoto, badala ya kuangalia hoja yake, comment ya kwanza: "KAKA PAMBANA." Mwingine: "TAFUTA KAZI." Mwingine: "SI UZA...
  6. JamiiForums Tanzania Tupate wadhamini kidogo

  7. JamiiForums Tanzania Mello aendelee kupewa maua yake kwa privacy zetu ,wengine si wa kuamini, Roma katofautiana kidogo mawazo na mange kamtisha kumreport wam deport,

    “Tukipishana mawazo na makada wa CCM wanatuchoma kwa watekaji tunadakwa tunauliwa!! Haya unapishana mawazo na mwanaharakati mwenzako anakuchomesha kwa ICE udakwe urudi home uuliwe!” Hapo kuna tofauti gani sasa? Hii mambo ya kujifanya tuna hati miliki ya mawazo inatesa sana nchi hii, kupishana...
  8. JamiiForums Tanzania Kwa kweli JamiiForums siyo ya mchezo hata kidogo!

    Imagine humu Kuna wana member walitabiri ya magu na kuanzisha nyuzi kuhusiana na yatakayotokea ,na kweli Sasa imebaki stories... La zaidi ni hili la recently kuhusiana na kujiuzulu kwa Nchimbi.....Kuna watu humu aisee wanaona mbali sana . Threads zao au comments zao kuhusiana na kutabiri...
  9. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ruto: “Nimekopa Kidogo”; Treasury: Deni Limeongezeka Sh4.25 Trilioni

    Rais William Ruto anasema serikali yake imekopa kidogo kuliko tawala zilizomtangulia. Lakini rekodi rasmi za serikali zinaibua swali: Ikiwa tumekopa kidogo, kwa nini deni la Kenya limefika zaidi ya Sh13 trilioni? Ruto aliingia madarakani Septemba 2022 wakati public debt ikiwa karibu Sh8.76...
  10. JamiiForums Tanzania Top 5 yangu ya Magari used ya Kijapan yanayotumia Mafuta kidogo na Reliable (Non Hybrid)!

    Nina list yangu (Top 5) ya Magari kutoka JP, yaliyotengenezwa kuanzia 2005 hadi 2015, yenye utumiaji mzuri wa mafuta na Reliable. Mnaionaje? 1. Toyota Vitz /Yaris 2010 - 2013. Hapa naongelea 2nd na 3rd generation, especially engine ya 1.3L petrol (1NR FE), rahisi sana kupata 14 km/L hadi 16...
  11. JamiiForums Tanzania Wanaume wenye fedha, kipato kikubwa, kipato kidogo, wana uhakika wa kupata sex ila sio love

    Mtandaoni wana-hubiri fedha ila ukija kwenye maisha ya kawaida mambo ni tofauti sana 👇👇👇 Ukienda uswahilini utashangaa watu wanamaisha magumu na bado wake zao hawawakimbii ukija mtandaoni unahubiriwa utafute fedha kabla hujaingia kwenye mahusiano au ndoa- sasa mbona huku mtaani watu wanakipato...
  12. JamiiForums Tanzania Akili ni kama mimba tu, eidha una akili au hauna. Hamna mwenye akili nyingi, wala mwenye akili kidogo

    AKILI: NI NYINGI, NDOGO, AU IPO TU? Bujibuji Simba Nyamaume Watu wengi husema, "Yule ana akili nyingi, yule ana akili ndogo." Lakini je, ni kweli akili hupimika kwa wingi? Mjadala huu una pande mbili. Upande wa Kwanza: Akili ni moja. Unayo au hauna. Wanaosema hivi wana hoja nzito. Kila mtu...
  13. JamiiForums Tanzania Akili ni kama mimba tu, aidha unayo au huna. Hakuna mwenye akili nyingi, wala mwenye akili kidogo

    AKILI: NI NYINGI, NDOGO, AU IPO TU? Bujibuji Simba Nyamaume Watu wengi husema, "Yule ana akili nyingi, yule ana akili ndogo." Lakini je, ni kweli akili hupimika kwa wingi? Mjadala huu una pande mbili. Upande wa Kwanza: Akili ni moja. Unayo au hauna. Wanaosema hivi wana hoja nzito. Kila mtu...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Katiba hii inaua ubunifu umahili na ushindani inaibua machawa na wanafiki haitufai hata kidogo.!

    Katiba hii inatoa nafasi kubwa sana za nafasi za utendaji muhimu sana kwa maisha ya wananchi na maendeleo ya nchi kwa kuteua teua tu. Ukweli ni kwamba hii inawafanya watu wazembe wawekeza sana kwenye kujipendekeza kusifia na kupiga majungu kwa sababu wana uhakika mteuaji ana nafasi kubwa ya...
  15. JamiiForums Tanzania Nasikia kilele ,nderemo , vifijo na vigelegele. Watu wanashukuru kwa hiki kidogo

    Kuna nini hapo dasilamu mujini?..Nani kanyakuliwa na Mnyezi Mungu kwenda kuungana na Muumba..Huku nilipo limeibuka shangwe n vigelegele baada ya tangazo la yule msaidizi wake mwenye kichwa mviringo.! Watu wanasema hii ni kosakosa, ngoma imegonga besela imerudi ground. Lakini haiwazuii kushukuru...
  16. JamiiForums Tanzania Nataka nidundulize kuweka akiba kidogo kidogo pesa na baada ya miaka mitatu ndio niichukue. Ni service gani hapa bongo itanipa riba nzuri.

    Karibuni
  17. JamiiForums Tanzania Kwa nini mtu mmoja anakula sana lakini hana kitambi, mwingine anakula kidogo na ananenepa?

    Kuna jambo ambalo nimekuwa nikijiuliza kwa muda mrefu. 🤔 Watu wawili wanaweza kula chakula kinachofanana, lakini matokeo yakawa tofauti kabisa. Mmoja anakula wali, nyama, chipsi, soda, vitafunwa na hata kula usiku, lakini miaka inapita bado ni mwembamba na hana kitambi. 😂 Mwingine anajitahidi...
  18. JamiiForums Tanzania HII NI HABARI YA KWELI HAINA UONGO HATA KIDOGO😭😭😭

    .
  19. JamiiForums Tanzania Leo nimegundua kitu kimoja, kuvuka barabara si kitu kidogo!

    Leo nimeacha chombo changu sehemu fulani, nikatembea kwa miguu kwa muda mrefu. Kwa kweli nilichokutana nacho njiani kimenifanya nitafakari sana kuhusu usalama wa watembea kwa miguu. Nilipofika sehemu ya kuvuka barabara, nilihisi wasiwasi mkubwa. Pikipiki zinakuja kwa kasi, magari nayo yanapita...
  20. JamiiForums Tanzania Wanasiasa waliokuwa na majina lakini wamepotea chini ya Samia...

    Huyu Mama kiboko hii list ni ndefu sio kidogo hawa ni wachache nao wafahamu. 1. Aliyekuwa Makamu mwenyekiti CCM (Kinana) 2. January Makamba, 3. Kassim Majaliwa 4. Doto Biteko 5. George Simbachawene 6. Job Ndugai 7. Tulia Ackson 8. Phillip Mpango 9. Jennister Mhagama 10. Humphrey Polepole 11...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…