Matokeo ya kidato cha sita 2023/2024 yanatoka lini?

BakalemwaTz

Senior Member
Jul 14, 2017
119
119
Je na wewe unajiuliza juu ya tarehe ya kutoka Matokeo ya kidato cha sita 2023?

necta form 6.jpg

Kumekua na maswali Mengi juu ya kutoka kwa matokeo ya mtihani wa kidato cha sita mwaka huu 2023. Kidato cha sita walifanya mtihani wao mapema mno mwanzoni mwa mwezi tano.

Kwa mwaka jana matokeo yalitoka tarehe 05 mwezi july 2022 kitu kilichofanya tuone yametoka mapema. Kwa mwaka huu yawezekana yakaja kwa kuchelewa though kama yatakua yametoka ni imani yangu tutaweza kuyapata kupitia uzi huu wa JF

Link yenye dondoo za matokeo ya form six hii hapa
 
Je na wewe unajiuliza juu ya tarehe ya kutoka Matokeo ya kidato cha nne 2023?

View attachment 2680247
Kumekua na maswali Mengi juu ya kutoka kwa matokeo ya mtihani wa kidato cha sita mwaka huu 2023. Kidato cha sita walifanya mtihani wao mapema mno mwanzoni mwa mwezi tano.

Kwa mwaka jana matokeo yalitoka tarehe 05 mwezi july 2022 kitu kilichofanya tuone yametoka mapema. Kwa mwaka huu yawezekana yakaja kwa kuchelewa though kama yatakua yametoka ni imani yangu tutaweza kuyapata kupitia uzi huu wa JF

Link yenye dondoo za matokeo ya form two hii hapa

Kumekuwa na maswali mengi kutoka wapi na akina nani??
Kwa hiyo kama mwaka jana yaliyoka tarehe 5 mwezi July na mwaka huu ulitaka yatoke tarehe hiyo hiyo?
Wewe unajua shughuli ya usahihishaji labda iliisha lini? Na mchakato unaofuata baada ya usahihishaji unafahamu unachukua muda gani kukamilika hadi matokeo yatoke?
Lakini kwa jinsi usivyoelewa mambo, hadi kwenye uzi umeandika kidato cha nne 2023, angali bado vijana hawajui hata harufu ya pepa za necta!
 
Matokeo yameshatoka na unaweza kuyapata Kwa kufuata link hiyo
 
Back
Top Bottom