Mitihani ya kidato cha sita 2023 ilikuwa below standard

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,410
74,046
1. Ufaulu huu mkubwa tulioushuhudia si kuwa watoto walisoma sana na kuwa na uwezo wa kujibu maswali. Kwanini nasema hivyo:

Haiwezekani shule ambayo mwaka jana ilikuwa na 90% or so Div 0/Div 4, leo ghafla ina div 1 and 2.

2. Shule ambazo zimejiwekea rekodi ya kudumu ya kufeli, leo zinaongoza kwa ufaulu

3. Ufaulu ni mkubwa mno ie almost shule zote zina div 1 nyingi tu ambazo hatujawahi kuzishuhudia miaka mingi nyuma.

If not div 1 basi ni div 2.

Note: Sidhani kama ulivuja maana hauwezi vuja nchi nzima , maana ufaulu ni wa nchi nzima

Mfano angalia mtihani kama huu wa biology 2022, Siyo standard ya A level
 

Attachments

  • Biology1-F6-2022.pdf
    995.5 KB · Views: 21
watanzania ni washirikina kihasilia.......mkuu watoto wangefeli bado mngepiga kelele tu.

Yaani jitu linakosa kabisa usingizi eti kwanini hakuna ziro za form six......kweliii?????

Ngoja nikuambie kitu mkuu....kufelisha wanafunzi au kutunga mitihani migumu si kipimo cha elimu bora.

Acheni watoto wakapate elimu za vyuo vikuu ebu achaneni na maroho ya kwanini.....hizo zama tumeshapita.
 
Lakini tutakuwa na wataalamu tunaowahitaji kwenye modern science and technology?
Hao wataalamu wa zamani waliofaulu kwa haki wamefanya nini cha maana hadi sasa hivi ?
Wakati hawawezi kufanya chochote zaidi ya kuongea kwenye makongamano.
Nchi inabinafsisha kila kitu kwa wageni kwa ubadhirifu na kushindwa kuendeshwa na hizo PHD uchwala.

Kama sio Uroho wa madaraka hata IKULU inatakiwa kubinafsishwa pia kwa wasio Watanzania ili Wasimamie utawala bora.

Eti modern science and technology.
Kuna technology gani imegunduliwa na kutekelezwa na hao Wasomi Watanzania?
 
Back
Top Bottom