kidato

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Moshi: Mwalimu mbaroni akituhumiwa kusababisha kifo cha mwanafunzi kwa kumpiga mateke

    Utata umeibuka kuhusu kifo cha mwanafunzi wa kidato cha nne wa shule ya sekondari iliyoko Pasua, Manispaa ya Moshi, Walter Ebenezer, anayedaiwa kushambuliwa kwa mateke kwenye mbavu na mwalimu wake kisha kupewa adhabu ya kupiga ‘push up’. Kutokana na kifo hicho, ndugu wa mwanafunzi huyo...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Prof. Mkenda: Shule nne zilizofanya Udanganyifu Mtihani kidato cha nne 2022 zichunguzwe na hatua zichukuliwe

    Na WyEST MWANZA Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Profesa Adolf Mkenda amemuagiza Kamishna wa Elimu kufanya uchunguzi wa kina kwa Shule nne zilizobainika kufanya udanganyifu mkubwa katika mtihani wa kidato cha nne mwaka 2022. Prof. Mkenda amesema hayo alipokutana na Wazazi na walezi...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Ngeli za nomino kidato cha tatu

    Naomba kuuliza ,TEI wamechambua NGELI Kwa MSINGi WA kisintakisia NGELI 12.!! Vitabu vingine wamechambua Tisa!! Sasa sahihi?
  4. K

    JamiiForums Tanzania Ngeli za nomino kidato cha tatu

    Naomba kuuliza ,TEI wamechambua NGELI Kwa MSINGi WA kisintakisia NGELI 12.!! Vitabu vingine wamechambua Tisa!! Sasa sahihi?
  5. adriz de mbusii

    JamiiForums Tanzania Mchakato wa kubadilisha combination na shule kwa waliomaliza kidato cha Nne mwaka huu umeanza tayari

    Habari za mchana Wana Jf. Kuna mdogo wangu amefaulu kidato cha Nne nataka nimbadilishie shule na combination alizochagua awali huko Shuleni baada ya yeye kuja na mapendekezo mapya Muda sasa tokea mwaka 2018 umekuja utaratibu mpya wa online unao muwezesha mwanafunzi kubadilisha shule ...
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi 11,413 hawajaripoti Kidato cha Kwanza Rukwa

    Wanafunzi 11,413 ambao ni asilimia 45 ya wanafunzi 25,362 waliotakiwa kujiunga na kidato cha kwanza kwenye shule wa sekondari mkoani hapa hawajaripoti shuleni tangu shule hizo zilipofunguliwa Januari 9 mwaka huu. Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Queen Sendiga amesema hayo Februari 2, 2023 wakati akitoa...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Shule zilizoshika mkia matokeo ya Kidato cha Nne 2022

    Hii ni list ya shule zilizoshika mkia kwenye matokeo ya kidato cha nne mwaka 2022. Ukiangalia vizuri kuna kitu kiko very common😃 List imetawaliwa na #TeamMnyaazi Source: Malisa GJ instagram account
  8. B

    JamiiForums Tanzania Ridhwaa Seminary Kinondoni yafanya vizuri kwenye matokeo kidato cha nne mwaka huu (Wapata div 1 &2 ) only

    Wamefanya vizuri sana kwenye matokeo ya kidato cha nne. Swali langu ni je wanawapokea watoto wa kikristo? Na kama Wana wapokea je Wana sharti la watoto lazima kuswali msikitini? Au kama ni Mkristo basi afuate tu sheria za shule na mavazi? Naomba kujuzwa tafadhali
  9. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Ufaulu wa somo la Hesabu kidato cha nne 2022

    Nilisikia kupitia radio one leo asubuhi kuwa, takribani asilimia 70 ya watahiniwa wa kidato cha nne wamepata alama sifuri katika somo la Hesabu? Kama ni kweli, nafikiri hakuna haja ya kutafuta Mchawi kwani tatizo liko wazi kabisa ambalo ni ukosefu wa Waalimu wenye sifa ya kufundisha somo la...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Watahiniwa 63,583 wa Kidato cha 4 wamefeli kwa kupata Division 0

    Jumla ya Wanafunzi waliosajiliwa kufanya Mtihani wa Kidato cha 4 mwaka 2022 walikuwa 534,753 lakini waliofanya Mtihani huo ni 522,217 ambapo Wasichana walikuwa 280,251 na Wavulana 241,966. Tafsiri ya haraka ni kuwa zaidi ya wanafunzi 12,000 hawakufanya Mtihani wa kumaliza Kidato cha 4. Kiwango...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya kidato cha nne, shule zifuatazo zimenivutia

    WanaJF Kwanza nianze kwa kusema ya kuwa, nimefanikiwa kufika kwenye shule mbalimbali nikiwa kwenye harakati za kusaka tonge. Shule hizo, nyingi nilizifikia mwaka wa masomo wa 2020 na 2021. Kiufupi, nilifikia shule kwa orodha ifuatayo. Wilaya ya Geita 1. Halmashauri ya wilaya ya Geita...
  12. McCollum

    JamiiForums Tanzania TATHMINI: Je, hatma ya masomo ya Sayansi ni ipi? Ukizingatia matokeo ya kidato cha Pili na kidato cha nne 2023

    Nawapa salamu wanajukwaa, wala tusitumie muda mwingi sana tuingie moja kwa moja kwenye mada tajwa. Baada ya Baraza la mitihani la Taifa-NECTA kutangaza matokeo ya kidato cha nne ambayo yametoka siku ya leo-29 Jan 2023, nimeona niunganishe na yale matokeo ya kidato cha Pili ambayo yaliwahi...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi 12,536 hawakufanya Mtihani wa Kidato cha 4 mwaka 2022

    Baraza la Mitihani la Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha nne yaliyofanyika Novemba 14 hadi Desemba 1, 2022, Tanzania Bara na Visiwani. Matokeo hayo yametangazwa leo Jumapili, Januari 29, 2023, makao makuu ya Necta jijini Dar es Salaam na Kaimu Katibu Mtendaji wa...
  14. Twilumba

    JamiiForums Tanzania Necta yatangaza matoke kidato cha nne 2022

    Necta yatangaza matoke kidato cha nne 2022
  15. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Watoto kutokuripoti kidato cha kwanza baada ya kupangiwa shule, serikali ndio sababu. Serikali isikwepe wajibu

    Habari! Nimefuatilia habari za mikoa mbalimbali na wilaya zake, watoto wengi ambao wamepangiwa shule za sekondari kuanza kidato cha kwanza hawajaripoti shule mpaka leo. Yawezekana wapo wazazi ambao wanajichanga ili wawapeleke watoto wao shule na pia wazazi wengine hawana mpango wowote. Yote...
  16. W

    JamiiForums Tanzania Na nyie NECTA toeni majibu ya kidato cha nne, ndugu zetu wamechoka kusubiri!

    Yatoeni bwana, watasubiri katika hali hii ya hofu hadi lini?!!!!!
  17. Mparee2

    JamiiForums Tanzania NIDA waje na mpango wa Vitambulisho Kidato cha nne

    Napendekeza kuwa, NIDA waje na mpango mkakati wa kuwapatia vitambulisho vya NIDA wanafunzi wote wa kidato cha nne wenye sifa. Kama taarifa zao zitachukuliwa mapema, inamaana kabla ya maliza kidato cha nne wote watakuwa wamepata vitambulisho vyao na kuepuka usumbufu usio kuwa wa lazima...
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi 716,664 Kidato cha Kwanza hawajaripoti shuleni hadi sasa

    Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa Jumapili Januari 15, 2023 na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msingwa, wanafunzi 354,277 wakiwemo wenye ulemavu 697, ndiyo walioripoti hadi sasa kati ya wanafunzi 1,070,941 wanaotarajiwa kuingia kidato cha kwanza sawa na asilimia 33 ya matarajio. Aidha amesema...
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa kujiunga Kidato cha Kwanza 2023 hawa hapa

    Wanafunzi 2,096 kati ya 2,194 waliofanya mtihani wa marudio wa darasa la saba, wamefaulu mtihani huo na kupangiwa shule za sekondari za serikali kuanza kidato cha kwanza. Wanafunzi hao 2,194 wakiwemo wavulana 1,117 na wasichana 1,077 walifanya mitihani yao Desemba 21 na 22, 2022 kwa sababu ya...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Kulikoni matokeo kidato Cha nne kuchelewa kutangazwa

    Moja Kwa Moja kwenye maada kulikoni Baraza la mitihani NECTA kuchelewa kutangaza matokeo ya kidato Cha nne ikilinganishwa na mwaka Jana ambapo matokeo yaliwahi kutangazwa vilivile mwaka juzi. Je kuondoka Kwa Msonde kumesababisha hili?
Back
Top Bottom