Maria Nyedetse
JF-Expert Member
- Apr 24, 2021
- 657
- 1,485
Habari wanajamvi...
Niende kwenye mada; mwaka huu TULIPATA habari kuwa wanaopangwa SAYANSI yaani PCM na PCB ni wenye daraja la kwanza tu tena wavulana ni 7-15 na WASICHANA ni 7-17...
Ni jambo jema kuimarisha msingi wa elimu ili kujihakikishia wataalam bora hapo baadaye; Ninachojiuliza mimi ni haya yafuatayo ambayo naomba wanabodi mnisaidie
1. Serikali huwa inapanga SELECTION kama hakuna shule BINAFSI na inaamini mpaka aliyesoma St. Francis, Feza, Marian, st. Mary Mazinde na kwingineko ataenda shule ya SERIKALI TENA YA KAWAIDA, matokeo yake wanawapanga vijana wengi kutoka shule hizi kwenda shule za serikali wakiamini wataenda.
UHALISIA wengi hawaendi na huziba nafasi za wengine bila sababu, Je Serikali hawalioni na kujifunza kutokana na hili?
2. Kutokana na kupanga SELECTION kwa assumptions hakuna shule ya BINAFSI ya advance, husababisha wanafunzi wengine waliofaulu kwa wastani wa kawaida yaani mfano DIVISION II amabo utakuta kwenye SAYANSI wana points 7-9 [CBB, CCB,CCC] kushindwa kupata nafasi ya kupangwa kidato cha Vsayansi na matokeo yake hupangewa ARTS kwa kigezo cha kutakuwa na daraja la I, hali hii itawavunja moyo sana vijana kutoka shule za kata na kuona kufanikiwa kusoma SAYANSI ni ngumu sana maana lazima iwe na daraja la I... kumbe wangezingatia UWEPO WA SHULE ZA ADVANCE ZA KIDATO CHA TANO ZA PRIVATE BASI VIJANA HAWA WANGEPATA NAFASI YA KUTIMIZA NDOTO ZAO ZA KUSOMA SAYANSI.
3. Je baada ya kupita muda wa kureport kidato cha tano kwa shule za serikali na kujiridhisha kuwa kuna wengi wameenda PRIVATE, Nafasi zao zitajazwa na AKINA NANI wakati walikuwa na sifa WAMEPELEKWA ARTS???
Ni kweli wataalam tulionao MAWIZARANI HUKO wanatosha? Au wanafanya kazi kwa MAZOEA? Vijana wengi sana wamekata tamaa na SELECTION za mwaka huu!! Msichana ana CCC kwenye combinations za PCM na PCB unampelekaje ARTS kwa kigezo tu cha kutokuwa na DIVISIONI? Je tunalenga kufanikisha nini?
Kwanini usiwepo utaratibu kuwa na integrated PLAN ya SELECTION inayohusisha SHULE ZA PRIVATE ili watoto hawa waliosoma katika mazingira magumu waweze kupata nafasi ya kutimiza ndoto zao badala ya WATOTO WACHACHE waliotoka kwenye PRIVILEGED FAMILIES za akina PROF. MKENDA kushikilia nafasi mbilimbili na matokeo yake wanatumia moja tu?
SERIKALI IJITAFAKARI KUTOKANA NA HIKI KILICHOFANYWA KWENYE SELECTION MWAKA HUU VINGINEVYO WANAWAVUNJA SANA MOYO VIJANA WALIOPAMBANA KUTIMIZA NDOTO ZAO.
HEBU juilize MWENYE POIT 8- 9 kwenye Combinations za PCM na PCB unampeleka ARTS halafu mwenye point 10 unampeleka VOCATIONAL, hii ni akili au kufanya kazi kwa MAZOEA?
Yaani kuna HAJA TUWE NA KAZI ZA MIKATABA maana hii HABARI YA WATUMISHI WA UMMAH kuwa na uhakika wa kazi [Permanent and Pensionable] inatuletea MAJANGA kwenye TAIFA hili maana hakuna ubunifu ila ni bora tu liende....
Najiuliza hizi SELECTION kuchukua Muda mrefu vile na kuja na huu UTUMBO ni kwa sababu gani? Au hata EXCEL tu kupanga matokeo na shule ni MTIHANI na watu walikuwa wanapiga kimanual manual?
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Yaani nawahurumia vijana WOTE WALIKUWA NA SIFA ZA KUSOMA SAYANSI LAKINI KWA SABABU YA UVIVU WA KUFIKIRI WATENDAJI WETU wakajikuta wamelekwa H kunani.
YAANI NIMESIMULIWA MPAKA NIKAHISI KULIA, Binti ana C ya physics, C ya Basic math, C ya Chemistry na C ya Biology amepelekwa HKL.
Halafu uniambie tuna WATENDAJI wanaotumia vichwa vyao kufanya kazi zao!!!!!!
ENDELEENI kula tu KODI zetu ila KUNA SIKU.
πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈ