kesho

Kesho Yvonne Scott (born 1953) is associate professor of American Studies and Sociology at Grinnell College. Scott received her M.A. in political sociology at the University of Detroit and received her Ph.D. in American Studies from the University of Iowa in 1988. After receiving her doctoral degree she became Distinguished American Studies Scholar in Residence at Pennsylvania State University in Harrisburg (1989), visiting professor at Nanjing University in China (1994), and Fulbright visiting professor at Addis Ababa University in Ethiopia (2001–2002). Scott's interests include black women in America, multiculturalism, and unlearning racism.
She is the first African-American woman to receive tenure at Grinnell.

View More On Wikipedia.org
  1. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Wazazi hawana budi kuandaa kesho bora ya mtoto wao

    Kama umezaliwa umekuta wazazi wako wapo well financially, huwezi kulalamika kukosa ajira zetu hizi za laki Saba kwa mwezi. Mzazi/wazazi usifanye Mambo ya kuzaa tu ebu fikiria huyo unayemzaa umemuandaaje kuja kuishi vvizui. Binafsi mambo ya umasikini tunasema tumerogwa lakini Hakuna uchawi...
  2. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Tabiri vichwa vya habari vya magazeti ya michezo kesho

    Kufuatia Yanga kushinda ugenini dhidi ya Rivers Utd ya Nigeria huko kwenye michuano ya kombe la shirikisho barani Africa, hebu tabiri vichwa vya habari kwa magazeti ya michezo kesho. Mwanaspoti: Tuwape Yanga maua yao Endelea na wewe kutiririka
  3. Rwetembula Hassan Jumah

    JamiiForums Tanzania Leo ilikuwa Ijumaa kuu kwa BAKWATA kwahiyo Eid Yao kesho

    Dini ikitawaliwa na siasa ndo basi tena .. Eid imesetiwa na Kalenda kuwa ni jumamosi (Kalenda Ya 2023) ila kalenda ya kiislam (1 tarehe moja mwezi wa 10 ndo Eid ) sasa Waislamu wa Tanzania sijui wanafuata ukristo au ni gani sielewi. Tangia Yesu aondoke Duniani... ni miaka 2023 mpaka sasa na...
  4. EINSTEIN112

    JamiiForums Tanzania Leo Iddi au kesho?

    Jana kuna Jumbe mbili zinatembea mitandaoni, ujumbe wa mapema unasema mwezi haujaonekana wa pili ambao mi nliupata sa4+ ni video clip inayosema mwezi umeonekana. So nauliza niendelee kufunga 30 au nianze kujiandaa kwenda Msikiti wa Gadafi nikaswali swala ya Ijumaa? Nawasilisha. NB: kazini...
  5. Rwetembula Hassan Jumah

    JamiiForums Tanzania Kesho tusifunge ila kuswali iwe Jumamosi. Ni haramu kufunga siku ya Iddi

    Waislamu wengi kesho watafungua ila kuswali mpaka Jumamosi. Kesho ni Eid ya kwanza halali kabisa. Kenya, Rwanda na Uganda, eid kesho halafu eti Tanzania ni Jumamosi.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mliotaka Kulazimisha Eid iwe Leo Alhamisi au Kesho Ijumaa mnajisikiaje Eid kuwa Jumamosi?

    Uvivu na Kupenda kula Bata unawaponza. Mliitaka iwe Alhamisi ya leo ili Siku za Kula Bata ziwe Nne ( Alhamisi, Ijumaa, Jumamosi na Jumapili ) Mlivyoona Kimahesabu kula Eid Alhamisi ( yaani Leo ) haiwezekani mkataka sasa Kulazimisha kuwa Eid iwe Kesho Ijumaa ili kama Kawaida ya kuwa Kwetu Wavivu...
  7. Mr Sir1

    JamiiForums Tanzania Saudi Arabia, Oman na nchi nyingine Eid kesho Mwezi wa Shawwal ulishaonekana

    Kada Abubakar Zuberi na tawi lake la CCM (BAKWATA) kama kawaida watatufungisha siku ya Eid.
  8. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Kesho ni derby ya Kariakoo, lakini TFF haijawatendea haki waislam

    Ni logic ndogo tu na ya kawaida, Simba wamechezeshwa mechi SAA 4 usiku kwa SAA Morocco siyo kwamba wamefanyiwa figisu ila ni kuheshimu tu mfungo wa Ramadhani. Je TFF hawajaliona hili? wachezaji na mashabiki waliofunga wanafuturu SAA ngapi? Mimi siyo mwislamu lakini najuwa adhana ikipigwa...
  9. Mributz

    JamiiForums Tanzania Jonesia Rukya kuchezesha pambano la Simba na Yanga Aprili 16, 2023

    Mwamuzi wa kati Jonesia Rukya kutoka Kagera, ndiye atakayechezesha mechi ya watani wa jadi Simba vs Yanga itakayopigwa kesho Jumapili Aprili 16 katika dimba la Mkapa. Wasaidizi wake watakuwa ni Mohamed Mkono na Janeth Balama.
  10. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Game tumeshaimaliza. Simba analala kesho. Tunamgonga kama kawaida yetu. Kama sivyo nifanywe hivi

    Safi sana..... Watu ndo tunatoka Kazini asubuhi hii baada ya kukaa huko kwa siku 2. Ambazo ni ushindi wa bao 2 kwa Yanga. Na ustaadhi katuambia kuna bonus ikiwa tutafanya jambo moja zito zaidi. Tumewaacha jamaa waendelee. Uhakika upo. Simba ni kama mti embe wa uwani. Unajichumia tu embe...
  11. luangalila

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chumvi kupanda bei kuanzia kesho, Aprili 15, 2023

    Tukiwa tumebakiza Juma moja kuelekea sikukuu za Eid,sasa kuanzia kesho bei ya Chumvi inakwenda kupanda bei Wanapoelekea majirani zetu sasa hata sindano za kushomea zitapanda bei ===== The price of salt is set to increase from tomorrow, April 15 as indicated in a memo by a salt manufacturing...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Rais Yanga Kuunguruma kesho Aprili 14, 2023

    Rais wa Young Africans SC Hersi Ally Said kesho saa 05:00 asubuhi ataongea na Wanahabari kwenye ukumbi wa Wizara TACAIDS Posta. #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko
  13. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania Ipi ni kesho ya Taifa katika ukuaji wa Sayansi na teknolojia?

    Kenya kesho wanazindua na kurusha Satellite yao walioipa jina Taifa-1 na ikumbukwe Kenya wana Laptops na desktops zao zinaitwa taifa. Tanzania haieleweki katika uga wa elimu,katika ukuaji wa sayansi na teknolojia ndio kama mfu,hawana mpango maalumu wakuvumbua vipaji bunifu katika teknolojia...
  14. Athuman Mintangah

    JamiiForums Tanzania Hivi mbona ndege ya jeshi la marekani( c-17 globemaster) route zake haziishi kwenye anga letu

    Na leo imepita tena. Kuna kipi kilichojificha.😭😭😭
  15. Kilimbatzz

    JamiiForums Tanzania Mpinzani wa The Super Dar es Salaam Young Africans kujulikana kesho

    Timu zilizoingia robo fainali kombe la CAF CC ni: 1)Asec Mimosa-Cote d'Ivore 2)Rivers United-Nigeria 3)Marumo Gallants-South Africa 4)Young Africans-Tanzania 5)AS Far Club-Morocco 6)Pyramids-Egypt 7)US Monastrienne-Tunisia 8)USM Alger-Algeria Kuna timu nne za Juu ya Jangwa la Sahara na...
  16. Sexer

    JamiiForums Tanzania Finland kuwa mwanachama rasmi wa NATO kesho Aprili 4, 2023

    Ofisi ya Rais wa Finland imetangaza kuwa Finland itakuwa Mwanachama rasmi wa NATO ifikapo kesho. Tangazo hilo limethibitishwa na Katibu Mkuu wa NATO Jens Stoltenberg. Akizungumza kutokea jijini Brussels Bw.Stoltenberg amesema "Tutapandisha Bendera ya Finland kwa mara ya kwanza hapa kwenye...
  17. B

    JamiiForums Tanzania CCM yatoa maagizo waliotajwa ripoti za CAG, Takukuru

    Chama tawala nao wamesema: Hiki angalau kimtindo, kitakuwa kimeumana. Ngoja tuone. ----- Chama tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimeitaka Serikali kuwachukulia hatua kwa waliohusika kwenye ubadhirifu na matumizi mabaya ya madaraka katika taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu...
  18. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya kesho labda kwa busara za Museveni siyo za Gachagua

    Kesho ni jumatatu nyingine: Hili sasa ni lenye kuhitaji akili kubwa: Wenye busara wapo: Lakini siyo huyu bwana: Kwetu wapigania haki au Uhuru kwa jina la ukombozi elimu haina mwisho. Inafahamika elimu kama hii kutokuwa na maana kwa walamba asali, wahuni au wale vijana wa hovyo...
  19. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kesho Maandamano Alhamisi 1, mambo yataka hamasa

    Kesho ni siku ya kwanza kwa maandamano siku ya Alhamisi baada ya jumatatu iliyopita. Stamina ni muhimu katika mapambano. Kwani kusikia kwa kenge hadi damu masikioni: Stamina, yaani uwezo wa kuendelea kukomaa bila ya kukata tamaa inajengwa na uhamasishaji usiokoma. Jambo lolote haliwezi...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais wa Marekani kuanza ziara Tanzania kesho, dondoo kadhaa kuzijua

    Na Bwanku Bwanku. Wakati huu, Makamu wa Rais wa Marekani Bi. Kamala Harris akitarajia kuanza ziara yake nchini Tanzania siku ya kesho Jumatano Machi 29, 2023, historia ya mahusiano ya Nchi hizi mbili ni ya kusisimua sana ikianza mwaka 1961, miaka 62 iliyopita. Ni ziara ya kimkakati ya...
Back
Top Bottom