Kimara Mwisho tuna shida kubwa sana ya upatikanaji wa maji safi toka DAWASA kuanzia mtaa wa bakery ni upande wa kushoto ukitokea mjini baada ya msikiti kwenda Stopover.
atizo hili ni la muda mrefu sana toka January hadi sasa, maji tunapewa mara moja kwa wiki yaani Jumatatu tuu.
Hapa toka wiki...
Anonymous
Thread
kerokero ya maji
kero ya maji kimara
kimara
kimara mwisho
maji
mwisho
Habari Naomba kutuma kero ya kata ya 14 Temeke Dar-es -Salaam yadi ya malori mtaani ni kubwa, yanapaki magari mbele ya nyumba za watu na magari hayo Hayo yanakata wire za umeme.. Maafisa wa TANESCO wakija hawawasilishi kesi ofisini wanapewa hela na watu hawalipwi, vitu vyao vilivyoungua.
Barua...
Anonymous
Thread
kero
maafisa
magari
malori
njia
tanesco
temeke
umeme
Hapa Mpwapwa Mjini tuna kero kubwa ya kuwa na dampo lango la stendi ya mabasi taka zinakaa muda mrefu sana na imekuwa changamoto ya muda mrefu sana harufu kali inahatarisha afya za watumiaji wa eneo hili gari la taka haliji kwa wakati kubeba taka mpaka imekuwa kero.
Mda mwingine inapita hadi...
Anonymous
Thread
dampo
kero
kubwa
mabasi
mjini
mpwapwa
stendi
stendi ya mabasi
tuna
Hapa ni Pongwe Mkoa wa Tanga, Mkandarasi kamwaga kifusi kina tope ambacho kimekuwa ni kero kubwa kwa wananchi kipindi hiki cha mvua ni takribani miezi mitatu sasa, hakuna dalili zozote za kusambaza tunaomba msaada liwafikie wahusika.
Barabara imezibwa na imekuwa kero kwa Watumiaji wengi.
Pia...
Fichua uovu: Uyole, jimbo jipya la Tulia.
Nimefanya malipo ya kuunganishiwa huduma ya maji safi tangu mwezi wa nne, lakini hadi leo sijapatiwa huduma hiyo. Kila ninapofuatilia, naambiwa vifaa bado havijapatikana, niwasubiri hadi vitakapokuja.
Kinachoniumiza ni kwamba ninatumia gharama kubwa...
Mimi ni mkazi wa Njiro, Arusha katika maeneo ya kwa Msola na kwa Mrimba karibu na Climax Resort. Tumekaa karibu wiki mbili sasa bila maji, na hali hii imekuwa ikijirudia mara kwa mara tangu mwezi Januari.
Kila tunapowasiliana na Arusha Urban Water Supply and Sanitation Authority (AUWSA)...
Tunaomba sana wahusika watutatulie kero ya usafiri katika eneo la NATTA jijini Mwanza. Mimi binafsi napitia eneo hili mara kwa mara, na hali ya foleni imekuwa mbaya sana. Pale kuna vituo viwili vya daladala—kimoja cha kwenda mjini na kingine cha kutoka mjini—lakini miundombinu iliyokuwepo...
Wakazi wa Wilaya ya Ubungo, Kata ya Baruti Mtaa wa Docha, Shina Namba 7 tuna kero kubwa kuhusu uwepo wa Kanisa (El Bethel Church) lililojengwa kiholela katikati ya makazi ya watu bila kuwa na vibali kutoka mamlaka husika.
Kanisa hili limekuwa na ibada zisizo na mpangilio na kuweka music kwa...
Anonymous
Thread
church
kanisa
katika
kero
makazi
makazi ya watu
muziki
sauti
wahusika
UTAFITI uliofanywa na Bodi ya Maji ya Wami Ruvu (WRWB) umeonesha kuwepo wa maji lita bilioni 21 za
maji chini ya ardhi zitakazotumika kama mbadala wakati wa kipindi cha ukosefu wa maji katika mikoa ya Dar es
salaam na Pwani.
Hatua hii muhimu ya WRWB ni sehemu ya utekelezaji wa awamu ya kwanza...
Kuna haja kubwa sasa ya kuzungumzia changamoto inayowakumba Maafisa Ustawi wa Jamii nchini.
Pamoja na kwamba Wizara ya Afya na Wizara ya maendeleo ya jamii jinsia, wanawake na makundi maalumu zilitenganishwa tayari, bado katika Halmashauri nyingi Ustawi wa Jamii inaendelea kubaki chini ya Idara...
Anonymous
Thread
halmashauri
jamii
kero
muundo
ndani
ustawi
ustawi wa jamii
1. Mwenyekiti anaomba pesa washonaji ili awapangie Hela ya kushona magunia ya vitunguu. Kila jumamosi washonaji Kila Mmoja anatoa 5,000 (wapo zaidi ya 100) kwa mwenyekiti wa soko la vitunguu. Zaidi ya laki 5 anachukua mwenyekiti na kundi lake
2. Washushaji wa vitunguu kwenye magari nao...
Kuna kero sana kwenye hii Medical council of Tanganyika(MCT), chama kinachosimamia madaktari wa nchi hii kila mwaka tunalipia leseni laki moja na elfu hamsini, lakini hakuna cha maana tunachopata
Sasa hivi mtu unalipia lakini wanashindwa kuhuisha leseni ukiwapigia simu hawapokei muda mwingine...
Anonymous
Thread
ada
baraza
binadamu
daktari
huduma
huduma mbovu
kero
kubwa
mbovu
mct
medical
mimi
tanganyika
Mimi ni mkazi wa Ulongoni A karibu na Bar ya Magogoni, Mtaa unaitwa kwa Makamba Jijini Dar es Salam hapa Ilala upande Kinyerezi, kero yangu ni umeme kukatika katika kila mara ifikapo saa moja jioni, yaani umeme unaweza kukatika hata mara 50 kwenye saa moja.
Tumeshawasilisha kero hii Tanesco kwa...
Viongozi wa kijiji cha Mlimba 'B' katika Halmashauri ya Mlimba wamekuwa kero kwa wananchi kwani wamekuwa wakitoza faini ya Tsh. 10,000/= kwa kila mwananchi asipohudhuria kwenye mkutano wa serikali ya kijiji na kwenye shughuli za maendeleo ambazo ni kusafisha barabara ambazo zinafanyika kila siku...
Anonymous
Thread
halmashauri
kero
kijiji
kilombero
mkoani
mlimba
morogoro
viongozi
wilaya
sisi watumishi wa Hospital ya mji kondoa tuna lazimishwa kuchangia mchango wa mwenge shilingi 5,000/= kwa kila mtumishi kutoka kwa Mganga Mfawidhi wa Hospital ya Mji Kondoa.
Mfano, Tarehe 07/05/2026 tumepewa posho za masaa ya ziada ila wametukata kwa lazima mchango wa mwenge tulipo uliza...
Mimi ni mkazi wa Mtaa wa Magogoni Wilaya ya Kigamboni, mtaa wetu umekuwa na changamoto za kuwa na bandari kavu karibu na makazi ya watu katika njia zinazoingia mtaani kwetu.
Mojawapo imekuwa ikileta changamoto malori yanayosubiri kupakia na kushusha kontena yana-park barabarani na kutuachia...
Anonymous
Thread
bandari
bandari kavu
hatari
kero
kigamboni
magogoni
makazi
makazi ya watu
mtaa
wananchi
Leo Nimeshangaa Sana Nilipofika Stendi Tajwa Baadaya
Mgeni Wangu Kumkatia Ticket Ya Basi Kuelekea Nyanda Za Juu Kusini.
Nilipofika Mgeni Aingie Stendi Naambiwa Pamoja Na Kukata Ticket Hawezi Kuingia Ndani Mpaka Alipie Tzs 300/= Kiingilio
Manispaa Ya Morogoro Hata Kama Mnakusanya Mapato Ila Hii...
Kuna ajali nimeipita hapa Matumbi wanapoweka camera askari hapo. Kuna gari zimegongana 2.
Sasa inavyoonekana wa gari dogo alijichomela kwenye blind sport ya gari kubwa akajua anaonekana akagongwa. Gari yake haijaumia sana ila kataka alipwe. Sasa mwenye gari kubwa gari yake ina Bima Kubwa...
Habari,
Mimi ni mkazi wa Sinza Madukani kuna mradi wa majitaka unaendelea tokea mwanzoni mwaka 2025 ..Lakini huu mm Mradi umekua kero na Usumbufu kwa wakazi wa Sinza Madukani pamoja na eneo ya hapa.
Mradi wamefanya uharibu wa miundo mbinu ya barabara pamoja na maji wamechimba barabara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.