Kumekuwa na malalamiko ya watumiaji wa mabasi yaendayo haraka (BRT), kuhusu ukubwa wa nauli za mabasi hayo na kutokuwepo kwa tiketi za muunganisho wa safari.
Soma pia: Changamoto ya nauli za mabasi ya Mwendokasi (DART/UDART) na kero ya tiketi zisizo na muunganiko wa ruti (Gerezani - Kimara -...
Barabara ya Mwenge, ambayo ni miongoni mwa makutano makuu na muhimu zaidi jijini Dar es Salaam, inaendelea kushuhudia msongamano mkubwa wa magari, hasa wakati wa asubuhi na jioni. Eneo hili linalounganisha Barabara ya Ali Hassan Mwinyi, Bagamoyo, na Sam Nujoma ni kiungo muhimu sana cha usafiri...
Wananchi na wanunuzi wadogo wa felo katika eneo la Mgodi wa Msasa, Runzewe, Geita, tunaomba msaada wa mamlaka husika kutokana na changamoto kubwa inayotukabili katika shughuli zetu za kila siku za kujipatia kipato.
Kwa kawaida, tunaponunua felo kutoka migodini, tunapeleka kwenye Steka kwa ajili...
Habari wana-JamiiForums,
Hivi karibuni, tumeshuhudia tukio ambalo limeacha maswali mengi kuliko majibu kuhusu mwelekeo wa usalama wa nchi yetu. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, ameingia kwenye vichwa vya habari baada ya kuwaita wasanii na maarufu wa mitandao ya kijamii na...
Wadau, naomba uzoefu wenu kuhusu TRA.
Nimeona niwashirikishe jambo ambalo nimekuwa nikikutana nalo katika shughuli zangu za biashara. Kuna baadhi ya watumishi wa TRA ambao, wakati wa kushughulikia masuala ya kikodi au ukaguzi, wamekuwa wakinipa hisia kwamba bila kutoa "Rushwa" au “kitu kidogo”...
Imekuwa ni tabia ya muda mrefu kwa baadhi ya daladala jijini Mwanza kufupisha route nyakati za usiku, hali inayowaacha abiria kwenye maeneo ambayo siyo vituo vyao vya mwisho.
Kwa mfano, jana nilipanda daladala kutoka Kiloleli, ambapo konda alieleza kuwa gari hilo linaishia Kona ya Bwiru. Hata...
Habari zenu Wana-Jukwaa,
Naandika uzi huu kuwasilisha kero inayowakabili wananchi na wasafiri wa kila siku wanaotumia Mabasi ya Mwendokasi (DART) katika korido ya Morogoro Road, kuanzia Kivukoni, Gerezani, Kimara hadi Mbezi.
Tunatambua mchango mkubwa wa usafiri wa mwendokasi katika kupunguza...
Naandika uzi huu kufikisha kwa CEO na Uongozi wa Stendi Kuu ya Mabasi ya Magufuli (Mbezi Luis) baadhi ya kero zinazowakabili wananchi na wasafiri wanapotumia huduma za stendi hiyo.
Sisi kama wananchi hatupingi kulipa TSh 300 za kiingilio, kwa kuwa tunaelewa kuwa tozo hiyo inalenga kuchangia...
Anonymous
Thread
bus
bus terminal
kero
magufuli
magufuli bus terminal
unyonyaji
vyoo
wizi
Wananchi tunaotumia usafiri wa umma, hususan wakazi wa Buza, tunakabiliwa na kero ya kutozwa nauli tofauti na bei elekezi.
Kwa mfano, nauli kutoka Mnazi Mmoja hadi Buza ni Shilingi 700, lakini baadhi ya magari yanapofika kituoni Buza huishia mwanzoni mwa kituo. Abiria wanaopanda hapo hutozwa...
Nimezaliwa mwaka 1997, na Ilala ilikuwa sehemu nzuri sana kwa watoto kuishi na kukua kwa sababu ilikuwa karibu na maeneo mengi ya kucheza, huku miundombinu ikiwa tayari imefika maeneo hayo.
Hata hivyo, baada ya zile kota za pale Karume kuvunjwa na kujengwa Uwanja wa Karume wa mpira, pamoja na...
Naomba kuwasilisha kero yangu inayohusu kuunganishwa kwa umeme wa REA Kijijini kwetu IGONYAMU KATA YA IWINDI MBEYA DC.
Baada ya mda mrefu wa kusubiri kuunganishiwa umeme kijijini kwetu na wanakijiji kujitolea kuchimba mashimo na kubeba na kusimika nguzo kwa umbali mrefu kwa nguvu ya wanakijiji...
Anonymous
Thread
baada
kerokero ya umeme
kijijini
mbeya
mda
mrefu
naomba
nguzo
rea
umeme
umeme wa rea
yangu
Ndugu Watanzania, kumekuwa na malalamiko kuhusu ukiukwaji wa haki za wajawazito kupata huduma za afya, ambapo baadhi yao wanalazimishwa kulipia vipimo ambavyo vinapaswa kutolewa bila malipo.
Vipimo vinavyodaiwa kulipishwa ni pamoja na:
Hemoglobin (HB) – kipimo cha kiwango cha damu.
ABO/Rh –...
Mimi ni mkazi wa Chalinze, Mtaa wa Nero, Darful. Tunaendelea kukabiliwa na changamoto ya ukosefu wa maji mara kwa mara. Wakati mwingine tunakaa hadi mwezi mzima bila kupata maji.
Hadi ninapoandika malalamiko haya, tumekaa takribani wiki mbili bila maji, bila kupewa taarifa yoyote kutoka Idara...
Habarini za asubuhi wana jukwaa,, niende moja kwa moja kwenye mada yangu:
Hivi ninyi watu au tuseme wateja mnao fika ofisini kwa mtu/dukani na kuanza kupepesa macho yako huku na kule kutafuta kitu flani na baadae kuondoka kwa kujisemea kwamba kitu hicho hakipo huwa mnajielewa kweli?, kwanini...
Kitu kinachokera na kufanya nisipende kutumia stendi za mabasi za umma kama Magufuli Terminal, ni mpangilio mbovu na vurugu. Serikali imetumia mabilioni ya pesa kujenga stendi zenye miundominu ya kisasa na muonekano wa kimataifa lakini siasa za kijinga zinafanya hizo stendi ziwe kama magulio ya...
My Take
Heko Prof.Kitila Mkumbo Kwa kuona jambo hili.Hawa watu kazi Yao kubwa ni kuanzisha tozo na Ushuru Kwa jina la kubuni vyanzo vya Mapato mwisho wa siku zinakandamiza jitihada za kukuza Uchumi na kujikwamua kwenye umaskini.
Hatuwezi Kufikia Uchumi wa Dola Trilioni 1 Kwa kushadidiq sera...
Ongezeko la gharama za usafiri licha ya mafuta kushuka bei limeendelea kuwa changamoto kwa baadhi ya wananchi wanaotumia usafiri wa umma katika shughuli zao za kila siku, huku abiria wakieleza kuwa nauli kubwa inaongeza mzigo wa gharama za maisha.
Baadhi ya abiria wanasema wanalazimika kutumia...
Hivi ujenzi wa Barabara ya Mbagala Rangi Tatu mpaka Kongowe imekuwa kero kwetu Watumiaji na sasa hivi hakuna kinachoendelea hata mkandarasi hatumuoni 'site' hii kero itaisha lini jamani.
Nakumbuka Machi 19, 2025, Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Dar es Salaam na mkandarasi kutoka...
Anonymous
Thread
barabara
bilioni 54
kero
kila siku
kongowe
kusimamia
mradi
rangi
siku
ujenzi
ujenzi wa barabara
Naomba kuwasilisha kero kuhusu kucheleweshwa kwa mchakato wa usajili wa hati ya nyumba ya marehemu katika Ofisi ya Usajili wa Hati, Wizara ya Ardhi.
Mimi ni msimamizi wa mirathi ya marehemu baba yangu. Nyumba hiyo ipo Kigamboni, Dar es Salaam, ina ukubwa wa SQM 1,122 na hati yake imesajiliwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.