Bird Watcher
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 4,496
- 9,275
Wakuu hi barabara tunasubiri Nini Kuitanua? Niliona kafulila kamfurusha Mbia ambaye alitaka Kufanya huu mradi na Serikali Kwa mode PPI ajenge halafu a impose Toll fee,
Baada ya Kuongea vile hajarudi Tena kutoa way forward
Barabara imekuwa kero Kubwa sana Kwa wasafiri Yani Foleni ya Kufa mtu
Ni kweli serikali inashindwa Kuona Kuwa hii barabara Iko overloaded
Soma Pia:Kafulila: Tumemkataa mbia barabara ya kulipia Kibaha -Chalinze kwa maslahi mapana ya nchi yetu
Soma Pia: GE2025 - Samia: Usanifu wa barabara njia 6 ya Maili moja- Chalinze unaendelea