kero

  1. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Aliyeitengeneza Hii video ya hii ngoma alikuwa hadi kero.

    Sijui ni hansacana au Dr Adam juma wa Visual lab?https://youtu.be/DkoeNLuMbcI?si=rzXCMpXgCfm7y2dl
  2. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Aliyeitengeneza Hii video ya hii ngoma alikuwa hadi kero.

    Sijui ni hansacana au Dr Adam juma wa Visual lab?https://youtu.be/DkoeNLuMbcI?si=rzXCMpXgCfm7y2dl
  3. HIMARS

    JamiiForums Tanzania KERO Nyaya za fiber zimekuwa kero

    Wahusika wa usambazaji wa Fiber kazi yenu nzuri ila imekuwa kero, nguzo zenu zinadondoka sana, nyaya zenu zinalegea mno, hebu fanyeni kitu ziwe sawa, vinginevyo tutaanza zikata ili mje kuweka vizuri upya
  4. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Kero za Wananchi: Je, Ni "Petty Issues"?

    Kuna jambo ambalo John Heche, Sigrida Mligo na Ado Shaibu wanapaswa kulijibu kwa Watanzania. Wamekuwa wakibeza ziara za Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba wakisema anashughulika na "petty issues", anasikiliza mambo ambayo yangetatuliwa na viongozi wa ngazi za chini au kwamba anatoa majibu mepesi...
  5. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Kero ya Muungano: Tanganyika yaanza kutawaliwa na Zanzibar? Wabunge hili hamulioni?

    Tanganyika ndani ya Tanzania sasa imeshakuwa kichwa cha mwenda wazimu. Kila Mzanzibari anajifunza kunyoa Tanganyika, na hili ni kero inyoweza kuathiri kwa kiasi kikubwa mustakabali wa Tanganyika. On a serious note, kwa matamshi tuliyosikia kutoka kwa Mawaziri ndani ya serikali ya Zanzibar...
  6. Candela

    JamiiForums Tanzania KERO KERO: CRDB BANK na makato hewa HEWA

    Guys guys guys, hawa CRDB hawako serious ni wezi aisee. Nina akaunti nao lakini sina kadi, baada ya kadi yangu kuisha muda siku renewe coz mda mwingi nafanya transfers pekee. Sio mtu wa kwenda ATM. Cha ajabu kila mwezi wanakata makato ya kadi kutoka kwenye akaunti yangu. Sielewi kwa kweli maana...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kero ya Kelele za kanisa katikati ya makazi ya watu. Ni Kigamboni darajani mtaa wa Nyerere karibu na Daraja la Nyerere

    Habari kuna kanisa lipo kigamboni darajani mtaa wa nyerere karibu na daraja la Nyerere, kanisa hilo limekua kero sana kwa sisi wakazi wa eneo hili. Wamekua wakifanya mazoezi ya kwaya hadi usiku wa saa3:30 tena kwa sauti kubwa sana jambo ambalo linatukera wakazi wa mtaa huu maana ni kelele kali sana.
  8. E

    JamiiForums Tanzania Muungano Huu Shaghalabaghala: Mzanzibari ni Mtanzania, ila si kila Mtanzania ni Mzanzibari

    Kumekuwa na kauli tata kutoka kwa viongozi wa Zanzibar kuhusu Muungano, wakionyesha ubaguzi wa wananchi kutoka Bara kupata huduma au kushiriki fursa za kiuchumi, hali inayozua maswali. Kauli hizo zimekuja wakati kukiwa na mjadala wa kwa nini raia wa upande mmoja (Tanzania Bara/Tanganyika)...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded NACTVET wana huduma mbovu katika kuwasiliana na wateja wao

    Nina malalamiko yangu kwa Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) kuhusu huduma ya mawasiliano kwa wateja. Kumekuwa na changamoto kubwa ya kutopokelewa simu tunapowasiliana na ofisi zao kwa ajili ya kupata msaada au ufafanuzi wa masuala mbalimbali. Mara nyingi...
  10. Candela

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Bandari wanazuia mizigo ya watu kama bidhaa ulizoleta zinafanana na za tajiri fulani

    Kumekuwa na tetesi kwamba baadhi ya matajiri wanazuia mizigo ya watu kupitia maafisa wa bandari wasio waaminifu. Iko hivi kama unaleta kontena ya viatu basi tajiri alieshika viatu hapa bongo anawaelekeza bandari wasitoe mzigo wako. Unawekewa ushuru mkubwa ambao hata ukiulipa hutaweza kuuza huo...
  11. K

    JamiiForums Tanzania KERO Madereva wa mwendokasi terminal ya Kivukoni wanachelewa kuondoka bila sababu za msingi

    Hapa terminal ya Kivukoni Bus ikitoka Kimara lazima dereva apaki kwa dakika 10 au 20 bila sababu za msingi wakati abiria wapo wa kutosha na kusababissha usumbufu kwa watumiaji. Madereva badilikeni
  12. Kyenju

    JamiiForums Tanzania KERO Haya malori yanayopaki barabarani yamekuwa kero

    Hivi hawa jamaa wanajiamini sana! Kiasi kwamba wanaweza kuvunja sheria za mamlaka. Hapa maeneo ya Zakhem Mbagala kuna maroli yanapaki kuanzia service road, barabara ya waenda kwa miguu, mpaka njia moja ya barabara kuu. Hili jambo linasababisha foleni kuwa kubwa na kulazimisha magari ya kawaida...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wapya wa Januari 2026 Nzega DC bado hatujalipwa fedha za kujikimu

    Watumishi wa ajira mpya wa Januari 2026 katika Halmashauri ya Wilaya ya Nzega (Nzega DC) bado hatujalipwa fedha za kujikimu hadi leo. Kinachotushangaza ni kwamba baadhi ya watumishi, hususan wa Idara ya Afya, wamepokea sehemu ya fedha hizo, huku wengi wetu tukiendelea kusubiri bila kupata...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mfumo wa PEPMIS umechangia Watumishi 370 wa Halmashauri ya Jiji la Dar tusipandishwe daraja

    Mimi ni mtumishi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, Idara ya Utawala na Rasilimali Watu. Tuna changamoto kubwa inayohusu mfumo wa PEPMIS, ambapo mwaka 2025 tulitakiwa kupanda daraja lakini haikuwezekana kutokana na supervisors kushindwa kuingia kwenye mfumo huo. Cha kusikitisha ni kwamba...
  15. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Ziara za Waziri Mkuu Mwigulu Mchemba: Je, ni utatuzi wa kweli wa kero au ni Usanii na Kiini Macho? Mbona hatuoni mrejesho?

    Wana-JF, Kumekuwa na utaratibu uliozoeleka wa Waziri Mkuu, Mheshimiwa Mwigulu Mchemba, kufanya ziara mbalimbali sehemu mbalimbali nchini. Katika ziara hizo, pamoja na mambo mengine, amekuwa akitenga muda wa kusikiliza na kutatua kero za wananchi. Katika utatuzi huo, tumekuwa tukishuhudia mambo...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kero yetu sisi walimu wa kujitolea au mkataba shule ya msingi kupitia mradi gpe ambao tuliletwa na Tamisemi, tupo nchi nzima mpaka sasa hatujalipwa

    Kero yetu sisi walimu wa kujitolea au wa mkataba katika shule za msingi kupitia mradi wa gpe, ambao tuliletwa na tamisemi. tupo nchi nzima, lakini mpaka sasa hatujalipwa. mara ya mwisho kulipwa ilikuwa mwezi februari 2026, tena baada ya kutoa kero yetu hapa jamii forums ndipo malipo yakafanyika...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wiki tatu bila maji: Wananchi wa Unyinga, Mamise na Unyakumi tunataka ufafanuzi kutoka SUWASA

    Tunapenda kufichua kero kubwa inayowakabili wananchi wa maeneo ya Unyinga, Mamise na Unyakumi na maeneo mengine mjini Singida kutokana na ukosefu wa huduma ya maji takribani wiki tatu sasa Kwa kipindi cha hivi karibuni, maeneo haya yamekuwa yakikumbwa na ukosefu wa maji kwa siku nyingi...
  18. P

    JamiiForums Tanzania KERO Bar ya Camp Edward (Tabora) wanapiga muziki mkubwa sana na IPO katikati ya makazi

    Bar ya CAMP EDWARD iliyoko kwenye makazi ya watu MKOANI TABORA, wanapiga mziki mkubwa sana na mbaya zaidi ni kila siku hawana jumatatu wala weekend, mbaya kuliko zote wanapiga mziki hadi saa mbili asubuhi kwa sauti kubwa. Mamlaka zituambie ni kibali cha aina gani wanapewa kupiga mziki hadi...
  19. Mercenary Army

    JamiiForums Tanzania Kero ya Ada Chuo cha Maji (Water Institute): Unyanyasaji wa kuzuia wanafunzi kufanya Test 1 na 2 kisa salio dogo la ada unakiuka maagizo ya Serikali

    WanaJF salamu, Ninaleta mada hii mbele yenu nikiwa na majonzi na masikitiko makubwa kutokana na hali halisi inayojiri katika Chuo cha Maji (Water Institute) kwenye Muhula huu wa Pili (Semester II). Kumekuwa na mfumo wa uendeshaji unaoonekana kulenga faida au biashara zaidi badala ya kutoa huduma...
  20. rich1

    JamiiForums Tanzania KERO CRDB na kero ya kuchelewesha muamala uliofanyika kimakosa

    CRDB kama mpo hapa naomba mlifanyie kazi hii kero ya kuchelewesha kurudisha muamala hasa kwa sisi mawakala wa CRDB, Yaani muamala(shs 237,800/=) Wangu una mwezi mzima mpaka leo ni danadana, tunaomba basi muwe serious maana hizo ni pesa za KAZI.
Back
Top Bottom