April 24, 2025 Liliwekwa jiwe la Msingi wa Ujenzi wa Barabara ya kibada - Mwasonga - Kimbiji yenye urefu wa Kilomita 41, ambapo jiwe hili liliwekwa na Raisi wa Zanzibar Mh. Hussein Ali Mwinyi.
Kazi imefanyika vizuri sana ila Changamoto Kubwa Mtaa Wetu wa Tumaini umeelekezewa Maji kiasi kikubwa...
Anonymous
Thread
barabara
csr
kero
kibada
kimbiji
kusababisha
kushindwa
mkandarasi
mtaa
tanroads
wakazi
Wakazi wa Kimara King'ongo tumekuwa tukiteseka kwa kukosa huduma ya maji. Tangu maji yalipotoka Juni Mosi baada ya kulalamika Makao Makuu, hayajatoka tena.
Hili si jambo la kwanza kutokea. Mara nyingi hatupati maji hadi tupige simu na kulalamika, kana kwamba huduma hiyo ni ya bure.
Cha...
Tanesco imetolea ufafanuzi wa Kero zilizowasilishwa na wadau hapa JamiiForums, baadhi ya sehemu maboresho yameanza.
Pia soma
~ KERO - Mwaka wa 3 sasa TANESCO hawajaweka Transfoma hapa Msambiazi-Korogwe, tunateseka umeme kukatika
~ KERO - TANESCO Iringa Mjini wanakata umeme laini ya viwandani...
Kuna jambo ambalo John Heche, Sigrida Mligo na Ado Shaibu wanapaswa kulijibu kwa Watanzania.
Wamekuwa wakibeza ziara za Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba wakisema anashughulika na "petty issues", anasikiliza mambo ambayo yangetatuliwa na viongozi wa ngazi za chini au kwamba anatoa majibu mepesi...
Tanganyika ndani ya Tanzania sasa imeshakuwa kichwa cha mwenda wazimu.
Kila Mzanzibari anajifunza kunyoa Tanganyika, na hili ni kero inyoweza kuathiri kwa kiasi kikubwa mustakabali wa Tanganyika.
On a serious note, kwa matamshi tuliyosikia kutoka kwa Mawaziri ndani ya serikali ya Zanzibar...
Guys guys guys, hawa CRDB hawako serious ni wezi aisee.
Nina akaunti nao lakini sina kadi, baada ya kadi yangu kuisha muda siku renewe coz mda mwingi nafanya transfers pekee. Sio mtu wa kwenda ATM.
Cha ajabu kila mwezi wanakata makato ya kadi kutoka kwenye akaunti yangu.
Sielewi kwa kweli maana...
Habari kuna kanisa lipo kigamboni darajani mtaa wa nyerere karibu na daraja la Nyerere, kanisa hilo limekua kero sana kwa sisi wakazi wa eneo hili. Wamekua wakifanya mazoezi ya kwaya hadi usiku wa saa3:30 tena kwa sauti kubwa sana jambo ambalo linatukera wakazi wa mtaa huu maana ni kelele kali sana.
Kumekuwa na kauli tata kutoka kwa viongozi wa Zanzibar kuhusu Muungano, wakionyesha ubaguzi wa wananchi kutoka Bara kupata huduma au kushiriki fursa za kiuchumi, hali inayozua maswali.
Kauli hizo zimekuja wakati kukiwa na mjadala wa kwa nini raia wa upande mmoja (Tanzania Bara/Tanganyika)...
Nina malalamiko yangu kwa Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) kuhusu huduma ya mawasiliano kwa wateja.
Kumekuwa na changamoto kubwa ya kutopokelewa simu tunapowasiliana na ofisi zao kwa ajili ya kupata msaada au ufafanuzi wa masuala mbalimbali. Mara nyingi...
Anonymous
Thread
baraza
changamoto
elimu
elimu ya
elimu ya ufundi
huduma
huduma kwa wateja
kero
malalamiko
nactevet
nactvet
simu
taasisi
tcu
ufundi
wahusika
wateja
Kumekuwa na tetesi kwamba baadhi ya matajiri wanazuia mizigo ya watu kupitia maafisa wa bandari wasio waaminifu.
Iko hivi kama unaleta kontena ya viatu basi tajiri alieshika viatu hapa bongo anawaelekeza bandari wasitoe mzigo wako.
Unawekewa ushuru mkubwa ambao hata ukiulipa hutaweza kuuza huo...
Hapa terminal ya Kivukoni Bus ikitoka Kimara lazima dereva apaki kwa dakika 10 au 20 bila sababu za msingi wakati abiria wapo wa kutosha na kusababissha usumbufu kwa watumiaji. Madereva badilikeni
Hivi hawa jamaa wanajiamini sana! Kiasi kwamba wanaweza kuvunja sheria za mamlaka.
Hapa maeneo ya Zakhem Mbagala kuna maroli yanapaki kuanzia service road, barabara ya waenda kwa miguu, mpaka njia moja ya barabara kuu. Hili jambo linasababisha foleni kuwa kubwa na kulazimisha magari ya kawaida...
Watumishi wa ajira mpya wa Januari 2026 katika Halmashauri ya Wilaya ya Nzega (Nzega DC) bado hatujalipwa fedha za kujikimu hadi leo.
Kinachotushangaza ni kwamba baadhi ya watumishi, hususan wa Idara ya Afya, wamepokea sehemu ya fedha hizo, huku wengi wetu tukiendelea kusubiri bila kupata...
Mimi ni mtumishi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, Idara ya Utawala na Rasilimali Watu. Tuna changamoto kubwa inayohusu mfumo wa PEPMIS, ambapo mwaka 2025 tulitakiwa kupanda daraja lakini haikuwezekana kutokana na supervisors kushindwa kuingia kwenye mfumo huo.
Cha kusikitisha ni kwamba...
Anonymous (b4b1)
Thread
kazi
kero
kupanda madaraja
mbalimbali
msaada
naomba
sana
serikali
vigezo
wako
Wana-JF,
Kumekuwa na utaratibu uliozoeleka wa Waziri Mkuu, Mheshimiwa Mwigulu Mchemba, kufanya ziara mbalimbali sehemu mbalimbali nchini. Katika ziara hizo, pamoja na mambo mengine, amekuwa akitenga muda wa kusikiliza na kutatua kero za wananchi.
Katika utatuzi huo, tumekuwa tukishuhudia mambo...
Kero yetu sisi walimu wa kujitolea au wa mkataba katika shule za msingi kupitia mradi wa gpe, ambao tuliletwa na tamisemi. tupo nchi nzima, lakini mpaka sasa hatujalipwa. mara ya mwisho kulipwa ilikuwa mwezi februari 2026, tena baada ya kutoa kero yetu hapa jamii forums ndipo malipo yakafanyika...
Anonymous
Thread
gpe
kero
kujitolea
kupitia
mkataba
mpaka
mradi
msingi
nchi
nchi nzima
shule
shule ya msingi
walimu
walimu wa kujitolea
Tunapenda kufichua kero kubwa inayowakabili wananchi wa maeneo ya Unyinga, Mamise na Unyakumi na maeneo mengine mjini Singida kutokana na ukosefu wa huduma ya maji takribani wiki tatu sasa
Kwa kipindi cha hivi karibuni, maeneo haya yamekuwa yakikumbwa na ukosefu wa maji kwa siku nyingi...
Anonymous
Thread
katika
kero
kichwa
kutoka
maeneo
maji
singida
suwasa
taarifa
ukosefu
ukosefu wa maji
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.