kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkenda: Kwa sasa hakuna mazao ya Wakulima na Wafanyabiashara yanayozuiwa kwenye mpaka wetu na Kenya

    Waziri wa kilimo Prof Adolf Mkenda amesema hali ni shwari kabisa katika mpaka wetu na Kenya na kwa taarifa za leo hakuna mzigo wowote uliokwama mpakani. Mkenda amesema watanzania wasiwe na wasiwasi kwani sasa biashara kati yetu na Kenya imeimarika sana labda kuliko wakati mwingine wowote...
  2. Teargas

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Square Pharma set to launch factory in Kenya

    Square Pharma set to launch factory in Kenya Ahsan Habib Square Pharmaceuticals will launch its production facility in Kenya within the next four months in a move that will considerably enhance the company's earnings from East African nations. The local drug maker broke ground on its...
  3. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya kuanza shule leo baada ya lockdown ya COVID-19

    May 10, 2021 Education Ministry Cabinet Secretary Prof. George Magoha has maintained that schools shall reopen on May 10, 2021 as earlier planned. The CS dispelled rumours that opening dates for primary and secondary schools may change over the third wave of coronavirus that has struck Kenya...
  4. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Wakati Tanzania na Kenya tukiendelea kutekenyana Uganda wao mbioni ku launch kinu cha nyuklia na kuwa nchi ya pili Afrika

    Habari wadau.! Wakati Tz na Kenya wao mambo yao yanalega lega na kupinda pinda huku mama akipambana kuyanyoosha wao waganda wapo mbioni ku launch kinu cha nyuklia kwa "mpango wa amani" ambapo nuklia hiyo itazalisha takribani 41,700Megawatts mpaka kufikia 2040. Uganda wameingia mkataba na...
  5. Sherlock

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya launches first national wildlife census

    Kenya has on Friday launched the first ever National Wildlife Census, conducted on land and sea wildlife. This is part of the efforts made towards the preservation & protection of wildlife in Kenya. Kenyan Tourism and Wildlife Cabinet Secretary Najib Balala speaking during the launch of the...
  6. Replica

    JamiiForums Tanzania Dar: Serikali yakanusha kuachia Wafungwa wa Kisiasa, yasema Tanzania haina mfungwa wa kisiasa

    Msemaji wa Serikali Gerson Msigwa amekana taarifa inayosambaa kwamba Rais Samia kawaachia huru Wafungwa 23 wa Kisiasa. Kadai Tanzania haina mfungwa wa kisiasa na kusema Rais hawezi kuingilia mchakato wowote wa Mahakama. Awali chombo cha habari cha Kenya kiliripoti Rais Samia kuachilia wafungwa...
  7. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Somalia restores diplomatic relations with Kenya

    Baada ya nchi ya Somalia kujiona msichana mrembo na kuturingia na hata kukata uhusiano kati ya nchi hizi mbili, wao wao wenyewe wamerudi mezani bila sisi kuwaita. Wamejua hawajui. Hii ni nchi ya hovyo sana. Sawia na msichana sura mbaya anayeringia wanaume ilhali wanaume hawana haja na yeye.
  8. J

    JamiiForums Tanzania Manufaa ya Ushirikiano wa Tanzania na Kenya

    Tanzania na Kenya zimekubaliana kushirikiana kuondoa vikwazo vya biashara na kufungua milango Zaidi ya kuwekeza na kuinua uchumi baina ya nchi zote mbili. Makubaliano hayo yamefikiwa kufuatia Ziara ya Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan nchini Kenya ikiwa...
  9. mr gentleman

    JamiiForums Tanzania Citizen TV ya Kenya imeripoti Rais Samia kawaachia wafungwa 23 wa kisiasa. Ni akina nani wafungwa wa kisiasa?

    Televisheni ya Citizen ya Kenya imeripoti kuwa Mama Samia ametoa maelekezo wafungwa 23 wa kisiasa waachiwe huru. Je, Tanzania tuna wafungwa wa kisiasa? Ni kina nani hao wafungwa wa kisiasa anaowazungumzia Mama Samia? Au Citizen wanamchafua rais wetu? ===== Serikali ya Tanzania yakanusha...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Tusisahau: Tanzania ni kubwa kuliko Kenya, Uganda, Burundi na Rwanda ukiziweka pamoja

    Tunakumbushana tu kuwa Tanzania ina eneo kubwa kuzipita Kenya, Uganda, Burundi na Rwanda tukiziweka pamoja Tutumie fursa ya ukubwa wa eneo letu kulead uchumi wa Afrika ya mashariki, pamoja tutaweza. Kazi Iendelee!
  11. luangalila

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ipo siku Kenya itatawaliwa na kizazi cha Somalia

    Kama kichwa cha Habari kisemavyo hapo Juu. Kenya imejumuisha wanachi wenye asili tofauti tofauti wakiwemo wazungu, wa asia, na wabantu wenyewe wazawa wa kenya ambao jamii kubwa ndiyo ilikuwepo wakat Kenya ina kuwa huru, lakin miaka ya 1990's kuendelea taifa hiki limekumbwa na wimbi la watu...
  12. msani

    JamiiForums Tanzania Uhuru Kenya, Suluhu Tanzania?

    UHURU KENYA SULUHU TANZANIA? Hii ni kauli ya Mh. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, aliokuwa Kenya kwenye ziara. Watanzania tumepewa ‘Uhuru’ wa kujivinjari Kenya bila visa wala kibali cha kazi, ni kauli iliyopokelewa kwa shangwe na ni kauli ilitoka papo kwa hapo na kwa lugha nyepesi...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli Kenya ni ndugu wa damu?

    Naomba nianze na baadhi ya vituko wanavyo tufanyia wakenya hawa tunaojiita ndugu zetu wa damu, damu gani? Wakenya miaka ya 70 tena kupitia radio na televisheni ya taifa waliwai kumkashfu baba wa taifa Nyerere kwa kusema MCHONGA MENO AMESHINDWA KUONGOZA NCHI YAKE. Wakati Nyerere anatukanwa sisi...
  14. W

    JamiiForums Tanzania Hakuna Taifa lililoendelea kwa kujipendekeza na kujidharau

    Tanzania ndo Taifa pekee hasa kwa miaka ya sasa ambapo kuanzia viongozi wake na wananchi ujidharau na kusifia mataifa mengine kwa kujipendekeza. Wakati wa Baba wa Taifa haya mambo hayakuwepo. Hatukubembeleza mtu au Taifa. Hata Jomo Kenyatta enzi hizo alionja shubiri za Nyerere. Si mara ya...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Namna Rostam Aziz alivyotoa hoja Kenya, ni kielelezo cha utajiri bila maarifa

    Rostam Aziz ameshambuliwa na makundi mbalimbali nchini Kenya baada ya kutoa maoni yake kuhusu mfumo wa biashara wa nchi hiyo huku akieleza kutotekelezwa ahadi ya Mhe. Rais ya Kenya aliyompa miaka kadhaa yakuwekeza kwenye gesi. Rostam hajawahi kuishambulia Wala kuzungumza chochote kibaya kuhusu...
  16. konda msafi

    JamiiForums Tanzania Gesi mnayopiga kelele kuuzwa Kenya haitatumika kwenye Viwanda vya Tanzania?

    Kwani hii gesi haitumiki au haitatumika kwenye viwanda vya Tanzania? Kama inatumika au itatumika kwenye viwanda vya Tanzania tatizo lipo wapi? Kwani kuna ubaya gani kama una chakula cha kutosha nyumbani kwako ukaamua kumuuzia jirani yako ili kupata pesa ya ziada kufanya mambo yako mengine? Kama...
  17. Mwanamayu

    JamiiForums Tanzania Je, Rostam Aziz anasahau kuwa Tanzania na Kenya ni tofauti kwani yawezekana kwa Kenya kumuona Rais na kuambiwa wekeza sio kutokufuata sheria?

    Mfanyabiashara maarufu wa Tanzania (sina uhakika kama ni mlipa kodi maarufu!), Rostam Aziz amelalamika kuwa uwiano wa uwekezaji kati ya Wananzania na Wakenya sio sawa. Alienda mbali na kutoa ushahidi wa kiasi cha dollar zilizowekezwa na idadi ya makampuni Tanzania na Kenya na kinyume chake...
  18. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kenya ni taifa lililokomaa katika ubepari. Badala ya kuwapiga vita na kuwachukia tujifunze kutoka kwao na historia yetu

    Ziara ya Rais Samia Kenya imewaibua wafahidhina makanjanja wasiojua chochote kuhusu umuhimu wa mahusiano mazuri kwa manufaa biashara na uchumi kati ya nchi mbili. Wameibuka vihiyo wenye mawazo ya kijima wanaofikiri vita vya kibiashara na mahusiano mabovu katika ya Kenya na Tanzania yana faida...
  19. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kuwa Wanyama wa Tanzania huenda kupata mimba Kenya kama alivyosema Rais Samia?

    Wanajamvi mwaendeleaje wanangu? Katika hotuba kwa Bunge na Seneti la Kenya, Rais Samia Suluhu alikaririwa akisema eti Wanyama wa Tanzania huenda kupandwa na kupata mimba Kenya na kuzalia Tanzania. Unaitafsirije kauli hii ambayo inaweza kuzua utata hata udume, ujike na kudharauliana? Je...
  20. The Father of All

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kuendelea kuvaa wigs kwa majaji na maspika wa mabunge ya Kenya siyo ukoloni wa kujitakia?

    Wanangu hamjambo humu ugani? Leo nimeona bi mkubwa SSH alipohutubia mabunge ya Kenya maspika alikuwa wamevalia wigs. Je, kweli bado kuna haja ya waswahili kuvaa katani na kudai bado wako huru? Wanangu nisaidieni. Pia hata majaji wa Kenya huvaa wigs. Kipindi cha Dr Willy Mutunga yalipigwa chini...
Back
Top Bottom