kelele

  1. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Kelele za Bandari ya Bagamoyo zimeishia wapi? Haitojengwa, hakuna wa kukujengea bure!

    Ni lini Watanzania tutakuja kuelewa kwamba hakuna kitu cha bure? Yaani Mchina atoke kwao aje kukujengea wewe Bandari kwa lipi hasa? Inanikimbusha Mji wa Kigamboni kwamba USA wanakuja kujenga Mji wa kisasa Kigamboni, USA wachukue fedha za walipa kodi wao wakujengee wewe Mji, kwa lipi haswa? Ni...
  2. Guselya Ngwandu

    JamiiForums Tanzania Anayewalipa wanaopiga kelele za Katiba Mpya atalipa hadi lini?

    Mitandaoni hususan Twitter, kuna kelele nyingi zinazoitwa 'madai ya Katiba Mpya' Ukitazama vizuri utagundua kwamba huo ni mradi wa watu. Yes, kuna mahali wanapata fedha kupiga hizi kelele zionekane ni madai ya walio wengi. Nenda katazame mtindo wao wa kupost. Kuna siku wanaamka na caption...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Nauza hearing aid kifaa cha kuongeza usikivu, pia inasaidia kupunguza kelele

    nauza hearing aid kifaa cha kuongeza usikivu , pia inasaidia kupunguza kelele maikion bei laki 4 dar gongolamboto 0684340704 sikio la kushoto
  4. Rebeca 83

    JamiiForums Tanzania Tupigie wakubwa kelele kuhusu Kilimo mpaka wasikie

    Hello JF, Kuna threads nyingi sana humu za kilimo, jinsi kilivyo na potential ya kubadilisha Tanzania ila wakubwa hata hawajisumbui....sasa naomba tujadili njia za kuwashtua...😥😊😊😭 Seriously nimeona Tanzania ina depend on Agriculture by 76%, hii inamaanisha massively uchumi wetu ni Kilimo...
  5. Equation x

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kelele za wadada nyumba za wageni zinaaibisha

    Wikiendi iliyopita nilipata mualiko kutoka kwa mpenzi wangu wa zamani; nami nikafunga safari na kueleka mkoani. Baada ya kufika, nikatafuta 'lodge' iliyonipendeza, nikalipia chumba kwa ajili ya mapumziko. Kwa sababu nilikuwa bado sijala, nikaweka oda ya chakula, kitimoto rosti, ndizi, matunda...
  6. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Tabia ya wamiliki wa channel za youtube kuweka maneno ambayo mtu hajazugumza kwanini haipigiwi kelele

    - Uso kwa uso -Huwezi Amini -Atoboa siri Watupiana maneno Afichua mazito Yani unaweza kuta kichwa cha habari ni X ila ukianza kuangalia anachozungumza mtu ni Y. Pia picha zina editiwa ili kudanganya watu waminye hio video. YouTube ni ajira, kuna mfumo wa malipo na hili lipo wazi kabisa, kwa...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Mbona kelele zinazidi kuna shida gani!?

    Nimekaa na kutafakari sana bila majibu, hasa kuhusiana na namna malalamiko yanazidi kuongezeka mitandaoni. Ukiyasikiliza kwa makini hayo malalamiko lazima yakuchanganye. Wapo wanaoona Hali ni shwari na wanaona tunaelekea kuzuri. Wengine wanaona tumepotea na tunazidi kupotea hivyo tunahitaji...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Kelele za wizi wa mali za umma zimezidi sasa, ni wizi wizi wizi kila mahala

    Ndani ya kipindi kifupi tunasikia taarifa ya wizi wizi wizi wa mali za umma kila kona, kila mahala na mbaya zaidi na watu wakubwa kabisa. Juzi hapa tulisikia mkurugenzi huko Gairo wa halmashauri ameiba Nondo na Simenti na akazirudisha baada ya kuombwa na waziri Mkuu. Leo hii kelele za wizi wa...
  9. Yoda

    JamiiForums Tanzania Upungufu wa maji mijini ndio kelele zote hizi? Huu ndio ubinafsi wa hali ya juu

    Wiki mbili mfululizo sasa kumekuwepo na kelele nyingi kila kona ya nchi kuhusu upungufu na mgao ya maji katika miji na majiji. Katika maeneo ya vijijini sehemu nyingi za nchi maji limekuwa tatizo kubwa toka nchi hii inapata uhuru lakini hatujawahi kusikia kelele na mayowe kama wiki hizi mbili...
  10. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Nilichogundua kwenye kelele zinazoendelea hapa nchini

    NILICHOGUNDUA KWENYE KELELE ZINAZOENDELEA HAPA NCHINI Na, Robert Heriel. Taikon wa Fasihi Mayowe kila upande, Kusini hakuna umeme! Mashariki hakuna maji, Kaskazini Tozo Magharibi vifurushi Chini Mafuta Juu mlipuko wa bei! Kelele siku zote zinamzunguko na mhimili wake. Hata hivyo kuna namna ya...
  11. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Tusipotoshane, ajira ina nafuu na uhakika zaidi kuliko kujiajiri

    Kwanza kabisa naomba tuyaelewe haya makundi matatu KUNDI LA KWANZA - ALIEJIAJIRI / SELF EMPLOYED Huyu biashara inamuhitaji ili iende, yeye ndie ngvu kazi kuu ya kuieiendesha biashara kwa bidii yake na hata akiajiri bado yeye inabidi ahusike kwa level ya juu sana ili biashara iende, Wengi wao...
  12. EL ELYON

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anapiga kelele sana mpaka naona aibu

    Wakuu mmebarikiwà Sana na Mungu wa Mbinguni hakuna laana. Aisee Mke wangu wakati wa kunyanduana anapiga Sana kelele mpaka ananiondolea stimu maana nilishafanya tathimini kujua kama sauti inasikika nje nimegundua majirani Wanasikia sana na mimi muda wangu wa kupeleka Moto ni usiku na mida hiyo...
  13. Meshe

    JamiiForums Tanzania Kelele zimezidi Wilaya ya Ubungo

    Naziomba mamlaka ziliangalie na kulitafutia ufumbuzi suala la uchafuzi wa mazingira kwa makelele. Uchafuzi huu wa ajabu kabisa unaolelewa ni kero kubwa kwa raia na unaathiti sana utulivu wa moyo na akili. Pengine mahospitalini tunatibiwa magonjwa sugu yanayotokana na adha ya makelele haya...
  14. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu hupigia kelele ushoga tu na kusahau makundi haya?

    Habari! Kuna makundi 2 kama si 3 yamesahaulika ingawa wanachokitenda hakina utofauti na ushoga. 1. Wanawake wenye tabia za kiume Hili kundi limekuwa kubwa sana na linakua kwa kasi. Vibinti vinavaa suruali, t-shirt, na nguo zingine za kiume. Hawa hata misibani hawakai kwa wanawake wenzao...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Urais ni responsibility, uwajibikaji uondoa kelele kwenye Urais: Ukaripiaji uongeza kelele

    Urais ni siku zote ni kubeba majukumu, Urais ni uwajibikaji, Urais nikutoa huduma kwa watu. Hakuna namna Urais utakosa kutupiwa lawama hata kama utafanya mazuri mengi kiasi gani. Tatizo la Tanzania tumeondoka kwenye principles za Urais tumekeza kupambana na ukosoaji bila kujua hata Rais...
  16. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe na Wenzake: Polisi Wazuia watu kuingia kufuatilia, Mawakili wa Utetezi watoka nje. Kesi yarejea na kuahirishwa mpaka 17 Sept

    Freeman Mbowe na wenzake wameletwa tayari. Lakini ulinzi mkali umeimarishwa. Askari wengi. Pia kuna zuio la watu kuingia ndani ya mahakama. Wanasema ni mawakili 20 tu, wanahabari 10 (leo wameruhusiwa), ndugu 5, Viongozi 5, lakini simu marufuku. Askari magereza wanalalamika kwamba jana tumefanya...
  17. Afisa Mteule Drj 2

    JamiiForums Tanzania Idriss, Juma Lokole na Dida mna kelele sana kwenye kipindi chenu

    Inaonekana watangazaji wengine wa radio wanaokotezwa tu hawana hata ethics za hizo kazi za utangazaji.Unakuta wapo watu wapo kwenye kipindi wanabishana kama wapo kwenye kilabu cha mataputapu hawawekeani hata utaratibu wa kuongea,watu wanabishana mpaka msikilizaji unaona kero unabadilisha...
  18. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kelele za Tundu Lissu akiwa Ubelgiji ni sawa na fimbo ya mbali isiyoweza kuua nyoka. Arudi bongoland kuweka mbinyo wa kisiasa

    Fimbo ya mbali haiwezi kuua nyoka hata kidogo. Lazima iwe karibu na kumfikia nyoka na kisha kumuua. Lissu yupo Brussel anakula bata kwa mrija, lakini ana malalamiko mengi juu ya mambo yanayotamaraki hapa Tanzania. Analalamika juu ya kutokuwa na katiba inayokidhi mahitaji ya watanzania. Hivyo...
  19. Riz king

    JamiiForums Tanzania Zile kelele za Chato kuwa mkoa zimekomea wapi?

    Kipindi Mh. Magufuli katutoka kulitokea malumbano ya siku kadhaa kuhusu kuifanya wilaya ya Chato kuwa mkoa. Alijitokeza kanjibhai mmoja ambaye ni nshomile wa kule uhayani Prof. Tibaijuka kuponda mkakati huo hadharani bila kuficha chochote. Sasa naona mchakato huo upo kimya mda sasa. Ndugu zangu...
  20. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna njia rahisi ya kuepuka kelele za nje kwenye recording?

    Nimesetup studio ya kurecord voice over nyumbani chumbani. Nina mic ya behringer b1, audio onterface ya behringer um2. Shida ninaishi karibu na barabara kuna kelele ya magari na boda boda. Na mic inanasa kila kitu. Hivi kuna njia ambayo mtu unaweza fanya kuondoa tatizo. Nimejaribu google na...
Back
Top Bottom