MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,482
- 20,428
Ukikaa nao watakwambia Algebra mara hivi mara vile lakini waarabu hawana mchango mkubwa sana hapa duniani, na wenzao wahindi wamo humohumo, hamna kitu. Wamegundua vitu vichache sana hapa duniani kwa hiyo ni sahihi kabisa kusema kwa hapa duniani mchango wao katika uvumbuzi ni negligible.
Katika ulimwengu wa macho madogo ( Wajapan, Wakorea, Wachina nk) Mjapani pekee ndio mtu pekee anayeweza kumsumbua Mwafrika mweusi kwa uvumbuzi lakini hao wengine wote waliobakia bila kukopi hawana chochote kile. Yaani Mchina asingekuwa na access na ulimwengu wa Magharibi kwa miaka 50 iliyopita, basi angekuwa sawa na Afghanistan kwa upande wa maendeleo na uvumbuzi.
Wazungu na Mwafrika ni watu wanaofuatana kwa akili ya uvumbuzi na mzungu hapendi kabisa kusikia hilo lakini ndio ukweli wenyewe.
Baadhi ya mchango wa mweusi mtu kwenye uvumbuzi.

- Blood bank
- Kaypee electrical car
- X ray spectrometer
- Self levelling table
- Folding bed
- Car coupler
- Letter box
- Seed planter
- Hand corn sheller
- Ironing board
- Resistor
- Lawn mower
- Gas mask
- Multiplex telegraph
- Shoe lasting machine
- Carbon filament bulb
- Caller ID
- Water gun
- Web annimation
- Pc Color monitor
- Peanut butter
- Traffic light
- Automatic elevator door
- Security camera
- Potato Chips