Binti amenipigia kelele kuwa nataka kumbaka baada ya kutokubali ushawishi wake wa kunitaka kimapenzi

mimiamadiwenani

JF-Expert Member
Mar 9, 2022
5,411
7,013
Salute bosses, leo siku naona imeniendea vibaya, nimepigiwa kelele na binti mmoja kuwa nambaka. Huyu binti alikuja eneo nililokuwa nimetulia zangu najinywea bia zangu.

Mara akaanza kuleta mazoea ya haraka, alipoona sina mda nae akaanza kunitolea maneno machafu. Ukizingatia mimi ni mwanaume mwenye heshima zangu, na nisiye na mazoea ya hovyo hovyo na hawa ke, basi nikaona nimedhalilika mno.

Nikamuomba kistaarabu tu kuwa aache kunitusi na atoke, hakujali. Huenda sijui alidhani jana ni siku ya wanawake so akajikuta delila anichukulie point 3.

Hua nina tabia ya kutovumilia uchoko wa aina yoyote, choko yeyote iwe ke au me huwa natoa equal distribution, kama ni kipigo basi wote natoa kipigo sawa, sijuagi sijui huyu mwanamke usimpige wala bra bra zingine.

Nikawa namvuta kwa upole mbali na meza yangu, hapo ndipo nilipouwasha moto, aisee alinizaba kofi moja shavuni. Ngoja nirudu nyuma kidogo, huyu ke aliwahi kutamba kwa rafiki zake kua hajawahi kumtaka me yoyote na akakataa.

Akajichanganya akawa amewaaminisha atanipata mimi kwa gharama yoyote, na kua mimi sio lolote its only a shit. Kifupi ana dharau mno, so nilimpotezea sikumkubali, hata k yake sikuihitaji. So akajenga chuki na mm.

Nilishindwa kuvumilia, nikamzaba kofi na kuita wahudumu, akaanza kupiga kelele kuwa nimembaka na sijamlipa hela yake. Sasa kwa kua wajinga wengi dunia hii, eti maboda boda bila hata kuuliza wakataka kunipiga. Aisee ktk vitu sipendi ni hizi mambo za awa jamaa kutojali na kujichukulia sheria mkononi.

Nilichofanya:
Kwa kua walikuwa wameanza kumuamini na kunipiga I didnt care. Walikua watatu ambao walikua na kimbele mbele. Nilipiga chupa wote vichwani, yule manzi mpuuzi nilipiga mtama wa kimo cha mbuzi, nikahakikisha hainuki, na kweli hakuinuka kwani alikua akiugulia maumivu.

Jamaa baada ya kuona hivyo wakaita wenzao(nadiriki kusema baadhi ya hawa boda boda ni mapunguani mno), nikatoka zangu nikaenda zangu home mdogo mdogo. Nikawaacha wanauguzana.

Sikutaka kufanya hivi, ila tabia mbovu za baadhi ya me kuingilia ugomvi bila kuuliza, mbaya zaidi wanakimbilia kukupiga wewe me, kisa tu mlalamikaji ni mwanamke ndo zilinipelekea kufanya haya. Nilichukia mno.!

Happy women's day kwa wanawake wote isipokuwa wenye sifa kama za huyo mpuuzi niliyemkata mtama wa kimo cha mbuzi. Katika suala la utu wangu sina HURUMA na yeyote.

Tuheshimiane!

Mimiamadiwenani
 
Ebu ngoja kwanza.....
Yaani saizi saa kumi na dakika tano ymtayari ushalewa..🙄🙄 na kwawanywaji wa mida hii mimi hua najua tu wana misongo/stress za kutosha na ndio sababu mnakua na hasira za haraka kwasababu hamna cha kupoteza.
 
Bodaboda baada ya kipigo kutoka Kwa Mr Mimi Amadi we nani

IMG_20220304_115756.jpg
 
Inawezekana Mzee Baba unaandika haya maneno ukiwa umevimba jicho na Meno ya mbele huna Kwa kisago ulichopewa.Ila hapa unaandika jinsi ulivyogawa kipigo na kutoa dozi ya mitama ya mbuzi km jet li kwenye muvi

Alafu Leo tarehe Tisa mkuu, women's Day ilikuwa Jana
Najua hilo mkuu. Ila sijakosea kuwa wish ke leo hii. Naanzaje kuvimba sasa? Mm sina huruma na ke hususani linapokuja suala la utu wangu. I become weird n mad
 
Back
Top Bottom