kelele

  1. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia songa mbele, wengine watakushukuru na kuacha kelele za lawama tukifika Kanaani

    Mh. Rais, najua unatambua kuwa safari ya kuyafikia maendeleo siyo nyepesi, siyo tambalale wala mteremko. Mh Rais sisi watanzania huwa tunalalamika sana linapoanza jambo fulani na kuinua sauti za kelele kila mahali ili mradi tu kila mtu kaongea. Mh. Rais wetu, umekuwa muwazi sana katika serikali...
  2. The golden

    JamiiForums Tanzania Usafiri wa basi na kero ya kelele za muziki

    Kutokana na hali mbaya ya uchumi, watu wengi tunatumia usafiri wa basi kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine. Mabasi ya siku hizi yanakuja na Tv set. Wamiliki wa mabasi haya wana tabia ya kufungua mziki kwa sauti kubwa sana wakidhani labda ni burudani kwa abiria wote waliomo ndani ya basi husika...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Baada ya Kelele , jana NACTVET/ Wizara ya Afya wametoa Ratiba ya mitihani ya vijana wa Afya

    Shame upon you! Mpaka watu walalamike ndio mzinduke. Hamstahili kuwa ofisini nyote mnaohusika na wajibu huu wa kutoa ratiba. Shame upon you!
  4. sky soldier

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulifanya nini mwanamke alipotishia kupiga kelele kuwa unambaka baada ya kukataa kufanya mapenzi?

    Nimewaza tu hapa, Dem ni kama tayari unaona mmeshapatana upande wa pwani kinchosubiriwa ni kwenda baharini kuvua, Ila cha ajabu anakuja mpaka chumba unacholala au mnaenda lodge ila anakataa kutoa mbususu ..... ile umeanza kama kulazimisha hivi analeta ubishi hataki na anatishia kupiga kelele...
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Tunamuomba Serikali yetu isiyumbishwe na kelele za watumishi

    Tunamuomba Mhe. Rais asiyumbishwe na kelele za baadhi ya wanao jiita watumishi wa umma juu ya nyongeza ya mshahara wanayo sema ni ndogo. 1. Uchunguzi unabaini kuwa baadhi ya watumishi wanatumiwa na baadhi ya wanasiasa kudhihaki na kukejeli nyongeza iliyo tolewa. 2. Wanasiasa wenye uchu...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi msitupigie kelele. Nyongeza ya 20k mnaibeza? Namshauri Rais aihamishie kwenye ruzuku ya mbolea

    Imenikera! Tena imenikera kweli kweli! (In dikteta's voice). Wakulima tunaishi nchi hii kana kwamba hatuna serikali. Hakuna anayetujali kwa chochote Wala kwa lolote. Hatukopesheki, hatuna bima ya afya na idadi yetu haijulikwni. Na waliofikisha umri wa miaka 60 (umri wa kustaafu) bado wanalima...
  7. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Pape Sakho ashinda goli bora la mwaka CAF 2022

    Mshambuliaji wa Simba, Pape Ousmane Sakho amefanikiwa kushinda Tuzo ya Goli Bora la Mwaka katika Tuzo za Shirikisho la Soka la Afrika (CAF), Julai 21, 2022. Tuzo hizo zimetolewa Rabat Nchini Morocco ambapo Sakho alikuwa akiwania nafasi hiyo dhidi ya Gabadinho Mhango wa Orlando Pirates na...
  8. chiembe

    JamiiForums Tanzania Sasa ni rasmi, TAMISEMI imemshinda Bashungwa, imebidi Waziri Mkuu aingilie kati, ndio wizara yenye kelele za uozo

    Bashungwa, Waziri kijana, ambaye ilitarajiwa "damu iwe inachemka" awe anapanda na kushuka,anakaba huku na kule, ameonekana Mzee kuliko Waziri Mkuu. Waziri Mkuu anaenda Arusha, anaenda Singida, anajua mambo ambayo alitakiwa Bashungwa awe ameshayajua na kuchukua hatua....hamna kitu. Alikuwa na...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ikulu Dar: Kamati ya Uongozi ya ACT Wazalendo imefanya mazungumzo na Rais Samia

    Zitto kupitia ukurasa wake wa Twitter ameandika Kamati ya Uongozi Taifa ya ACT Wazalendo imekutana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika hatua zake za kukutana na viongozi wa Vyama mbalimbali vya siasa. Mazungumzo yetu yalihusu mabadiliko mbalimbali yanayokusudiwa nchini kwetu
  10. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Fataki zisizo na idadi zapigwa kwenye sherehe za ubingwa huku Simba wakinywea baada ya kula kipondo Mbeya

    Wakati sherehe zikiendelea, fataki zisizo na idadi mithiri ya machine gun zimerushwa juu ya jengo la GSM
  11. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    JamiiForums Tanzania Kelele za mchakato wa Katiba mpya kuanza na spidi ya ufisadi ikitamalaki kabla ya upatikanaji wake!

    Watanzania! Poleni KWA tozo,ugumu wa maisha na kizungumkuti cha kodi ya kichwa ijayo! Mungu atupe uvumilivu katika mateso tunayopewa na Watoto tuliowazaa sisi wenyewe! Wakati kelele za mchakato wa Katiba mpya zikipigwa hadi kikosi kazi feki kikaitishwa Ili ku spin mchakato usianze mapema na...
  12. Surya

    JamiiForums Tanzania Majirani wanapiga kelele usiku usiku

    Yani nimesumbuliwa na kelele hadi usingizi umekata, kila nikivuta usingizi nashituliwa na kelele za watu, mara wasichana wengine walikuwa wanasukana kolidoni, aisee nyumba za kupanga ni kero. Nilichofanya sijasemesha mtu, now wanapambana na Dundo la Nguvu la mziki, yaani lile la kutetemesha...
  13. kyagata

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi serikalini

    Mama kaweka mzigo tena.
  14. Linguistic

    JamiiForums Tanzania NEMC kuchukua hatua kali dhidi ya nyumba za ibada na sehemu za starehe zinazopiga kelele kwenye makazi ya watu

    Ila KUNA MAKANISA YAPO KARIBU NA MAKAZI YA WATU. Yaani unakuta kanisa lipo kati kati ya nyumba za watu, Sasa bana ikifika ijumaa hadi jumapili inabidi muhame kwanza maana siyo kwa mziki huo, na hii sio mara ya kwanza kwa wao kutoa tamko kama hili Pia soma: NEMC kufanya msako wa wanaopiga...
  15. Mathanzua

    JamiiForums Tanzania Watanzania tulio wengi tunampenda Hayati Rais Magufuli, hamtafanikiwa kubadilisha ukweli huo kamwe!

    Niliposikia kwa mara ya kwanza kwamba hii Sinema ya Royal Tour (ambayo Rais wetu Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan ni Main Actor and Tour Guide) ina assert kwamba kifo cha Hayati John Pombe Magufuli kimesababishwa na Covid, nilistuka na sikuamini masikio yangu!Kwa maoni yangu hii inam-compromise...
  16. Bsyotyo

    JamiiForums Tanzania Mungu siku zote yupo kimya na haongei, nyie mnampigia kelele

    Habarini Ndugu. Najua hii Itakuwa Mpya Kwenu na Siku zote itawafungua Macho wengi nyie Mliowekwa kwenye Giza Kubwa na Kuishia Kuabudu Viumbe vyenye Tamaa ya Kujiita Mungu Hizi ni Sifa za Mungu mwenye Vyote. Aliyeumba Kila Kitu Na Kila Kiumbe Vinavyoonekana Kwa Macho na Visivyoonekana. Tuanze...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Bunge lipitie kanuni ili kuunga hoja mkono iwe kwa Kusimama na wale wasiokubaliana na mchango au majibu wawe wanakaa

    Imekuwa ni desturi kwa Bunge letu Tukufu kupongeza,kushangili,kuzomea ,kupiga magoti,kupiga sarakasi nk. Utukufu wa hili jumba unauhalisia kwa Mungu na wananchi? Mbunge akichangia iwe kwakumdhihaki Waziri, Makofi hupigwa. Waziri akimjibu muuliza swali anajibu kwa dhihaka akikebehi nchi...
  18. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia akemea Wabunge wanaotangatanga na kupiga kelele wakati Bunge likiendelea

    Spika wa Bunge, Tulia Ackson ametoa onyo kwa Wabunge ambao hawafuati utaratibu wanapokuwa Bungeni ikiwemo kupiga kelele na kuzungukazunguka ndani ya Bunge pasipo kufuatilia kinachoendelea. “Tufuate kanuni zetu na utaratibu humu ndani ikiwa pamoja na kanuni ya 73 inayozungumzia staha ndani ya...
  19. Jembe Jembe

    JamiiForums Tanzania Lengai Ole Sabaya ashinda rufaa na kuachiwa huru na Mahakama Kuu ya Arusha

    Wakili wa upande wa utetezi Moses Mahuna akieleza kuhusu Sabaya na wenzake kushinda rufaa yao na kuachiliwa huru katika Mahakama Kuu Kanda ya Arusha. Sabaya na wenzake watatu wamebakiza ngwe moja ya hukumu ya kesi ya uhujumu uchumi baada ya Mahakama Kuu ya kumwachia huru muda huu. Warufani...
  20. comte

    JamiiForums Tanzania Kelele za mafuta zingeelekezwa kwenye kilimo ningeelewa vingenevyo wote tuna tatizo la uono mfupi (myopic)

    Wakulima msimu huu wameteseka sana na mvua isiyo na uhakika, watapata hasara kubwa sana. Si Bunge, wanaharakati wala wasomi waliojitokeza kulisemea hili. Wote wanajua kabisa chakula chetu kinatokana na kilimo. Leo mafuta yanatupigiza kelele kana kwamba yakikosekana tunakufa. TUNAKWAMA WAPI...
Back
Top Bottom