kelele

  1. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna njia rahisi ya kuepuka kelele za nje kwenye recording?

    Nimesetup studio ya kurecord voice over nyumbani chumbani. Nina mic ya behringer b1, audio onterface ya behringer um2. Shida ninaishi karibu na barabara kuna kelele ya magari na boda boda. Na mic inanasa kila kitu. Hivi kuna njia ambayo mtu unaweza fanya kuondoa tatizo. Nimejaribu google na...
  2. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Tuhuma za ugaidi dhidi ya Mbowe zimeonesha picha kamili CHADEMA sio chama makini, kimejaa wapiga kelele

    Kama kweli chama makini lazima kiwe na watu makini basi Chadema ni chama mfu. Hakina watu makini kimejaza wapiga kelele wasiojitambua. Mwenyekiti wao amepata tuhuma, tena tuhuma nzito. Wao kama wanajumuia wa Chadema tulitalajia watupe mrejesho kuwa Mbowe kama chairman na mfanyabiashara mahiri...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Kelele za wanafunzi darasani huwa na viashiria

    Mwalimu Mkuu huwezi kuunda tume ya kuchunguza KELELE za wanafunzi wakati umezisikia kuwa; 1.Monitor haandiki majina ya wapiga kelele 2.Mwl wa darasa hawasikilizi wanafunzi 3.Mwl wa nidhamu hawajibiki ipasavyo. Kutokufundishwa na Mwl wanafunzi wataanza kuongea wao kwa wao mwisho huzaa kelele.
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kuyaona mawazo yetu kama 'Kelele' ni kutudharau Watanzania

    "Tulipoamua kupandisha Tozo za Miamala tulikuwa tuna lengo zuri tu ila tulipoanza kusikia Kelele za Wananchi basi Serikali tukaona kwakuwa tunawajali Wananchi wetu tuingilie kati na sasa nimeunda Kamati ili kuliangalia hili na itakuja na majibu muda si mrefu" Rais Samia. Hasira yangu na Uchungu...
  5. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Jirani yangu anatusumbua kwa kelele mpaka nashindwa kulala au kupumzika

    Habari wadau..! Jirani yangu ananisumbua sana kwa kelele nashindwa hata kupata usingizi . Nimeanza kupata msongo wa mawazo kwa kelele zake ,nahisi kuchanganyikiwa. Kiukweli amekuwa kero sana,kuna mda nawaza kununua dumu la petrol kama Grace maana amezidi kunikera yaani ningkuwa na chuma kama...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nimegundua haya Mawili tu yangefanyika katika Vichwa vya Watanzania wote wala hizi 'Kelele' za 'Chura' tusingezisikia kabisa

    1. Nguvu yao kubwa Watanzania kupenda ( kushadadia ) sana Umbea na Mambo ya Kingumbaru ( Kijinga ) na Kipopoma ( Kipumbavu ) wangeiwekeza zaidi katika Kupenda kulipa Kodi Vizazi kwa Vizazi wala lawama hizi zisingekuwepo. 2. Ule muda mrefu ambao Watanzania waliutumia Kumjadili sana Diamond na...
  7. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania NEMC kufanya msako wa wanaopiga kelele nyakati za usiku kwa kiwango kilichozidi Desibeli 40

    BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) linaanza msako wa kukamata na kuwafikisha mahakamani wanaopiga kelele za kiwango cha juu usiku kinachozidi desibeli 40 . Msako huo unafanywa nchi nzima katika maeneo tofauti ikiwamo nyumba za ibada,kumbi za starehe, klabu, baa, mitaani...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amkabidhi nyumba Rais Mstaafu Kikwete

    Shughuli hiyo muhimu ya kukabidhi nyumba ya kuishi maalumu kwa Mzee Kikwete imefanyika leo na Kuongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani
  9. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro unafahamu kuwa vijana wako wanachukua posho kuachia Bar za usiku kupiga kelele?

    Nimeileta hii kwa makusudi baada ya kutazama hiyo video hapo chini ya kina Mama wakijitetea kwa maafisa wa polisi juu ya kuondolewa kwao kwenye ukumbi wa starehe kwenye hafla yao. Waliagizwa kuwa wazime muziki kwa sababu tunazozifahamu, lakini hoja kuu hapa ni kuhusu hawahawa maaskari kwa sisi...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Katiba Mpya: Hoja ya Rais Samia haina mashiko

    Rais Samia anasema eti suala la kipaumbele kwake ni uchumi kwanza halafu mambo ya katiba mpya ni ya baadae huko mbeleni. Ningependa kumkumbusha Rais Samia kuwa, hoja ya Katiba Mpya ni hoja nyeti, ni suala muhimu sana na haliwezi kuwa option ya pili katika mambo yanayopaswa kufanyika nchini kwa...
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Jafo awaonya wanaosababisha kero za kelele na mitetemo

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Selemani Jafo amewaagiza wamiliki wa kumbi za starehe na burudani kuhakikisha sauti zitokanazo na shughuli zao hazizidi viwango vinavyokubalika kwa mujibu wa sheria. Waziri Jafo amesema hayo hii leo Jijini Dodoma wakati wa...
  12. Idugunde

    JamiiForums Tanzania CHADEMA acheni kelele zisizo na kichwa wala miguu. Mikutano ya siasa huzuia maendelzo, kuweni wapole

    Acheni kujichetua akili na kujifanya hamjui kitu. Mmesahau operation Sangara ilivyokuwa inasababisha watu wasifanye shughuli za maendeleo? Mmesahau yule kijana mmachinga wa Morogoro alivyouwawa sababu ya mikutano yenu? Kubalini ukweli tu mikutano ya siasa inasbabisha kuingilia rabiba za watu...
  13. funaku

    JamiiForums Tanzania Katika siku 100 za Rais Samia wapinzani mmetendewa haki sasa tusisikie kelele

    Katika siku 100 za Rais Samia yapo mengi yaliyokuwa yanalalamikiwa na wapinzani wa CCM yametekelezwa.tunapoelekea katika kukamilisha ilani ya CCM kamwe na sio busara kusikia kelele za kihuni kutoka upinzani badala yake tujikite kwenye mada za maendeleo ya nchi kupitia utekelezaji wa ilani ya CCM.
  14. Opportunity Cost

    JamiiForums Tanzania Mliokuwa mnapiga kelele Azam Kupata kandarasi ya Miaka 10, Vodacom wamejitoa, fadhilini Ligi japo mwaka Mmoja

    Wale mliokuwa mnapopoma kwa domo kaya kuhusu mkataba wa Azam na TFF kwamba ni muda mrefu na pesa kiduchu tunaomba sasa mtumie fursa ya kufadhili Ligi kuu Bara japo kwa mwaka mmja ili tuone matunda ya midomo yenu. Hii nchi ina majitu yana midomo sana lakini vitendo ni zero, fanyeni ku justify...
  15. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wanadhani Rais Samia yupo Ikulu kalala, kwa sababu walizoea 'show-off' na kelele

    MAMA SAMIA ANAFANYA KAZI, MSIDHANI KALALA IKULU. Na, Robert Heriel Kuna watu wananifurahisha sana, yaani ukiwasikiliza ni kama wachekeshaji fulani hivi ambao hawajatambua vipaji vyao. Wapo wanaosema Mama Samia hafanyi kazi, wapo wanaosema nchi inaongozwa na JK, wapo wanaosema Rais ni Mpole...
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Watambue Wasanii wa Bongo Fleva waliopiga kelele hadharani kupinga Roma Mkatoliki Kutekwa

    Profesa J na Ney wa Mitego walijitokeza hadharani kuonyesha masikitiko yao na kupinga Roma Mkatoliki Kutekwa Yeye na watu wengine pale Studio, na walipaza sauti zao ili arejeshwe akiwa hai. Jambo hili lilimfanya aliyekuwa RC wa Dar es Salaam Paulo Makonda kutangaza kwamba Roma atarudishwa kabla...
  17. Strictly Syrup

    JamiiForums Tanzania Tatizo la sikio la kushoto: Kusikia Kelele Kama Upepo Unapita

    Natumaini Jumapili ya Leo ni njema kwenu nyote ndugu, ni jambo la kushukuru. Niende moja kwa moja kwenye mada. Mimi ni mpenzi wa muziki sana, napenda kusikiliza na kutengeneza muziki. Sometimes natumia hata robo tatu ya siku kusikiliza muziki na kutengeneza. Lakini kuna tatizo limenikumba kama...
  18. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Jinsi Rais Samia alivyowapiga chenga ya mwili wapiga kelele wa mitandaoni kwenye teuzi

    JINSI MAMA ALIVYOWAPIGA CHENGA YA MWILI WAPIGA KELELE WA MITANDAONI.... Baada ya Mama kutangaza kuwa angeteua hata wa upinzani kuitumikia serikali...vijana wa Chadema na ACT humu mitandaoni wakaanza kuota Ndoto za mchana..!! Waliamini kuwa hao watakaoteuliwa toka upinzani basi watatoka vyama...
  19. May Day

    JamiiForums Tanzania Kelele za fanya hiki acha kile, hapo umekosea hapo umepatia zimekuwa nyingi mitandaoni, au kwa sababu ni Mama?

    Siku hizi kila ukiingia mtandaoni utakutana na uzi wa kupinga, kupongeza, kuelekeza au kufananisha na Mtangulizi wake. Hivi haya yote ni kwa kuwa hatujawa na historia ya kuongozwa na Mama au tu ni tabia asilia ya Viumbe kulialia mbele ya Mama zao maana hata kwenye familia Watoto wanahisi uhuru...
  20. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, ukitaka kufikisha ujumbe kwa wapenzi ambao usiku wakifanya ngono na wanapiga sana kelele utafanyaje?

    Nina Jirani yangu tumepanga wote hapa Uswahilini Tandale kwa Tumbo ( barabara Kuu ya Mafuriko ) na tupo Jirani kwa Vyumba vyetu kufuatana. Yeye na Mkewe ( Shemeji ) tunaishi vizuri na Kushirikiana vyema tu Kimaisha japo wote ni Choka Mbaya tu Kimaisha ila tunaendelea Kupambana. Hata hivyo nina...
Back
Top Bottom