kazini

  1. Scars

    JamiiForums Tanzania Kikosi Kazi Kazini (KK), Weusi jipangeni

    Vijana 8 kutoka kundi la Tamaduni Music ambao wameji-organize na kuunda kikundi walichokipa jina la Kikosi Kazi Kazini (KK) Naweza nikasema kwa ngoma mbili hizi walizotoa Kikosi Kazi zinatosha kabisa kuficha nyimbo zote walizowahi kuimba Weusi. Hivi kama nyimbo ya SALA utaifananisha na nyimbo...
  2. UKARIMU

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya udereva (light vehicle) au ya afya na usalama kazini (occupational, safety and health)

    D
  3. T

    JamiiForums Tanzania Wanataka kuufuta Mfuko wa wafanyakazi wa WFC, hivi Serikali haioni hata aibu?

    Wewe ni Waziri mzuri ndiyo. Unajitahidi kufanya kazi zako vizuri - hulali usiku na mchana ndiyo maana ukafanikiwa hadi kuifukuza corona. nchini mwetu. Uko vizuri sana. Mwanzoni mwa juma lililopita Tarehe 21 Julai 2020 baba mdogo wangu anayefanya kazi mgodini akawa ananipiga stori kuwa Serikali...
  4. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Ndugu yetu alitaka kuwa tajiri kama Laizer kwa madini amefariki kazini

    Afariki kwa kupondwa jiwe kichwani akichimba madini. Mkazi wa Kijiji cha Masungura wilayani Meatu, Simiyu Michael Salum (30), amefariki dunia kwa kupondwa na jiwe kichwani wakati akichimba dhahabu ndani ya duara katika machimbo ya Mwakitolyo, wilayani Shinyanga. Ofisa Madini Mkoa wa Shinyanga...
  5. jitombashisho

    JamiiForums Tanzania MEMBE: Mimi ni kachero ndiyo na kachero muda wote yupo kazini

    Ni maneno ya Membe alipo mjibu swali ndugu Generali Ulimwengu. Hoja hapa ni kwa usalama upi wa hakika kama kachero huyo kama alivyo jinasibu mwenyewe kwamba yu kazini bado hadi kiama kwa yeye kuwa upinzani au ni zuga na yupo kazini hata huko? Je, ni kweli mtumishi huyo mtiifu wa idara yetu...
  6. Influenza

    JamiiForums Tanzania Waziri Jafo amuondoa kwenye nafasi yake Meneja wa TARURA jijini Arusha kwa kushindwa kuita Wananchi kushuhudia ufunguzi wa barabara

    Waziri wa TAMISEMI, Selemani Jafo amemuondoa kwenye nafasi yake Meneja wa TARURA Jijini Arusha, Podia Mwankenja kwa kushindwa kukusanya Wananchi kushuhudia barabara zilizokamilika alizokuwa akizitembelea. Waziri Jafo amesema, “Mnataka Serikali ionekane haijafanya kitu wakati Wananchi ndio...
  7. 2019

    JamiiForums Tanzania Jana nimeona faida ya ukali kazini, hongereni Watumishi wakali kazini

    Kwanza kabisa pongezi kwa mkuu wa nchi kwa kuwa mkali. Kabla ya Rais Magufuli discipline kazini ili 20% kwa sasa imepanda sana tunaweza kukadiria 80%. Ule ujinga wa "unanijua mimi ni nani"? Haupo tena. Mada husika Jana katika Ofisi za Manispaa ya Temeke niliona umuhimu wa Rais Magufuli na...
  8. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Watanzania hutembea miendo mirefu kwenda kazini kwa miguu Marekani mtu katembeaa kilomita chache tu kwenda kazini kapewa gari na kuitwa mfano wa kuiga

    Watanzania hutembea miendo mirefu kwenda kazini kwa miguu Marekani mtu katembeaa kilomita chache tu kwenda kazini kapewa gari na kuitwa mfano wa kuigwa na Kila mmarekani!! Toa maoni
  9. dosama

    JamiiForums Tanzania Naiona hatari huko mbele uteuzi wa wanajeshi walio kazini kushika nyadhifa za kisiasa

    Japo sina muda wa kutoa orodha ya teuzi kama hizi na athari zake kwa historia ya dunia. 1. Katiba inakataza majeshi yetu kujihusisha na siasa kwa maana nyingine majeshi wao huwa pale kulinda katiba na sheria hawatakiwi kuwa na chama, na kwa ufupi wanatakiwa kutii kwanza katiba then wanakuja...
  10. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania Hii nchi haina usawa: Mbunge miaka mitano, mafao zaidi ya Tshs. 200M, mwalimu miaka 32 kazini, mafao Tshs. 70M, miezi sita hajalipwa

    Hii nchi haina usawa. Hii nchi haijapata kiongozi wa kuleta usawa ingalau kwa nusu tu miongoni mwa wananchi.... Tumesikia wimbo huu wa kinafiki kuwa, Rais John Pombe Magufuli ni Rais na kiongozi wa wanyonge, wananchi wa hali ya chini wa nchi hii.... Si kweli, ni uongo mtupu na ni propaganda za...
  11. Equation x

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wako huwa anakupokeaje?

    Unapotoka kwenye mihangaiko yako, labda kazini au katika kusaka shughuli mbalimbali za kujipatia kipato, na kurejea nyumbani labda jioni au usiku. Je, mpenzi wako huwa anakupokeaje, na huduma ipi huwa anakupatia kwanza?
  12. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Nakutana na vituko kazini ila kwa hiki cha jana ngoja niseme tu

    Huwa sipendi sana kuzungumzia kazi zangu flani flani. Ila kwa jambo la jana ngoja niseme upande mmoja wa kazi yangu. Pamoja na issues zangu nying mimi ni daktari Hosp moja kubwa hapa DSM huwa nina siku maalum kwa kazi maalum. Jana aliletwa dada mmoja mzuri kama mwarabu hivi ila ana uzungu uzungu...
  13. WENYELE

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Miaka 6 kazini, mishahara haikutani

    Wakuu nina miaka 6 kazini, lakini naona hata nikiacha kazi leo sina future wala hela ya kula mwezi mmoja. Nilianza na mshahara wa laki 6 leo nina mshahara wa 2.9M lakini hadi leo sina project wala uwekezaji wowote. Nimeishia kujenga nyumba mbili tu moja kijijini nyingine mjini na zote...
  14. the kind

    JamiiForums Tanzania Hivi nini hatma ya mtumishi wa Serikali ambaye amekopa benki Tsh. mil. 15 na akaamua kutoweka kazini?

    Amani ya Mwenyezi Mungu iwe nanyi Kuna mtumishi mwenzetu ambaye amekopa benki kiasi cha Tsh. milioni 15 na baada ya wiki akatoweka hakuonekana tena kazini ni mwezi wa pili sasa tangia atoweke na wala hapatikani kwa mawasiliano yoyote yale Je, nini hatma ya pesa aliyokopa benki, namaanisha...
  15. E

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Walimu watakiwa kuripoti na kusaini kazini kila siku wakati huu wa Corona

    Wakati huu ambapo vyuo na shule zimefungwa kwa muda kama sehemu ya tahadhari dhidi ya CORONA kuna Halmashauri zimetoa agizo walimu wote wawe wanaenda kusaini kazini kila siku asubuhi na kurudi nyumbani ambaye hatafanya hivyo atakuwa mtoro kazini ..! Clients wa mwalimu ni wanafunzi na sababu ya...
  16. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Maelfu warejea kazini Uhispania

    Maelfu ya watu nchini Uhispania leo hii wameruhusiwa kurejea kazini, ikiwa ni mara ya kwanza tangu kuibuka kwa mripuko wa virusi vya corona, ambapo serikali iliweka marifu ya kufanyika shughuli za kawaida. Jumatatu ya Pasaka kwa taifa hilo haikuwa siku ya kitaifa ya mapunziko kwa raia badala...
  17. Kichupa Steven

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi wa Sheria ya kazi na mahusiano Kazini

    Habari Kiongozi, Ilikuwa mapema mwaka 2014 ndg yangu aliajiliwa kama Mwalimu katika Halmashauri moja hapa nchini hata hivyo alifanya kazi kw muda wa miezi nane Pekee na kuamua kumwandikia Mkurugenzi wake wa Wakati huo Barua ya kusudi la Kuacha kazi lakini hakujibiwa Badala yake Mwaka 2015 June...
  18. cantona55

    JamiiForums Tanzania Tabia unazotakiwa kuwa nazo ili kuwa kiongozi bora kazini

    Tafiti zinaonyesha kuwa mafanikio ya taasisi yanategemea kwa kiasi kikubwa, tabia za mtu mwenye dhamana ya kufanya maamuzi yanayohusu wafanyakazi wa taasisi husika. Kiongozi akikosa sifa, ni vigumu walio chini yake kufanya wajibu wao. Migogoro, kutokuelewa, hujuma, utegeaji, kukosa hamasa ni...
  19. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Askari wa kiume wa Jeshi la Magereza Tanzania wakiwa kazini

  20. DullyJr

    JamiiForums Tanzania Tangazo na orodha ya majina waliochaguliwa kada ya Afya

    Tangazo na orodha ya majina waliochaguliwa kada ya Afya
Back
Top Bottom