Atukuzwe Mungu wetu Aliye Mkuu na Mtakatifu Sana.
Usiku wa jana nilikua ndani ya viunga vya Kariakoo, sehemu muhimu kibiashara ndani ya jiji la Dar es salaam na Tanzania kwa ujumla.. Nitaleta Mrejesho wa kile kilicho nipeleka pale
Kwa Sasa nataka kufahamishwa/kujuzwa Jambo hili ambalo...
Nimekuwa nafuatili Sana kesi zilizofunguliwa Kisutu, Mahakama Kuu na Mahakama ya Mafisadi. Mara nyingi Mawakili wa serikali uongozwa na wakili ambaye utambulika Kama "Senior state attorney", kwa kiswahili kisicho rasmi Ni wakili Mwandamizi wa serikali.
Kwangu Mimi maana ya " senior" ni mtu...
Serikali ya Zimbabwe imewazuia Watumishi wa Umma ambao hawajapata Chanjo dhidi ya COVID19 kwenda kazini, ikisema walipewa muda wa kutosha kupata chanjo hizo
Mamlaka Nchini humo zinasema takriban 90% ya watu wanaolazwa Hospitali kwasababu ya Virusi vya Corona hawajapata chanjo. Wastani wa visa...
Sasa hivi watu wanavaa uniform za kazini mitaani kuturingishia kuwa wana kazi, zamani walikuwa wanavalia kazini
Maisha yamebadilika zamani mtu alikuwa anaona aibu kuondoka nyumbani akiwa kavaa uniform ya kazini na kurudi nayo kavaa .Walikuwa wakienda kubadlishia kazini na akitoka anaingia...
Naibu Waziri wa Utumishi na Utawala Bora, Deogratius Ndejembi amesema Watumishi 4,380 walioondolewa kwenye orodha ya malipo ya mishahara kimakosa wakati wa uhakiki wa Vyeti vya Elimu na Watumishi hewa wamerejeshwa kazini.
Ameeleza hayo akimjibu Mbunge wa Mikumi, Dennis Lazaro Londo aliyeuliza...
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Chongolo, pamoja na sekretariati ya CCM Taifa Pamoja na viongozi wa serekali na Chama Mkoa wa Morogoro leo tarehe 10/08//2021.
Wanatembelea mradi wa treni ya mwendo kasi(SGR) kipande cha stesheni ya Morogoro Kilosa - Dar es Salaam
#KaziInaendelea
#ChamaImaraSerikaliImara
Wakuu kwema? Nauliza kama ni sahihi kufanya kazi ukiwa na muonekano wa Rasta (dread).
Je, kwa mazingira ya ofisi zetu hapa bongo (mfano mashirika ya umma, mashirika binafsi) wanaruhusu mwajiriwa kufanya kazi hasa mwanaume huku akiwa na dread?
Naomba kujua wakuu.
Jana ilikuwa siku yangu ngumu sana kazini baada mtaalam wangu juzi nilienda kumuona kunipa hirizi niende nayo ofisini niweke juu chini kapeti la miguu mlangoni then jioni niondoke nayo ili kuweka mambo yangu sawa ofisini.
Haikuwa kazi nyepesi siku nzima siku na raha nikiwaza pale kapeti...
Sina Mengi Mungu akubariki Sana mama ambaye umeona na kuthamini mchango wa wafanyakazi nchini.
Wewe uliyeona kuwa wafanyakazi nao ni watu wenye mahitaji, familia na changamoto kama Binadamu wengine.
Tofauti kabisa na mtangulizi ambaye aliamini wafanyakazi ni maroboti na wanatakiwa kufanya Kazi...
Wadau wa JF
Ninafuraha na amani kubwa nimuonapo
Malendo Nambari Moja akichapa kazi
Matokeo ya haraka
Matumizi sahihi ya Rasilimali zetu
KaziIendelee
Hongera sana Kiongozi wetu Mkuu
Good afternoon jamiiforums
Hivi unafahamu ya kwamba watoto wadogo hao unaowaona kama bado hawaijui dunia vema wanaweza kuwa wanajua mambo mengi sana yanayoendelea mitaani kuliko watu wazima?
Wakati wewe upo kazini, watoto hawa wanazurura mitaani hivyo wanakutana na mambo mengi sana. Ukiwa...
Naomba nisiitaje ofisi husika ili kuondoa tafarani.
Kutoka makao makuu yetu tumepokea fomu maalumu ambazo tumezijaza vizur. Hizi fomu tumeambiwa ndizo zitatumika katika kutupandisha madaraja.
Cha kusikitisha yametumwa na majina kabisa ya wanaopaswa kuzijaza.
Mtu mumeajiriwa pamoja...
Licha ya umuhimu wa kuboresha maarifa kazini bado suala hili limekuwa na ukakasi mwingi kuliko mianya bora ya ufanisi. Licha ya wawakilishi wa mwajiri kuwatatavwatumishi wengi kujiendeleza kwa gharama zao wenyewe kimasomo bado sheria ya kutumikia muda wa daraja la mshahara ni changamoto kwa...
Habari za Jumapili.
Nikiwa nimetulia ndani jioni namuona mamsap akirudi toka kwenye mishe. Pia alipitia saluni. Katengeneza nywele zake vizuri anavutia kumtazama
Sasa ujinga ni kuwa kufika tu kachukua kilemba kafungia nywele humo kazibania vizuri hata isionekane hata moja! Hapo tayari kuanza...
Waziri wa Viwanda na Biashara Prof. Kitila Mkumbo, jana amekutana na kufanya mazungumzo na Madereva takribani 500 wa Kiwanda cha Dangote Mkoani Mtwara, waliokuwa wamegoma kwa siku 12, baada ya majadiliano Uongozi wa Kiwanda hicho umekubali kuwalipa stahiki zao ikiwemo mishahara na kuahidi...
Serikali imesema kuanzia Julai Mosi itaanza kutoa mafunzo kazini, ikiwamo mbinu za ufundishaji wa somo la hesabu.
Hatua hiyo ni baada ya Serikali kubaini kuwa kuna walimu hawamudu kufundisha baadhi ya mada katika somo hilo.
Pia ili kuboresha ufaulu wa somo hilo watachapa na kusambaza vitabu...
Vaa sweta na snika. Snika ni viatu aina vyenye muonekano kama raba. Unaweza kuvaa sweta ndefu na suruali kwa mwanamke, kama utavaa sketi au gauni ni vizuri ukavaa sweta fupi ili uwe na muonekano mzuri zaidi. Kwa mwanaume vaa suruali na sweta fupi kiasi, sweta inayofika hadi shingoni ina mvuto...
Mtangazaji wa kituo cha ITV cha jijini DAR ES SALAAM Bi Blandina Sembu amekutwa akiwa ameuawa maeneo ya ITV Mwenge usiku saa sita.
Mwili huo ulitambuliwa na Henry Mabumo aliyekuwa mtangazaji mwenzake kabla Mabumo hajahamia TBC.
Mwili ulichukuliwa na Polisi usiku huohuo.
Taarifa rasmi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.