kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. Ili kuepusha vurugu Jaffo tangaza kuwa watendaji waliokimbia ofisi na kujificha wamejifukuza kazi

    Kwa yanayotokea nchini kuhusu Watendaji kuzikimbia ofisi katika kipendi hiki cha uchaguzi huku wanalamba posho, na kwa ajili ya mustakabali wa amani yetu, NAOMBA WAZIRI JAFO UTOE TAMKO. Kwanini wanadharau kazi hivyo?
  2. Huduma za maji, serikali iunde kampuni zitakazofanya kazi kama muundo wa kampuni za simu

    Baada ya kusikiliza maoni ya Mheshimiwa Lema aliyoyatoa wiki iliyopita, nimelitafakari sana wazo lake kuhusu huduma ya maji, maji ni muhimu sana kwa maisha ya kila siku ya binadamu. Yakichukuliwa kibiashara biashara ya maji ina faida kubwa. Tanzania tumebahatika kuwa na vyanzo vingi vya maji...
  3. Kubadilishana vituo vya kazi

    Habari za wakati huu wakuu, Pamoja taarifa ya serikali kuwa uhamisho kwa watumishi wa serikali, Lakini Kuna here says kuwa uhamisho wa KUBADILISHANA VITUO VYA KAZI unaruhusiwa. Mimi Ni Mwalimu na nimepata mtu wa kubadilishana nae. Kwa wale waliopitia haya maswala tupeane uzoefu nianzie wapi na...
  4. Kazi za ATCL

    Hivi jamani wapendwa kuna mtu aloitwa interview zile post za Sales and reservation za ATCL., Maana naona kimya kingi mnooo au ndo nishabwagwa?
  5. J

    Mjapan: Kwa kasi hii ya maendeleo Rais Magufuli alistahili kuishi Japan maana anaamini katika kazi siyo siasa

    Injinia mmoja wa kijapan pale Mwenge - Morocco project amemmwagia sifa Rais Magufuli na kusema huyu Dr Magufuli anaamini katika kazi kama wajapan. Tanzania na Afrika kwa ujumla mna bahati ya kupata kiongozi anayeamini katika kazi na siyo porojo za kisiasa, amesema. Mjapani ameniuliza kama...
  6. J

    Mjapan: Kwa kasi hii ya maendeleo Rais Magufuli alistahili kuishi Japan maana anaamini katika kazi siyo siasa

    Injinia mmoja wa kijapan pale Mwenge - Morocco project amemmwagia sifa Rais Magufuli na kusema huyu Dr Magufuli anaamini katika kazi kama wajapan. Tanzania na Afrika kwa ujumla mna bahati ya kupata kiongozi anayeamini katika kazi na siyo porojo za kisiasa, amesema. Mjapani ameniuliza kama...
  7. K

    Sheria za kazi: Kufanya kazi kampuni ya nje ukiwa Tanzania

    Sijajua kama kuna sheria na utaratibu wa kufanya kazi kwenye kampuni ambayo haipo Tanzania lakini wamekuajiri na kukulipa. Kwa teknologia ya siku hizi unaweza kufanya kazi ukiwa popote duniani kwa kutumia software za siku hizi na internet. Sasa je unalipaje kodi? Ni kodi zipi hizo? Na ni...
  8. M

    Hivi nikweli wale watangazaji wa TBC walio tangaza Rais wa Marekani kamsifia mkuu wamesimamishwa kazi

    Hivi nikweli wale watangazaji wa TBC walio tangaza Rais wa Marekani kamsifia mkuu wamesimamishwa kazi
  9. Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

    UPDATE: Fuatilia LIVE coverage hapa: Ikulu: Rais Magufuli awaapisha viongozi walioteuliwa. Mathias Kabunduguru, Godfrey Mweli na Ali Sakila ========== Heshima kwenu wakuu, Heshima kwenu wakuu, Kuna habari zinasambaa kwamba Rais wa Tanzania John Magufuli anaumwa wengine wanasema amekatiza...
  10. Nafasi za kazi

    Nafasi za kazi zilizo toka: Vacancies (17) CONSERVATION ASSISTANT II - ACCOUNTS TANZANIA NATIONAL PARKS Experience: Fresher Can Apply No. of Position: 2 Qualification Required: Diploma in Accountancy Job Opening date: 18-Oct-2019 Job closing date: 30-Oct-2019 Responsibility: •...
  11. Baba "anatawa" nyumbani kazi kupigishana kelele na watoto

    Muogope baba asiesafiri asietoka kujichanganya na wenzake anajifungia tu ndani na kukaa jikoni na mama kuota Moto baba huyo lazima awe mkali na katili kwa watoto Baba unatakiwa usikae sana home familia inakukinahi inakuchoka haiwi na hamu na wewe Sasa wewe utadhani haikupendi kumbe ni...
  12. Natafuta kazi yoyote

    Mimi ni kijana wa kiume nina miaka 20, nimemaliza form six mwaka huu natafuta kazi yoyote nipo Tabora town. Mawasiliano piga au tuma text 0765 576 786.
  13. M

    Mimi ni mwalimu wa Biology na Chemistry ngazi ya Diploma ya elimu ya sekondari. Natafuta kazi

    Mimi ni mwalimu wa Biology na Chemistry ngazi ya Diploma ya elimu ya sekondari kutoka Chuo cha Ualimu Klerruu-Iringa. Pia nina ujuzi wa ICT in education. Ni mwalimu ujuzi na uzoefu wa kutosha. Natafuta kazi ya kufundisha masomo tajwa hapo juu na ICT. Kwa anayetamani nifanye nae kazi ili...
  14. J

    CAG: Kamati za Bunge zimeanza kuifanyia kazi ripoti yetu

    CAG Prof. Assad amezipongeza Halmashauri zilizofanya vizuri kwenye ukusanyaji wa mapato ya Serikali kama ilivyotangazwa na Waziri wa TAMISEMI Mh. Jafo. Prof. Assad amesema pia Kamati za kudumu za Bunge zimeanza kuifanyia kazi ripoti ya ukaguzi wa taasisi mbalimbali za serikali kama...
  15. Dkt. Bashiru Ally Katibu wangu kama hiki nilichokisikia kimetokea Kawe katika Uchaguzi wa CCM ni kweli, basi kazi ipo 2020

    Kuna watu wangu (wana medani) jirani na Kawe niliwatembelea siku ya Jumapili na wakati huo nilikuwa sijui nini kinaendelea hadi pale wenyeji wangu hao waliponiambia kuwa, ilikuwa ni siku ya kura za maoni kwa wagombea wa nafasi za wenyeviti wa Serikali za Mitaa. Nakumbuka nilikuwa eneo hilo la...
  16. R

    Kazi ya mtandaoni

    Habari wanaJF, Mimi ni mwalimu wa kike niko Kagera. Nina degree ya elimu kutoka UDOM mwaka 2014 ndio nilimaliza nikiwa na G.P.A ya 3.4. Nina uzoefu wa miaka 4 mpaka sasa nikiwa kazini. Mimi ni mtu ninayependa sana kujituma, kufanya kazi kwa bidii, ninauwezo mkubwa wa kutumia computer (MS word...
  17. Tuliozusha, kufurahia, kushadadia na hadi kutaka kuchukua kazi ya ‘Israeli' tusaidiane kujibu haya maswali

    1. Je, Sisi ( Mimi na Wewe ) ni wazima? 2. Je, Sisi ( Mimi na Wewe ) tungetokewa na hiyo hali tungejisikiaje? 3. Je, Sisi ( Mimi na Wewe ) tuna uhakika wa 100% na Afya zetu? 4. Je, Sisi ( Mimi na Wewe ) huyo fulani angetokewa na mabaya hali yetu ya Kimaisha ingebadilika? 5. Je, Sisi ( Mimi...
  18. B

    Nafasi ya kazi ya udereva (gari za familia)

    Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 24. Naomba kazi ya udereva kwa mtu binafsi au familia. Nina uwezo wa kumuendesha mtu binafsi au familia kwa muda wowote ambao muajiri atahitaji. Leseni ya udereva ni daraja D (class D). Elimu kidato cha sita (form six). Nina nidhamu ya hali ya juu kabisa...
  19. Zitto akiukosa ubunge 2020 atafanya kazi gani?

    Ni dhahili wana ujiji wamekasilika sana na ushabiki wa Mh. Zitto juu ya kumuombea mabaya Mh. Rais wetu. Kama ilivyokuwa ujiji Mh. Zitto alipopinga ujenzi wa barabara za ujiji na sababu eti hakuna tija na wana ujiji wakamchukia sasa hata watanzania wengi wanamchukia. Je baada ya kukosa ubunge...
  20. Maswali kuhusu Reseller Program ya Amazon

    E-commerce itaenda kuwa mustakabali wa ulimwengu wa biashara na siku zijazo uwezekano wa biashara hii kuwa chini ya kampuni ya Amazon ni kubwa Kutokana na ukubwa wa biashara hiyo ya Amazon, ambayo hurahisisha na kusaidia ufikishwaji wa mizigo mbalimbali kupitia mtandao. Kuanzisha biashara kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…