Ili kuepusha vurugu Jaffo tangaza kuwa watendaji waliokimbia ofisi na kujificha wamejifukuza kazi

Kwa yanayotokea nchini kuhusu Watendaji kuzikimbia ofisi katika kipendi hiki cha uchaguzi huku wanalamba posho, na kwa ajili ya mustakabali wa amani yetu, NAOMBA WAZIRI JAFO UTOE TAMKO. Kwanini wanadharau kazi hivyo?
Nikumbushe kesho nikupe kifungu kinachowalinda dhidi ya kushitakiwa au kuchukuliwa hatua za kinidhamu. Hawakamatiki
 
Kwa yanayotokea nchini kuhusu Watendaji kuzikimbia ofisi katika kipendi hiki cha uchaguzi huku wanalamba posho, na kwa ajili ya mustakabali wa amani yetu, NAOMBA WAZIRI JAFO UTOE TAMKO. Kwanini wanadharau kazi hivyo?
Kinachowakimbiza ni nini
 
Impartiality katika chaguzi zetu bado ni giza bila kuwa na tume huru ya chaguzi zote za serikali za mitaa na uchaguzi mkuu tutabakia kwenye demostrations
 
Kwa yanayotokea nchini kuhusu Watendaji kuzikimbia ofisi katika kipendi hiki cha uchaguzi huku wanalamba posho, na kwa ajili ya mustakabali wa amani yetu, NAOMBA WAZIRI JAFO UTOE TAMKO. Kwanini wanadharau kazi hivyo?

Hao watendaji wanatimiza maagizo waliyopewa.
Akibaki ofisini ndo kibarua kitaota majani.
Hayo maagizo wamepewa na chama kilichomweka Jaffo kazini. Akikiuka basi kazi hana.
 
Hao wanatekeleza agizo la mkulu.Ningekuwa jaffo ningefukuza watendaji wote waliofunga ofisi.wale Ni wezi kama wezi wengine.
 
Back
Top Bottom