Kubadilishana vituo vya kazi

Degelingi_One

Member
Nov 17, 2018
72
121
Habari za wakati huu wakuu,

Pamoja taarifa ya serikali kuwa uhamisho kwa watumishi wa serikali, Lakini Kuna here says kuwa uhamisho wa KUBADILISHANA VITUO VYA KAZI unaruhusiwa. Mimi Ni Mwalimu na nimepata mtu wa kubadilishana nae. Kwa wale waliopitia haya maswala tupeane uzoefu nianzie wapi na nipitie wapi wakuu!!!
 
Back
Top Bottom