Baba "anatawa" nyumbani kazi kupigishana kelele na watoto

Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
12,417
30,925
Muogope baba asiesafiri asietoka kujichanganya na wenzake anajifungia tu ndani na kukaa jikoni na mama kuota Moto baba huyo lazima awe mkali na katili kwa watoto

Baba unatakiwa usikae sana home familia inakukinahi inakuchoka haiwi na hamu na wewe Sasa wewe utadhani haikupendi kumbe ni kwasababu wewe ni mchujo kwao

Umechuja kila siku upo home unawakaripia watoto wasiwashe tv mama asitumie gesi apikie kuni yani we 24/7 unapigishana kelele na watoto na mkeo. Baba wa hivi lazima watoto wakuombee ugonjwa au kifo ili wapumue waachane na upolisi wako

Wababa tusikae sana nyumbani kutawa kwa baba hakuna afya kwa familia jiulize je baba yako ANATAWA nyumbani? Mimi baba yangu alikuwa anasafiri Sana na tulimpenda Sana ila bahati mbaya Mungu alimchukua tarehe 18/8/2019

Mungu mlaze pema peponi baba yangu mzazi kila nikimkumbuka baba nalia Sana

Amina .
 
Wewe inaonekana baba yako alikuwa masikini na fukara wa mali na mawazo na alikuwa hajiongezi na hana kazi ya kufanya. Kama baba angekuwa na kazi ya kufanya anamiradi mingi na nyumba yake ni kubwa kiasi kwamba kila mtu mama na waoto wanajibinafasi kila mtu anamradi au watoto wanaenda shule naniangemboa mwenzange? Baba asafiri ili iweje? Baba asafiri ili majizi na mafisadi na vibaraka wa mabeberu yaibe na kuharibu watoto?

Nchi hii ni kubwa na anakazi nyingi za kufanya na muda wa miaka 10 ni mchache kwa kazi anazotaka kuzifanya lazima atapata wapi muda wa kusafiri? Hata hivyo anasafiri kwenda kwa nani na kufanyanini kwa mabeberu? Putini wa Urusi alishawahi kusafiri kuja Afrika? Trump wa Marekani hata akija Africa ni kwa masilahi. Kwaufupi marais wa Africa kwwnda Ulaya ni kuenda kuombaimba tu safari zao hazina tija.

Mleta Uzi ni kibaraka wa mabeberu, ni muuza unga ni fisadi, ulitumbuliwa kwa vyet feki au ni CHADEMA
 
Wewe inaonekana baba yako alikuwa masikini na fukara wa mali na mawazo na alikuwa hajiongezi na hana kazi ya kufanya. Kama baba angekuwa na kazi ya kufanya anamiradi mingi na nyumba yake ni kubwa kiasi kwamba kila mtu mama na waoto wanajibinafasi kila mtu anamradi au watoto wanaenda shule naniangemboa mwenzange? Baba asafiri ili iweje? Baba asafiri ili majizi na mafisadi na vibaraka wa mabeberu yaibe na kuharibu watoto? Nchi hii ni kubwa na anakazi nyingi za kufanya na muda wa miaka 10 ni mchache kwa kazi anazotaka kuzifanya lazima atapata wapi muda wa kusafiri? Hata hivyo anasafiri kwenda kwa nani na kufanyanini kwa mabeberu? Putini wa Urusi alishawahi kusafiri kuja Afrika? Trump wa Marekani hata akija Africa ni kwa masilahi. Kwaufupi marais wa Africa kwwnda Ulaya ni kuenda kuombaimba tu safari zao hazina tija.

watu wanaongea mambo ya familia wewe unaleta mambo ya siasa ndio maana shule ulifeli tulikwambia usipende vamia maswali
 
Umeenda op ulipo sipo watu wa mbeya wanasema umechochola.
 
Hili fumbo wala silielewi.
Huyo baba kama anakaa tu nyumbani, inamaana fedha ya matumizi ya home inatoka wapi?. Au mama ndio anatoka kutafuta baba yeye ni kulala tu?.
Mtoa fumbo hebu tueleweshe hapo kwanza. Maana usikute huyo baba anapiga mishe kijijini Kantalamba then anapata fedha za kukidhi mahitaji ya home wewe umlazimishe awe anaenda kutafuta na Dsm, Mwanza au Arusha.
 
Wewe inaonekana baba yako alikuwa masikini na fukara wa mali na mawazo na alikuwa hajiongezi na hana kazi ya kufanya. Kama baba angekuwa na kazi ya kufanya anamiradi mingi na nyumba yake ni kubwa kiasi kwamba kila mtu mama na waoto wanajibinafasi kila mtu anamradi au watoto wanaenda shule naniangemboa mwenzange? Baba asafiri ili iweje? Baba asafiri ili majizi na mafisadi na vibaraka wa mabeberu yaibe na kuharibu watoto? Nchi hii ni kubwa na anakazi nyingi za kufanya na muda wa miaka 10 ni mchache kwa kazi anazotaka kuzifanya lazima atapata wapi muda wa kusafiri? Hata hivyo anasafiri kwenda kwa nani na kufanyanini kwa mabeberu? Putini wa Urusi alishawahi kusafiri kuja Afrika? Trump wa Marekani hata akija Africa ni kwa masilahi. Kwaufupi marais wa Africa kwwnda Ulaya ni kuenda kuombaimba tu safari zao hazina tija.
Mleta Uzi ni kibaraka wa mabeberu, ni muuza unga ni fisadi, ulitumbuliwa kwa vyet feki au ni CHADEMA
Bwege mwingine huyu soma ulichoandika,
 
watu wanaongea mambo ya familia wewe unaleta mambo ya siasa ndio maana shule ulifeli tulikwambia usipende vamia maswali
Huyo jamaa yuposahihi maana post ya mlets mada katumis tafsida kwa harska huwezi gundua anamlenga nani. Ila uziri pist yake inagusa kote mababa wa familia zetu wasio toka na baba muongiza nchi asietoka.
Ni kweli baba inabidi utoke ukajichanganye na mababa wenzio wakuongezee mbinu za kujipatia mkate wa kila siku kwa ajili ya familia yako
 
Baba
Uzi mzima bila vituo...!!

Anyway, kwahiyo baba yako wewe (RIP) mlimuombea KIFO kama ulivyosema..?
[/QUOT
Baba yetu tulimpenda Sana alikuwa Ni mtu wa kusafiri hivyo tulikuwa tuna mmisi na kila akirudi ilikuwa ni full mizawadi
 
We ni hatari sana, haraka haraka umeishamsoma mleta Uzi na kumpa za USO?
Wewe inaonekana baba yako alikuwa masikini na fukara wa mali na mawazo na alikuwa hajiongezi na hana kazi ya kufanya. Kama baba angekuwa na kazi ya kufanya anamiradi mingi na nyumba yake ni kubwa kiasi kwamba kila mtu mama na waoto wanajibinafasi kila mtu anamradi au watoto wanaenda shule naniangemboa mwenzange? Baba asafiri ili iweje? Baba asafiri ili majizi na mafisadi na vibaraka wa mabeberu yaibe na kuharibu watoto? Nchi hii ni kubwa na anakazi nyingi za kufanya na muda wa miaka 10 ni mchache kwa kazi anazotaka kuzifanya lazima atapata wapi muda wa kusafiri? Hata hivyo anasafiri kwenda kwa nani na kufanyanini kwa mabeberu? Putini wa Urusi alishawahi kusafiri kuja Afrika? Trump wa Marekani hata akija Africa ni kwa masilahi. Kwaufupi marais wa Africa kwwnda Ulaya ni kuenda kuombaimba tu safari zao hazina tija.
Mleta Uzi ni kibaraka wa mabeberu, ni muuza unga ni fisadi, ulitumbuliwa kwa vyet feki au ni CHADEMA
 
Muogope baba asiesafiri asietoka kujichanganya na mababa wenzake anajifungia tu ndani na kukaa jikoni na mama kuota Moto baba huyo lazima awe mkali na katili kwa watoto baba unatakiwa usikae Sana home familia inakukinahi inakuchoka haiwi na hamu na wewe Sasa wewe utadhani haikupendi kumbe Ni kwasababu wewe Ni mchujo kwao umechuja kila siku upo home unawakaripia watoto wasiwashe tv mama asitumie gesi apikie kuni yani we 24/7 unapigishana kelele na watoto na mkeo baba wa hivi lazima watoto wakuombee ugonjwa au kifo ili wapumue waachane na upolisi wako !!!

Wababa tusikae Sana nyumbani kutawa kwa baba hakuna afya kwa familia jiulize je baba yako ANATAWA nyumbani? Mimi baba yangu alikuwa anasafiri Sana na tulimpenda Sana ila bahati mbaya mungu alimchukua tarehe 18/8/2019 Mungu mlaze pema peponi baba yangu mzazi kila nikimkumbuka baba nalia Sana !!

Amina .
umemaliza kuandika? Au bado unaendelea?
 
Wewe inaonekana baba yako alikuwa masikini na fukara wa mali na mawazo na alikuwa hajiongezi na hana kazi ya kufanya. Kama baba angekuwa na kazi ya kufanya anamiradi mingi na nyumba yake ni kubwa kiasi kwamba kila mtu mama na waoto wanajibinafasi kila mtu anamradi au watoto wanaenda shule naniangemboa mwenzange? Baba asafiri ili iweje? Baba asafiri ili majizi na mafisadi na vibaraka wa mabeberu yaibe na kuharibu watoto? Nchi hii ni kubwa na anakazi nyingi za kufanya na muda wa miaka 10 ni mchache kwa kazi anazotaka kuzifanya lazima atapata wapi muda wa kusafiri? Hata hivyo anasafiri kwenda kwa nani na kufanyanini kwa mabeberu? Putini wa Urusi alishawahi kusafiri kuja Afrika? Trump wa Marekani hata akija Africa ni kwa masilahi. Kwaufupi marais wa Africa kwwnda Ulaya ni kuenda kuombaimba tu safari zao hazina tija.
Mleta Uzi ni kibaraka wa mabeberu, ni muuza unga ni fisadi, ulitumbuliwa kwa vyet feki au ni CHADEMA
Unajifanya eti wewe next level kumbe next mavi
 
Back
Top Bottom