Update za kazi za TASAF

Mejasoko

Member
Oct 20, 2019
8
45
Habarini want bodi, ninaomba msaada kwa anayejua kinachoendelea juu ya ajira zilizotangazwa na TASAF ukizingatia leo ni wiki imeshapita toka deadline na walisema baada ya wiki mbili mchezo utakua umeisha sasa naomba tufahamiane mapema pliz Kujua status na mchakato unaendaje
 

Mr Kazi

Member
Nov 25, 2017
56
150
Kazi yoyote ya mashirika ya serikali au kupitia ajira portal usiombe kama huna refa au connection maana saivi nafasi zinatoka chache wahitaji ni wengi, matangazo yanatolewa kufuata utaratibu wa kuajiri lakin watu wameshaajiria nyuma na kuanza kazi nyie mnafanya maombi ya kuchaguliwa na kujipanga na interview.
 

Saveya

JF-Expert Member
Aug 18, 2019
1,825
2,000
Mimi niliomba connection kwa mtu fulani kigogo najuana naye akanivungia basi hata sikuomba hizo nafasi kwani nilishajua mapema sintotoka bila ya connection
Na hazipitii utumishi, labda zingekuwa zinapitia utumishi pengine mambo yangekuwa na afadhali.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom